kopites
JF-Expert Member
- Jan 28, 2015
- 9,229
- 11,531
Sawa mchambuzi wa masuala ya kijeshi kutoka Russia 😂😂😂😂😂Childish mind.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sawa mchambuzi wa masuala ya kijeshi kutoka Russia 😂😂😂😂😂Childish mind.
Na hapo ndipo ujumbe mkubwa ulipoThe activation of the response troops does not mean that any US or NATO troops will go into Ukraine, which is not a member. US President Joe Biden has been clear that US troops are deploying to eastern Europe to help bolster NATO countries nervous about Russia's aggressive actions, and they will not be fighting in Ukraine
Nimesoma hadi hapo nikaishia hapo
“The activation of the response troops does not mean that any US or NATO troops will go into Ukraine, which is not a member…….”Mwenye akili ataelewa hii strategy inayotumika hapa.
Sio mwanachamaUrusi nayo si ni mwanachama wa NATO?
We nawe unaongea Kama upo usingizini , sasa vikwazo ndio nini? Vikwazo vitatusesa sisi nchi za mwisho wa dunia kwa nchi Kama Urusi vikwazo ni propaganda tu ,Kwan Trump awamu yake yote si kaiwekea vikwazo je nchi yako imeifikia urusi kiuchumi kwa kua haijawekewa vikwazo, au toka Obama mpaka leo Iran vikwazo vinaongezwa tu je Iran kiuchumi sawa na nchi yako ? Vikwazo ni kuua Soo tu kwa nchi kubwaKwa sasa Puttin anaishi kwa mashaka kuliko ilivyokuwa kabla hajaivamia Ukraine.
Hofu ya vikwazo na madhara yake bila kusahau hofu ya nini kinaweza kufanyika kulipiza kisasa iwe ni leo, kesho au keshokutwa.
Ninyi mliojilimbikizia Mali za kifisadi ambazo hata miaka 100 hamtazimaliza huku masikini wakifaa njaa ndio mnaogopa WW III. Maskini ambaye anamaliza siku 2 bila hata kupata japo andazi la Kura unafikili anaiogopa hiyo WW III? Nyie ndio mnaogopa Kufa kwasababu mtaziacha hizi anasa za dunia na kwenda Kusota kwenye Moto wa Jehanamu.Halafu inaonekana hujui mambo ambayo yanaweza kutriger w/war ndo maana unadhani ni kujambajamba kwa waafrika.
Embu pekua pekua ww2 ilisababishwa na nini.
Sidhani ati kisa ww n masikini ndo huogopi kuona ,dada zako qaqa wadogo zako mama na ndugu zako uwapendao yanawafika maafa haya ya ajabu na kutisha sidhani kbs🤒😔Ninyi mliojilimbikizia Mali za kifisadi ambazo hata miaka 100 hamtazimaliza huku masikini wakifaa njaa ndio mnaogopa WW III. Maskini ambaye anamaliza siku 2 bila hata kupata japo andazi la Kura unafikili anaiogopa hiyo WW III? Nyie ndio mnaogopa Kufa kwasababu mtaziacha hizi anasa za dunia na kwenda Kusota kwenye Moto wa Jehanamu.
Tumia busara Basi hata Kidogo unapocomment. Urusi ina Nguvu kweli za kijeshi. Lakini Usituambie ujinga wako kwamba Urusi anaweta kuanzisha Vita na kuyateka Mataifa yote ya Marekani,Uingereza,Ufaransa,Ujerumani,Poland,Uturuki,Nk. Hayo sio mahaba Tena Bali ni LIMBWATA.hawana busara washenzi wangekua na busara hata hii vita inayoendelea isingetokea kabisaa
walishupaza shingo acha waonyeshwe kama PUTIN sio GADAFI
hakuna NATO atakae ingilia huu mgogoro naakiingilia watapigwa tu
Ulivyoandika utadhani upo nae hapo kijiweniHujamjua putin vizur kumbe.. huyo ni komando.. ni mwanajeshi halaf jasus.. akili yake akishakula bangi zake haelew kitu
Sent using Jamii Forums mobile app
Nadhani sijui kama wewe.Inaonekana Bado hujawa mjuvi wa mambo
Sikiogopi kifo. Mda utafika tu na miaka ndo inasonga. Nawasemea hawa watoto wanaurukaruka hapa kwangu na wa majirani. Wajukuu na vizazi vya mbele vya dunia. Wana haki ya kuishi.Ninyi mliojilimbikizia Mali za kifisadi ambazo hata miaka 100 hamtazimaliza huku masikini wakifaa njaa ndio mnaogopa WW III. Maskini ambaye anamaliza siku 2 bila hata kupata japo andazi la Kura unafikili anaiogopa hiyo WW III? Nyie ndio mnaogopa Kufa kwasababu mtaziacha hizi anasa za dunia na kwenda Kusota kwenye Moto wa Jehanamu.
Kwahyo hyo ndo hoja ya msingi?... Unaendelea kudhihirisha low iq mkuu... Nmekwambia kanusha hoja yangu kwamba si kwel nilchosema... Mbona maneno meng chiefSawa. Tukiachana na shibe yako pia inaonekana huna uzazi. Yaani huna wajukuu wanaokutembelea ukawaona wakicheza cheza hapo uwanjani kwako ndo maana unaona ni sawa tu mwanadamu akiwa wipe out. Huna future linapokuja suala la uzao wako.
Kupitia njia ganiHiko kikosi (task force) kinapelekwa Poland na huko Baltic states kwenda kuongeza nguvu na kulinda mipaka ya NATO. Hakiendi Ukraine, kulingana na taarifa za sasa, sababu Ukraine si mwanachama.
Ukraine itaongezewa silaha pamoja na misaada mingine kutoka nchi za NATO.
Tumeshamalizana kuhusu hilo boss. Kwa kutumia hiyo Iq ndogo uliyohitimisha ninayo.Kwahyo hyo ndo hoja ya msingi?... Unaendelea kudhihirisha low iq mkuu... Nmekwambia kanusha hoja yangu kwamba si kwel nilchosema... Mbona maneno meng chief
Sent using Jamii Forums mobile app
Na Putin anataka kuivunja shingo1
Anaadhibiwa kwasababu amekubali kutumiwa na alipoambiwa akashupaza shingo