kaka km
JF-Expert Member
- Nov 16, 2013
- 1,336
- 686
Naomba kujua yafuatayo kuhusu shule ya upili mzumbe,msosi,je msosi wao ukoje au n kama shule nyngne za serikali,malazi,wanafunzi wanabebana,kuna upungufu wa vitanda,walim,kuna walim wa kutosha?na mazingira kwa ujumla,kijana wangu kachaguliwa hapo kidato cha kwanza,naomba kujua hayo kabla sijaamua kumpeleka au kutompeleka.