Tony254
JF-Expert Member
- May 11, 2017
- 16,017
- 16,431
Hii video imenikasirisha sana. Nimeipost hapa kwa sababu inawahusu Wakenya, Watanzania na Waafrika kwa ujumla. Lazima tufahamu kuwa beberu sio mtu mzuri. Kwenye video beberu anakiri wazi kwamba wao watafanya juu chini kuhakikisha kwamba Africa inabakia kuwa masikini.