mzumbe secondary.

mzumbe secondary.

Kuwa makini katika uchaguzi wa shule...
Shule kama Kibaha,Ilboru,Mzumbe na Tabora boys ni bora sana kuliko shule nyingi za private kitaaluma....
Sio kila private school ina ubora..!Ukimtoa mwanao mzumbe akapelekwa St.Mary's,Feza boy'z,Don Bosco.. ts ok..
Otherwise wengi wanatamani nafasi aliyoipata mwanao..B careful b4 drawing your conclusion..
 
shukran mkuu kwa ushauri wako mzuri,ni kweli mzumbe ni shule nzuri na matokeo yake huwa n mazur,ila nilitaka kujua mazingira ya kujifunzia,km ni kufaulu mkuu siku hz watu hufaulu bila hata kufanya mtihani,naangalia mazingira rafk kwa mtoto kujifunzia.
 
M nmemaliza mzumbe this year mbona shule iko poa kwenye taaluma pia ukarabat utafanyika next year so punguza hofu

hzo story za kukarabati next year achana nazo mkuu,kwa serikali yetu ahadi ni jambo la kawaida,ila utekelezaji n jambo lingne,mazingira ya kujifunzia je?ni rafki?
 
Kuwa makini katika uchaguzi wa shule...
Shule kama Kibaha,Ilboru,Mzumbe na Tabora boys ni bora sana kuliko shule nyingi za private kitaaluma....
Sio kila private school ina ubora..!Ukimtoa mwanao mzumbe akapelekwa St.Mary's,Feza boy'z,Don Bosco.. ts ok..
Otherwise wengi wanatamani nafasi aliyoipata mwanao..B careful b4 drawing your conclusion..

mkuu unajua mambo yamebadilika kdogo,cc zaman zile mazingra ya kujifunzia yalikua magum sana ila tulikomaa tukatoka,sasa kumpeleka mtoto kwenye mazingra km yale tuliopitia sio vzr hasa km uwezo upo wa kufanya apate mazingra mazuri ya kusomea.ni hlo tu mkuu.
 
Mfanyie uhamisho aende ILBORU hakuna mlipuko wa magonjwa,mazingira mazuri ya kupiga msuli,mwanao atakuwa na uhakika wa kupiga A kumi au Tisa Flat.
 
Kuwa makini katika uchaguzi wa shule...
Shule kama Kibaha,Ilboru,Mzumbe na Tabora boys ni bora sana kuliko shule nyingi za private kitaaluma....
Sio kila private school ina ubora..!Ukimtoa mwanao mzumbe akapelekwa St.Mary's,Feza boy'z,Don Bosco.. ts ok..
Otherwise wengi wanatamani nafasi aliyoipata mwanao..B careful b4 drawing your conclusion..

Hapo umenena mkuu, kama hampleleki Mzumbe basi equivalent yake ni shule kama Feza boys,, kwingine atajilaumu baada ya 4 yrs
 
Mfanyie uhamisho aende ILBORU hakuna mlipuko wa magonjwa,mazingira mazuri ya kupiga msuli,mwanao atakuwa na uhakika wa kupiga A kumi au Tisa Flat.
Hilo ni wazo zuri.
Kwa weather na maisha ya Ilboru; hata kama ni mtoto wa kutoka 'Academia'; hupati taabu.
Halaf kuna spirit inajengeka kusomea shule kama hizi; japo ni ngum kumshawish mtu kwa zama hizi. Elimu + maisha.
Unaweza ukapata 'weak ONE' kwenye NECTA, lakini ikakufaa baadae zaidi ya 'Strong ONE' ya Academia.
Dillema iliwahi kunikuta pia. Lakini sijawahi jutia uamuzi niloufanya.
Ilikua muhimu kwake kupata elimu bora ya primary (kama alivyofanya); lakini kwa secondary ; no big deal!
 
Muache mwanao akakutane name wasongo wenzake.acha kumdekeza mkuu
 
Wazo zuri,watu wengne wanashauri hvyo pia,.ngoja nimshrikishe,awali niliwah kumdokeza hlo la kusoma iliboru akaikataa akasema haitaki[anaish jiran na iliboru],ngoja nijaribu kumshawish,akigoma nampeleka st patric yake anayoililia.watoto wa siku hz bwana,anataka amkamue mzazi had abakie mifupa,3m annually mbali,wakat serikalin 70 kwa mwaka,duh!

