Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu jina langu halipo ktk orodha lakini profile inaonesha nimechaguliwa mzumbe usaidizi tafadhali.
kama kuna ambaye hajacheki hadi sasa aseme course nitupie majina asaivi....!!!!
alex mongi bachelor of heath services nichekie mkuu
alex mongi bachelor of heath services nichekie mkuu
alex mongi bachelor of heath services nichekie mkuu
nilipokoleza kwenye hayo majina umejiona!!!
Jaman nimeingia tcu nimechek nimechaguliwa mzumbe corse n bacc/baf ya local government ila kwenyw list iliyotolewa na mzumbe hyo corse haipo na wala sion jina langu sielew hapa plz ushaur?
Elimu sio vita lakini uku ni kama vita.. kama umeangushia uku sup nje nje na ukisup zaidi ya 3 total disco this smth special u ddnt knw..
Npeni intro ya mzumbe lifetime
Ile ela ya hostel ni lazima kulipa ? je first year wte uwa wanapat hostel za campus