Comfucious pedagogy
JF-Expert Member
- Mar 11, 2014
- 211
- 39
kipi kitakuwa vizuri? nataka nfanye masters degree.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kipi kitakuwa vizuri? nataka nfanye masters degree.
mtoa maada una diploma tu au una bachelor?maana wanaoulizaga maswali hayo ni wale wanaoingia bacheor degree kama nilivyokuwa nafanya mimi kila mda kufanya utafiti.mpka leo unategemea mawazo kama hayo?we ubongo wako umetanuka na umepita kwenye mengi .masters halafu unakuja kuuliza kipi bora humu ukasome? Haupo siliasi hata kidogo.
mtoa maada una diploma tu au una bachelor?maana wanaoulizaga maswali hayo ni wale wanaoingia bacheor degree kama nilivyokuwa nafanya mimi kila mda kufanya utafiti.mpka leo unategemea mawazo kama hayo?we ubongo wako umetanuka na umepita kwenye mengi .
Sasa toa matokeo yako ya degree ya kwanza tukusaidie si unaomba msaada tu maana matokeo yako ndio yatakuguide uende wap yaani kwanza post yako ni incomplete .
nko na GPA3.7 nko na maana yangu na nimesoma udsm pia ningependa mwenye Masters ya hiv vyuo ama anaifanya sasa anpe ushauri.

Hizi fikra unazoleta hapa ni fikra za vijana wa Advance wanaotarajia kwenda kujiunga chuo kikuu na baadhi ya wazembe wa ngazi ya degree lakini mtu mzima kama wewe unaedai ushapa degree tena second upper class ulipaswa kuwa na info kutoka hata hujmaliza degree programme yako. Ok ngoja ni assume hujui, kwa ushauri wangu chuo chochote Tanganyika au Zanzibar unaweza soma especially hvo ulivyotaja au vya serikali kwa ujumla. SUA,MZUMBE,UDOM,UDSM n.k huko kote unaweza enda pata masters yenye kiwango kizuri ukiachana na private ambazo mara nyingi huwa zinatoa elimu ya kibiashara zaidi. Yaani hawapo tayari kufelisha hata mwanafunzi akiwa amefeli ili kutangaza vyuo vyao.
nimekosea nilikuwa nataka kumjibu mtoa maadambona kama umenijibu mimi?
kama ni mambo ya uhasibu masters ya mzumbe iko poa sana,nina jamaa zangu nao wamemaliza ud wapo pale main campus wanapiga msc(accounting and finance),pia uchumi ,public administration ndio nyumbani pale.ila kwa mambo ya sheria udsm ndio home ,maaana moja kwa moja scool of law.pia mzumbe wapo powa nao,ila kunakozi na kozi chuo kimojawapo kipo vizuri.ngoja waje sasa wanaosoma au waliosoma masters,ubaya kila mmoja atakushauri kutokana na chuo alichosoma yeye na kutotoa ushauri sahihi kabisa.take care.zaidi udsm na mzumbe ni poa sananko na gpa3.7 nko na maana yangu na nimesoma udsm pia ningependa mwenye masters ya hiv vyuo ama anaifanya sasa anpe ushauri.
kama ni mambo ya uhasibu masters ya mzumbe iko poa sana,nina jamaa zangu nao wamemaliza ud wapo pale main campus wanapiga msc(accounting and finance),pia uchumi ,public administration ndio nyumbani pale.ila kwa mambo ya sheria udsm ndio home ,maaana moja kwa moja scool of law.pia mzumbe wapo powa nao,ila kunakozi na kozi chuo kimojawapo kipo vizuri.ngoja waje sasa wanaosoma au waliosoma masters,ubaya kila mmoja atakushauri kutokana na chuo alichosoma yeye na kutotoa ushauri sahihi kabisa.take care.zaidi udsm na mzumbe ni poa sana
kipi kitakuwa vizuri? nataka nfanye masters degree.
kipi kitakuwa vizuri? nataka nfanye masters degree.