Kuwa makini katika uchaguzi wa shule...
Shule kama Kibaha,Ilboru,Mzumbe na Tabora boys ni bora sana kuliko shule nyingi za private kitaaluma....
Sio kila private school ina ubora..!Ukimtoa mwanao mzumbe akapelekwa St.Mary's,Feza boy'z,Don Bosco.. ts ok..
Otherwise wengi wanatamani nafasi aliyoipata mwanao..B careful b4 drawing your conclusion..
M nmemaliza mzumbe this year mbona shule iko poa kwenye taaluma pia ukarabat utafanyika next year so punguza hofu
Kuwa makini katika uchaguzi wa shule...
Shule kama Kibaha,Ilboru,Mzumbe na Tabora boys ni bora sana kuliko shule nyingi za private kitaaluma....
Sio kila private school ina ubora..!Ukimtoa mwanao mzumbe akapelekwa St.Mary's,Feza boy'z,Don Bosco.. ts ok..
Otherwise wengi wanatamani nafasi aliyoipata mwanao..B careful b4 drawing your conclusion..
Kuwa makini katika uchaguzi wa shule...
Shule kama Kibaha,Ilboru,Mzumbe na Tabora boys ni bora sana kuliko shule nyingi za private kitaaluma....
Sio kila private school ina ubora..!Ukimtoa mwanao mzumbe akapelekwa St.Mary's,Feza boy'z,Don Bosco.. ts ok..
Otherwise wengi wanatamani nafasi aliyoipata mwanao..B careful b4 drawing your conclusion..
Hilo ni wazo zuri.Mfanyie uhamisho aende ILBORU hakuna mlipuko wa magonjwa,mazingira mazuri ya kupiga msuli,mwanao atakuwa na uhakika wa kupiga A kumi au Tisa Flat.
Mfanyie uhamisho aende ILBORU hakuna mlipuko wa magonjwa,mazingira mazuri ya kupiga msuli,mwanao atakuwa na uhakika wa kupiga A kumi au Tisa Flat.
Hilo ni wazo zuri.
Kwa weather na maisha ya Ilboru; hata kama ni mtoto wa kutoka 'Academia'; hupati taabu.
Halaf kuna spirit inajengeka kusomea shule kama hizi; japo ni ngum kumshawish mtu kwa zama hizi. Elimu + maisha.
Unaweza ukapata 'weak ONE' kwenye NECTA, lakini ikakufaa baadae zaidi ya 'Strong ONE' ya Academia.
Dillema iliwahi kunikuta pia. Lakini sijawahi jutia uamuzi niloufanya.
Ilikua muhimu kwake kupata elimu bora ya primary (kama alivyofanya); lakini kwa secondary ; no big deal!
Muache mwanao akakutane name wasongo wenzake.acha kumdekeza mkuu
Wazo zuri,watu wengne wanashauri hvyo pia,.ngoja nimshrikishe,awali niliwah kumdokeza hlo la kusoma iliboru akaikataa akasema haitaki[anaish jiran na iliboru],ngoja nijaribu kumshawish,akigoma nampeleka st patric yake anayoililia.watoto wa siku hz bwana,anataka amkamue mzazi had abakie mifupa,3m annually mbali,wakat serikalin 70 kwa mwaka,duh!
Ilboru na hyo migomo ya kila siku mnafunga miezi mitatu si majanga kwa mwanafunzi
Hii migomo dogo aliishuhudia ndo maana haitaki,eti wana fujo,duh!yy nilivomwambia kachaguliwa mzumbe akafurah kweli,ila wadau wa jf wanashauri mzumbe sio nzuri tena ck hz km zaman,mazngra magum kwa watoto wa olevel.
Hahaa Nabii hana heshima kwao. Better umesema anakaa jirani na hapo.Hii migomo dogo aliishuhudia ndo maana haitaki,eti wana fujo,duh!yy nilivomwambia kachaguliwa mzumbe akafurah kweli,ila wadau wa jf wanashauri mzumbe sio nzuri tena ck hz km zaman,mazngra magum kwa watoto wa olevel.
Hahaa Nabii hana heshima kwao. Better umesema anakaa jirani na hapo.
Akitoka nje ya Northern Zone ndio atajua fujo ni nini.
Ilboru ni miongoni mwa shule zenye utulivu wa juu. Matatizo madogo yalisababishwa baada ya utaratibu wa kupeka Head masters wasio na sifa mwanzoni wa 2000's; ndipo shule ikaachia nafasi yake 1 kitaifa.
So far ule ni mgomo wa pili wa kusimasha masomo tokea early 90's.
tragedy of the commons
Naelewa concern yako. Lakini matatizo makubwa ni yale ya kidini, ambayo yametokea vile vile ktk shule nyingi ktk awamu hii (shule kubwa zaidi ya 10).Ilboru ni moja ya shule zenye utulivu! kwan ulisoma mwaka gani? Vurugu na migomo ndo vimetawala sikuhiz