Kweli mkuu,ushauri wa humu jf ungekua unanihusu mm mzuri sana,yan ingekua mm ndo mwanafunz mbona kesho tu ningeenda kuripoti shulen,unanipa "mzuka" vijana wanaita,ila hawa madogo wa cku hz wako tofaut kidogo,wao ugum hawautaki,pia n sahh kwa maisha ya sasa na wanayokulia.
Hilo ni wazo zuri.
Kwa weather na maisha ya Ilboru; hata kama ni mtoto wa kutoka 'Academia'; hupati taabu.
Halaf kuna spirit inajengeka kusomea shule kama hizi; japo ni ngum kumshawish mtu kwa zama hizi. Elimu + maisha.
Unaweza ukapata 'weak ONE' kwenye NECTA, lakini ikakufaa baadae zaidi ya 'Strong ONE' ya Academia.
Dillema iliwahi kunikuta pia. Lakini sijawahi jutia uamuzi niloufanya.
Ilikua muhimu kwake kupata elimu bora ya primary (kama alivyofanya); lakini kwa secondary ; no big deal!
 
Hahahaa,haya mkuu,ila msogo sio big deal sana sku hz mkuu,mazingira na hz shule wanazosoma watoto wa ck hz n tofaut kdogo mkuu na sis wa zamani,elim bora sio kua msongo sana wala sio kufauru,watu ck hz wanafaulu bila hata kufanya pepa mkuu.
Muache mwanao akakutane name wasongo wenzake.acha kumdekeza mkuu
 
Ilboru na hyo migomo ya kila siku mnafunga miezi mitatu si majanga kwa mwanafunzi
 
Wazo zuri,watu wengne wanashauri hvyo pia,.ngoja nimshrikishe,awali niliwah kumdokeza hlo la kusoma iliboru akaikataa akasema haitaki[anaish jiran na iliboru],ngoja nijaribu kumshawish,akigoma nampeleka st patric yake anayoililia.watoto wa siku hz bwana,anataka amkamue mzazi had abakie mifupa,3m annually mbali,wakat serikalin 70 kwa mwaka,duh!

mtoto hawezi kutaka kukukamua unless you let him!!
 
Hii migomo dogo aliishuhudia ndo maana haitaki,eti wana fujo,duh!yy nilivomwambia kachaguliwa mzumbe akafurah kweli,ila wadau wa jf wanashauri mzumbe sio nzuri tena ck hz km zaman,mazngra magum kwa watoto wa olevel.
Ilboru na hyo migomo ya kila siku mnafunga miezi mitatu si majanga kwa mwanafunzi
 
Hii migomo dogo aliishuhudia ndo maana haitaki,eti wana fujo,duh!yy nilivomwambia kachaguliwa mzumbe akafurah kweli,ila wadau wa jf wanashauri mzumbe sio nzuri tena ck hz km zaman,mazngra magum kwa watoto wa olevel.

Kama amepata private basi sawa lakin shule za serikali zinafanana
 
Hii migomo dogo aliishuhudia ndo maana haitaki,eti wana fujo,duh!yy nilivomwambia kachaguliwa mzumbe akafurah kweli,ila wadau wa jf wanashauri mzumbe sio nzuri tena ck hz km zaman,mazngra magum kwa watoto wa olevel.
Hahaa Nabii hana heshima kwao. Better umesema anakaa jirani na hapo.
Akitoka nje ya Northern Zone ndio atajua fujo ni nini.
Ilboru ni miongoni mwa shule zenye utulivu wa juu. Matatizo madogo yalisababishwa baada ya utaratibu wa kupeka Head masters wasio na sifa mwanzoni wa 2000's; ndipo shule ikaachia nafasi yake 1 kitaifa.
So far ule ni mgomo wa pili wa kusimasha masomo tokea early 90's.

tragedy of the commons
 
Ilboru ni moja ya shule zenye utulivu! kwan ulisoma mwaka gani? Vurugu na migomo ndo vimetawala sikuhiz
 
Naelewa concern yako. Lakini matatizo makubwa ni yale ya kidini, ambayo yametokea vile vile ktk shule nyingi ktk awamu hii (shule kubwa zaidi ya 10).
Take it from me; elimu ya secondary haiihitaji kukaa darasani masaa mengi kama kizazi cha sasa kinavyoamini. Ideology ya shule ina nafasi kubwa pia.
N.B nimetoka pale zamani, lakini nimekua mdau mfuatiliaji.
 
Mi nilihama pale nkahamia mzumbe so kiukweli mzumbe iko poa kwa sahivi kuliko ilboru
 
Back
Top Bottom