Mzozo wa Ukraine: NATO yaanza kupiga jaramba

Mzozo wa Ukraine: NATO yaanza kupiga jaramba

Sikiogopi kifo. Mda utafika tu na miaka ndo inasonga. Nawasemea hawa watoto wanaurukaruka hapa kwangu na wa majirani. Wajukuu na vizazi vya mbele vya dunia. Wana haki ya kuishi.

Ni Shida sana ukiwa na umasikini na uchoyo hadi wa pumzi kwa vizazi vijavyo, unataka tu dunia iyeyuke hata leo[emoji23]

Kama u mchoyo hupati, maana MUNGU hakupi mali kwa ajili yako, bali jamii yako. MUNGU anapitisha pesa kwa yule anayeona kuwa huyu ataigusa jamii, na huyo mtu anaonekanaga hata akiwa na kidogo.

Achana na mawazo ya kwamba wenye mali walijilimbikizia kwa njia isiyo halali.
Si kweli, wote wenye pesa hawajapewa na Mungu.
 
Natamani the whole northern hemisphere (North America, Europe and Asia)wajiingize ktk Vita,,, ili iwe malipo ya ukoloni na slave trade waliyofanya dhidi ya Africa.

Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
 
Hakuna jipya! Mikwara tu.

Putin keshaingia Ukraine na hakuna aliyemzuia.

Wameishia kuchonga midomo tu. Ooh sijui vikwazo…sijui nini…

Hakuna kilichomzuia Putin.
Mbwembwe zao tu kma wanaume si wangemvaaaa putin
 
Hakuna jipya! Mikwara tu.

Putin keshaingia Ukraine na hakuna aliyemzuia.

Wameishia kuchonga midomo tu. Ooh sijui vikwazo…sijui nini…

Hakuna kilichomzuia Putin.
hv wangemzuia tangu mapema kabla hajaingia , ss huon kama NATO ndo wangekuwa wavamizi ss ? kwasasa Urusi inakesi tyr ya kujibu Uvamizi kwenye nchi huru
 
NATO wanajijua makosa yao ndiyo maana wanajihami. Nchi 5 ambazo zilijiunga NATO zipo nje ya makubaliano na Russia iliyovunjika, hivyo wanaogopa kwa sababu walikiuka makubaliano wanaona kabisa Russia atazitwanga any time soon akimalizana na Ukraine. Kwa ufupi NATO ni maongo makubwa sana na ni matapeli mno.
Kila kitu kinaenda kwa hatua sio ukurupukaj Ukraine sio member wa NATO so NATO hawaruhusiw kuingilia hilo swala , wahusika hapo ji UN na EU ndo wanabidi waingilie kati kuleta amani na si kumpiga mmoja wapo , NATO itavamia endapo utamvamia member wao tu ,so Urusi kawai kabla Ukraine haijajiunga , Rais wa Ukraine ni kilaza ilibidi apeleke mashitaka UN kitengo cha ICC kuishitak Urusi kwa uvamizi huenda UN ingefanya kitu ila UN haiwez kuingilia mgogoro haraka pasipo kuwa na taarifa za uhakika kutoka kwa mmoja wapo
 
The activation of the response troops does not mean that any US or NATO troops will go into Ukraine, which is not a member. US President Joe Biden has been clear that US troops are deploying to eastern Europe to help bolster NATO countries nervous about Russia's aggressive actions, and they will not be fighting in Ukraine

Nimesoma hadi hapo nikaishia hapo
Halafu ndo summary yenyewe yaan
 
Hakuna jipya! Mikwara tu.

Putin keshaingia Ukraine na hakuna aliyemzuia.

Wameishia kuchonga midomo tu. Ooh sijui vikwazo…sijui nini…

Hakuna kilichomzuia Putin.
Wanajeshi wa Russia wanachekelea na Putin Kuingia Ukraine ,Kwake Urusi wananchi wanalia kwa vikwazo
 
Siyo kashindikana yaani hana cha kupoteza, na Ukraine wao walikosea sana kuungana na matapeli NATO. Bora wangekaa wakayamaliza bila hawa wahuni ambao wanaishia kuogopa hata kupeleka wanajeshi
Kiufupi Ukraine hawaikusoma alama ya nyakati.. Muingereza alivyojitoa wao walikuwa wapi..
 
Back
Top Bottom