Mzungu akiri kuwa mabeberu watafanya lolote kuhakikisha Africa inabakia kuwa masikini

Sijakuelewa unachomaanisha unaweza kufanunua kama ukipenda, ...
Sijui kama nitaweza kucapture yoote ila nitajaribu.

Haya yanayotokea, political unrest, bad economic decisions zinazofanywa na watu wenye akili timamu often hazitokei bahati mbaya... Zinakuja kwa sababu zinapangwa ziwe/zitokee.

Power ya mafanikio iko kwenye mpango/utekelezaji madhubuti... Hii inasaidia kuhakikisha taratibu za kutumia rasilimali zinafanywa kwa mtindo wa kulenga ili kuongeza tija.

Kwa nchi nyingi za kiafrika zilishushiwa what we call democracy na the way ilivyokuwa implemented huku kwetu haikuwa na lengo la kutufanya huru zaidi nikuleta chaos ili tushindwe kujitawala kuwa na mpango wa muda mrefu na kuusimamia.

Sasa namna gani haya hufanywa ni kupitia all forms of indoctrination, be it schools, media, entertainment, music , etc.. ambazo zinapokea funds kutoka kwa Donors through NGOs to disrupt nationalistic agendas.

Ukiwaita warusi au wachina leo majority Wana parallel views about many things in their country... Ukiwaita Watanzania au Waafrika wengi leo wana mixed views often very contrary because that's how they are supposed to be; for others to benefit...

The biggest threat to the world is united africa.. because even if africans won't be as united; having an enforcement platform that can lock out looters is dangerous for the stability of developed world.

Take an example, Congo with all the natural resources, and gigantic population can't beat the economy of austria... Something is terribly wrong there... No matter how efficient you are an economy of 5m people can not beat the economy of 90m people it's just impossible.

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Ukiwaita warusi au wachina leo majority Wana parallel views about many things in their country... Ukiwaita Watanzania au Waafrika wengi leo wana mixed views after very contrary because that's how they are supposed to be for others to benefit...

The biggest threat to the world is united africa.. because even if africans won't as united having an enforcement platform that can lock out looters is dangerous for the stability of developed world.

Take an example, Congo with all the natural resources, and gigantic population can't beat the economy of austria... Something is terribly wrong there... No matter how efficient you are an economy of 5m people can not beat the economy of 90m people it's just impossible.

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app

Binafsi siamini hayo uliyaandika kama ndio sababu ya sisi kuwa masikini ingawaje bado naheshimu maoni yako, mimi naamini kabisa tatizo kubwa ni sisi wenyewe tumeshindwa kuelewa maana ya capitalism, kama tukielewa maana ya capitalism na kuanza kuitumia nina amini tutafanikiwa, capitalist anaangalia faida na jinsi gani aweze kupata faida zaidi, sasa kama Muwekezaji akija kwa mfano kwetu Tanzania kuwekeza kwenye madini anakuja na Wanasheria wake ambao wametengeneza road map ya jinsi ya kuweza kupata faida kubwa kwenye huo uwekezaji sasa kama sisi hatuwezi kuangalia maslahi yetu na kujua kama tutafaidika kwa kiasi gani hiyo siyo shida ya muwekezaji kwani hiyo mikataba hailazimishwi ni pande mbili zinakaa na kukubaliana na kusaini, sasa Capitalist kafanya homework na anajua nini atapata na kama huo uwekezaji utalipa sasa kama sisi hatujafanya hiyo homework unategemea yeye atuambie ?

Hiyo nchi uliyoitaja inafaidika kuliko Kongo kwa sababu wamefanya homework yao, Kongo hawajafanya homework, hiyo ndiyo tofauti, na hili siyo swala la rangi au Uafrika, Capitalist anatumia kanuni zile zile Dunia nzima, ila tofauti ni kwamba wengine wanajua wanataka nini, sisi hatujui na hilo siyo kosa la Capitalist.
 
