Mzozo wa Urusi na Ukraine wafukuta zaidi

Hana ubabe wowote kama anao ubabe aruhusu uchaguzi huru nyumbani Kwake!!?
Mtu anaogopa Mawazo huru ya wananchi wake,ataweza kupambana na majeshi ya magharibi,UK,US,na Israel!?
Mkuu linapkuja swala la Vita huwa Ni ngum kulilinganisha na swala la siasa, kwa nn nasema hvyo, kwanza watu huwa wanamitazamo ya kuwachukia watu wote wanaoleta maendele yanayo onekana na hvyo Ikiwa ataruhusu hlo anadondoshwa as😩

Pili mazingira ya Vita kwa Sasa Ni Kama ya kutegeana kila taifa linavuta Kasia lake hasa haya ya usa, ulaya na nato, kila 1 yanamasilahi makubwa na ukeine, rassia wao wanawavizia tu wakijivulugha tu wanakiwasha, na ninaona kabisa kwa namna ambavyo Russia Ni mhim kwa mataifa ya ulaya hasa kwa gasi inayozalisha watapiga tu mkwala ila hawawezi chochote.

Rejea ule mzozo wa uk na Russia kuhus mwandishi kupewa sum na ilikuwa kipindi Cha kombe la dunia, uk walikuwa na shinikizo ili inyanganywe, ninapenda putine kwenye maamzi huwa Hana papara aliwaambia tu uk, "if u pop I pop" cjajua alimaanisha nn ila issue iliisha japo walitaka mavikwazo..

Ngoja tuone ila nahisi jamaa wanamtingisha tu hakuna Vita happy..
 
Soma tena kisha angalia tv nimeamini muda ni hakimu wa haki huwa hauongopi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…