Liwagu
JF-Expert Member
- Jan 25, 2017
- 5,593
- 6,754
Syria anafanya ulinzitu vita alisha malizakule.Russia ana vita nyingine Syria. Ataharibu uchumi wake akianzisha vita.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Syria anafanya ulinzitu vita alisha malizakule.Russia ana vita nyingine Syria. Ataharibu uchumi wake akianzisha vita.
Mmarekani na wenzie wana shida hapo Ethiopia, bado Ukraine na taiwan inawasubiri, hapo mashariki ya kati panaeleweka tayari watu wanaliana timing tu............na hao wa magharibi kupigana zile vita za head to head wanakwepaga labda wakute kataifa dhaifu ila wakikutana na wababe wenzao wanapenda kutumia proxies tu wao wanakua wanawasaidia ila ngoma zote za sasa wanaweza wakapambana wenyewe kwa wenyewe bila hata kutumia proxies , wakiona pamoto watabwabwaja tu na kutishia vikwazo basi hamna watakalo fanyaRussia ana vita nyingine Syria. Ataharibu uchumi wake akianzisha vita.
Hizo ni proxy wars tu kuachana nayo na kufocus sehem 1 ni rahisi sana kama mmarekani alivyojitoa afganistan na kipindi kile somalia........uzuri wa sasa mrusi hapambani na hao jamaa peke yake , wapo na mchina ,Iran..........hio ya kuharibu uchumi kwa sasa ni ngumu iliwezekana kipindi cha vita baridi maana Mrusi alikua peke yake ndo mwenye uwezo akipambana na hao wamagharibi kwa sasa mchezo umebadilika usimsahau na mturuki pia japo hajaeleweka anaegemea wapiRussia ana vita nyingine Syria. Ataharibu uchumi wake akianzisha vita.
Mturuki hawezi kuungana na Urus endapo Vita vitaibuka Kati ya Urus na Nato.Hizo ni proxy wars tu kuachana nayo na kufocus sehem 1 ni rahisi sana kama mmarekani alivyojitoa afganistan na kipindi kile somalia........uzuri wa sasa mrusi hapambani na hao jamaa peke yake , wapo na mchina ,Iran..........hio ya kuharibu uchumi kwa sasa ni ngumu iliwezekana kipindi cha vita baridi maana Mrusi alikua peke yake ndo mwenye uwezo akipambana na hao wamagharibi kwa sasa mchezo umebadilika usimsahau na mturuki pia japo hajaeleweka anaegemea wapi
Inategemea maslahi yake pia maana na yeye hua anakwaruzana na NatoMturuki hawezi kuungana na Urus endapo Vita vitaibuka Kati ya Urus na Nato.
Rais wa Turkey ndio anakwaruzana na Nato hasa Marekani kwasababu wanamkosoa kuhusu ukandamizaji wa kidemokrasia nchini kwake,Jeshi la Uturuki Marekani anaushawishi Mkubwa ndani yake. Ikitokea Vita Kati ya Nato na Russia harafu Eldogan akaungana na Russia Ni ndani ya mda mfupi Jeshi Linachukua madaraka nchini Uturuki na kuungana na Marekani.Inategemea maslahi yake pia maana na yeye hua anakwaruzana na Nato
Ukraine kujiunga na NATO usahau MKUUThe last kick of a dying horse. Putin kaona wanataka kumzunguka mpaka nyumbani kwake mwishowe wampige mande. Anachimba biti tu hapo hakuna vita na mwishowe Ukraine itajiunga na NATO.
Mbona yale mapinduzi yaliyofeli rais aliwabinya kende wakatulia na Mmarekani anabaki kuleta ngonjera tu............hata huyo rais nae anajua backup anapata wapiRais wa Turkey ndio anakwaruzana na Nato hasa Marekani kwasababu wanamkosoa kuhusu ukandamizaji wa kidemokrasia nchini kwake,Jeshi la Uturuki Marekani anaushawishi Mkubwa ndani yake. Ikitokea Vita Kati ya Nato na Russia harafu Eldogan akaungana na Russia Ni ndani ya mda mfupi Jeshi Linachukua madaraka nchini Uturuki na kuungana na Marekani.
Ndugu yangu uliwahi shugudia uharo unaomwagwa na tai akikamatwa na dubu¿That mighty "eagle"on the US flag knows no fear, when it spreads its wings and claws, the "snow bear" suffers diarrhea.
Mkuu si hata Georgia chini ya Mikheil Saakashvili ilitaka kwenda mwelekeo huu ikapigwa na kuishia kumegwa, Ukraine tayari Crimea haiko kwao na soon Donbass inaweza kuondoka. Tusiwe wasahaulifu kiasi hiki, Urusi ya Putin sio ya kubezwa. Kwenye maslahi yao hasa ya kiusalama ukivuka mstari wao mwekundu wanakuja tena mchana kweupe.The last kick of a dying horse. Putin kaona wanataka kumzunguka mpaka nyumbani kwake mwishowe wampige mande. Anachimba biti tu hapo hakuna vita na mwishowe Ukraine itajiunga na NATO.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] umenikumbusha Mikheil Saakashvili alipata kichaa cha gafla baada ya kusikia milio ya ndege za Urusi zikipita juu ya anga sehemu alipokuwa anaongea na wananchi wake.ilibidi tu akubali masharti ya Warusi maana jamaa walikuwa wanaelekea mji mkuu kwenda kumchomoa ikuluMkuu si hata Georgia chini ya Mikheil Saakashvili ilitaka kwenda mwelekeo huu ikapigwa na kuishia kumegwa, Ukraine tayari Crimea haiko kwao na soon Donbass inaweza kuondoka. Tusiwe wasahaulifu kiasi hiki, Urusi ya Putin sio ya kubezwa. Kwenye maslahi yao hasa ya kiusalama ukivuka mstari wao mwekundu wanakuja tena mchana kweupe.
