mzumbe secondary.

Ilboru ni moja ya shule zenye utulivu! kwan ulisoma mwaka gani? Vurugu na migomo ndo vimetawala sikuhiz

kpnd dogo anafanya pepa yake ya drs la saba mwez wa 9 mwaka huu pale shulen kulikua na mgomo,akaiogopa,ila iko na fujo sana ck hz,sio km zaman.
 
Ushauri wngu mpeleke Mzumbe maana kule atajenga kitu kichwani kutokana spirit iliyojengeka pale shuleni. Kwa sisi watoto wa mjini tuliosomaga Azania tulikuwa tunasoma kwa spirit iliyojengeka zamani Azania vichwa kwnye hesabu.
Angalizo ukimpeleka huko private muandalie hela ya kumsomeshea as private Chuo kikuu maana sisi wengne tulichukuliwa na shule moja private baada ya kufanya vizuri o -level cha moto tulikiona chuo kwnye mikopo,ukiangalia familia uliyotoka ya kuungaunga ilikuwa balaa tupu.
 
Mfumo wa maisha unabadilika mkuu,utandawaz unachukua nafac kubwa,km uwezo upo ni bora kumuwezesha mtoto awe katika hali ya kukabiliana nao mkuu,shule za serikali zimekua hazitoi elim bora,bora mtu afaulu,hata akiiba pepa,huo utaratbu sio mzuri,private wanamjenga mtoto kujiamin,kujieleza,mfano ukipata nafac ya kuongea na CEO'S au HR'Swa makampun baadh,wanakwambia vjana weng wanaufaulu mzr lakn hawana au hawajui chochote,tusiwekeze sana kwenye kufaulu,tujenge uelewa na uwezo wa mwanafunz,hyo ktu ck hz shule za serikali hakuna mkuu.
 
Shule za serikali hata kama ni special ili mwanafunzi afaulu lazima awe mpiganaji la sivyo atafeli.Nakumbuka nikiwa form 2 Tanga tech mwalimu wa chemistry aliingia darasani mara 2 tu mwaka mzima lakini matokeo yalipotoka A zilikua 82 na B za kutosha halafu wanafunzi 7 walipata 100, headmaster alimpa huyo mwalimu zawadi ambayo kwa kweli hakustahili kabisa .Mi nakushauri mpe ukweli kuhusu mazingira yalivyo kama atakubali kwamba anaweza kupigana basi mpeleke mzumbe
 
Nimeipenda comment yako mkuu,hiyo ndio hali halisi ya shule za serikali,hata mm nimesoma shule ya o level hakukua na mwl wa physics na chemia miaka yote ila watu walipata A za kutosha,hayo mazngra naona n magum kwa vjana wa siku hz mkuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…