mzumbe secondary.

kaka km

JF-Expert Member
Joined
Nov 16, 2013
Posts
1,336
Reaction score
686
Naomba kujua yafuatayo kuhusu shule ya upili mzumbe,msosi,je msosi wao ukoje au n kama shule nyngne za serikali,malazi,wanafunzi wanabebana,kuna upungufu wa vitanda,walim,kuna walim wa kutosha?na mazingira kwa ujumla,kijana wangu kachaguliwa hapo kidato cha kwanza,naomba kujua hayo kabla sijaamua kumpeleka au kutompeleka.
 
Saizi nazani limebaki jina hii shule ilikuwaga miaka ile ya akina wibo.ila mpeleke mwanao kwani akipiga msuli atatoka tu.
 
Saizi nazani limebaki jina hii shule ilikuwaga miaka ile ya akina wibo.ila mpeleke mwanao kwani akipiga msuli atatoka tu.

ndio hofu yangu mkuu,haya mashule inawezekana yamebaki majina tu.
 
ndio hofu yangu mkuu,haya mashule inawezekana yamebaki majina tu.

Pia mzumbe ipo powa kwa A level kwa o level ni janga kwa kweli kama pesa ipo mpeleke tu kwenye shule za uhakika kwani lengo ni kupata elimu bora.
 
Hata baada ya Wibo Mzumbe imeendelea kufanya vzr kitaaluma. Mazingira ya kuishi sio mazuri na wanafunzi wanaugua mara kwa mara. Kama unaweza kumpeleka mwanao shule nyingine nzuri nakushauri ufanye hivyo kwani zipo shule zenye ufaulu mzuri na mazingira mazuri ya kuishi. Ila kama hauna uwezo wa kumpeleka shule nzuri bac anaweza kucompromise mambo mengine kwaajili ya kupata elimu nzuri ya mzumbe.
 
ahsante kwa ushauri wako,uwezo upo na kashapata shule nyngne ila kuna watu wakanambia kua mzumbe n nzr,nikataka nijue kupitia wadau wa jf iko vp saiv.
 
Shule yetu mzumbe sec.......... wimbo wa shule enzi za tibikunda; kihawa;bagenda; mlelwa kwisnei
 
Mzumbe sitaisahau. Yale mazingira magumu. Kipindi cha masika hatari. Magonjwa ya ngozi kibao. Udongo ule mwekundu unajaa mpaka bwenini. Na yale mabweni kama kambi za manamba. Lakini ni bado sehemu nzuri kwa kusoma.
 
Ebana mdau,kama pesa ipo mpeleke mwanao shule nyingne tu..mzumbe kwa sasa haipo vizuri kitaaluma hasa kwa o-level,pia mazingira ya mzumbe ni magumu sana hasa katka kipindi cha masika coz huwa kunakua na mlipuko wa magonjwa.
 
mkuu kwa mazingira hayo unayosema tena bado unasema ni pazuri kwa kusoma,kivip?
 
asante sana mkuu kwa ushauri mzuri,unazidi kupigilia msumali kwenye jeneza la marehem.
 
kama walet yako iko sawa mpeleke private mf.st mary ya nyegezi mwanza au st francis
 
mkuu kwa mazingira hayo unayosema tena bado unasema ni pazuri kwa kusoma,kivip?

kaka km ni kweli mazingira mazuri ya shule huwa bora kwa mwanafunzi. Lakini kuna wakati mazingira magumu hukufanya u focus na kile ulichofuata tu.
 
Last edited by a moderator:
kaka km ni kweli mazingira mazuri ya shule huwa bora kwa mwanafunzi. Lakini kuna wakati mazingira magumu hukufanya u focus na kile ulichofuata tu.

kweli,ujue zaman watu walikua wanaenda form 1 wakubwa kdogo,14,au 15,sasa hawa watoto wa ck iz ikimpeleka kwenye mazngra magum ana miaka 12 ataona km unamtesa,watoto wa digitali mkuu,sio wagum kabisa.
 
Last edited by a moderator:
Kama uwezo upo mpeleke mwanao shule ya uhakia acha kucheza patapotea tambua unaandaa maisha ya mwanao hizi shule kila kukicha na janga jipya......
 
Kama uwezo upo mpeleke mwanao shule ya uhakia acha kucheza patapotea tambua unaandaa maisha ya mwanao hizi shule kila kukicha na janga jipya......

shukran mkuu,nalifanyia kaz mkuu.
 
M nmemaliza mzumbe this year mbona shule iko poa kwenye taaluma pia ukarabat utafanyika next year so punguza hofu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…