Hii kuchanganyikiwa aliwahi kurekodiwa anatafuna tai😄😄[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] umenikumbusha Mikheil Saakashvili alipata kichaa cha gafla baada ya kusikia milio ya ndege za Urusi zikipita juu ya anga sehemu alipokuwa anaongea na wananchi wake.ilibidi tu akubali masharti ya Warusi maana jamaa walikuwa wanaelekea mji mkuu kwenda kumchomoa ikulu
Sipingi uimara wa Urusi, na hata hivyo inabidi afanye vile kwa sababu amegundua wanataka kumweka mtu kati hapo hapo nyumbani kwake, shida yangu ni kuwa, NATO wakisimama na Ukraine kijeshi, nasita kusema kama Urusi ataendelea na hivi vitisho vyake.Mkuu si hata Georgia chini ya Mikheil Saakashvili ilitaka kwenda mwelekeo huu ikapigwa na kuishia kumegwa, Ukraine tayari Crimea haiko kwao na soon Donbass inaweza kuondoka. Tusiwe wasahaulifu kiasi hiki, Urusi ya Putin sio ya kubezwa. Kwenye maslahi yao hasa ya kiusalama ukivuka mstari wao mwekundu wanakuja tena mchana kweupe.
Mrusi hana vitisho anafanya kweli.....upande wa pili ndo mikwara mingiSipingi uimara wa Urusi, na hata hivyo inabidi afanye vile kwa sababu amegundua wanataka kumweka mtu kati hapo hapo nyumbani kwake, shida yangu ni kuwa, NATO wakisimama na Ukraine kijeshi, nasita kusema kama Urusi ataendelea na hivi vitisho vyake.
Kinachoilinda Urusi ni Kuwa na akiba ya Makombora ya nyuklia Kama ilivyo Korea Kaskazini. Bila Makombora ya Nyuklia ambayo Urusi hutishia kuyatumia pale ambapo anaona NATO wakiwa Serious Sana,Bila NUCLEAR WEAPONS Urusi hawezi kupigana Hata na MAREKANI Acha NATO.Mrusi hana vitisho anafanya kweli.....upande wa pili ndo mikwara mingi
ishu nikwamba NATO wakisimama na UKRAINE nae RUSSIA atasimama kisawa sawa patakua hapatoshiSipingi uimara wa Urusi, na hata hivyo inabidi afanye vile kwa sababu amegundua wanataka kumweka mtu kati hapo hapo nyumbani kwake, shida yangu ni kuwa, NATO wakisimama na Ukraine kijeshi, nasita kusema kama Urusi ataendelea na hivi vitisho vyake.
Unahisi NATO hawaringii Nyuklia hizo ni silaha ambazo hata kenya wakiwa nazo lazima waringe nakuheshimiwaKinachoilinda Urusi ni Kuwa na akiba ya Makombora ya nyuklia Kama ilivyo Korea Kaskazini. Bila Makombora ya Nyuklia ambayo Urusi hutishia kuyatumia pale ambapo anaona NATO wakiwa Serious Sana,Bila NUCLEAR WEAPONS Urusi hawezi kupigana Hata na MAREKANI Acha NATO.
Mkuu utakuwa labda upo ndotoni. acha kabisa yani hata ukiweka silaha za nuclear pembeni basi jua mpaka mshindi anapatikana nchi zote zitakuwa zimechoma ile mbaya maana kama ni silaha mpya basi kwa Urusi zipo za kutoshaKinachoilinda Urusi ni Kuwa na akiba ya Makombora ya nyuklia Kama ilivyo Korea Kaskazini. Bila Makombora ya Nyuklia ambayo Urusi hutishia kuyatumia pale ambapo anaona NATO wakiwa Serious Sana,Bila NUCLEAR WEAPONS Urusi hawezi kupigana Hata na MAREKANI Acha NATO.
Usijisaulishe mkuu.Islamic state walisumbua sana,Marekani na Nato walipeleka majeshi ila wakawa wanaruka ruka tu.mwanaume kaenda peke yake front ndani ya miezi 6 tu kwisha kazi.sasa sijui unaongelea nini mkuu.Kinachoilinda Urusi ni Kuwa na akiba ya Makombora ya nyuklia Kama ilivyo Korea Kaskazini. Bila Makombora ya Nyuklia ambayo Urusi hutishia kuyatumia pale ambapo anaona NATO wakiwa Serious Sana,Bila NUCLEAR WEAPONS Urusi hawezi kupigana Hata na MAREKANI Acha NATO.