Binafsi siamini hayo uliyaandika kama ndio sababu ya sisi kuwa masikini ingawaje bado naheshimu maoni yako, mimi naamini kabisa tatizo kubwa ni sisi wenyewe tumeshindwa kuelewa maana ya capitalism, kama tukielewa maana ya capitalism na kuanza kuitumia nina amini tutafanikiwa, capitalist anaangalia faida na jinsi gani aweze kupata faida zaidi, sasa kama Muwekezaji akija kwa mfano kwetu Tanzania kuwekeza kwenye madini anakuja na Wanasheria wake ambao wametengeneza road map ya jinsi yakuweza kupata faida kubwa kwenye huyo uwekezaji sasa kama sisi hatuwezi kuangalia maslahi yetu na kujua kama tutafaidika kwa kiasi gani hiyo siyo shida ya muwekezaji kwani hiyo mikataba hailazimishwi ni pande mbili zinakaa na kukubaliana na kusaini, sasa Capitalist kafanya homework na anajua nini atapata na kama huo uwekezaji utalipa sasa kama sisi hatujafanya hiyo homework unategemea yeye atuambie ?

Hiyo nchi uliyoitaja inafaidika kuliko Kongo kwa sababu wamefanya homework yao, Kongo hawajafanya homework, hiyo ndiyo tofauti, na hili siyo swalala rangi au Uafrika, Capitalist anatumia kanuni zile zile Dunia nzima, ila tofauti ni kwamba wengine wanajua wanataja nini, sisi hatujui na hilo siyo kosa la Capitalist.
Nakubaliana na wewe kabisa.

Capitalism is fairly new. Kwa nchi nyingi ulimwenguni na kwa ulimwengu wenyewe kwa ujumla. Inahitaji moderation.. uipokee kwa kuzingatia mazingira yako pia.

Capitalism iliyoletwa Afrika haikulenga kuikomboa Afrika... Ililetwa tuendelee kuwategemezi ila tukiwa huru (perceived freedom)

Tanzania for instance, tulikuwa na elimu ya kujitegemea, mfumo huu ulihimiza kuwa na jamii iliyojengwa kifikra kusimama na kutumia fursa zote kujiletea maendeleo. Ulilenga kuandaa vijana wanaofit kwenye jamii na wanaojua majukumu yao kisheria wenye uwezo wa kuyasimamia pia.

Wakati huu shule za umma zilikuwa ni bora na na ubora wa elimu ulionekana. Kwa fikra za watu.. muhitimu wa darasa la saba alikuwa organised, alijua kilimo, stadi za kujikimu, aliweza kuaandaa proporsal, kujiandalia na kutunza kumbukumbu za fedha, kuandika barua za kuomba kazi na kadhalika..

Uchumi ulikuwa unaanza kujengwa sawia... Nani alituondoa huko!? Wakati wa mungai!? Kwann atuondoe huko!? Kwanini chokochoko za vita ya Kagera!? Baada tu ya vita SAP zikaja and down spiral of what once was promising...began.. its by design not by default.

Ila international community inataka kuwe na free and fair trade. If it's free and fair umewahi kujiuliza kwanini medical equipment for african countries is waaaay too expensive and it's like someone is controlling how it gets here!?

Nadhani we never came of out of colonialism,all we did was trade one form for another. We are still colonies until we take a step back and charter our own future and commit to it... The most important fact is ...we are already a part of a much larger global balance you move away bad shit happens...

Like how Ethiopian hydro electricity plan is threatening Interests of the west in Egypt and how Stiglers threats European interests in Kenya... You need to be bold to get out of the trap

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
wengine tunawapenda mabeberuuuuu...msituchosheee....tutaendelea kutema yaiiiii!!! ungenge hoyeeee
 
Yote hii inapelekew na viongozi wanafki na corrupt leaders in Africa ndio mana wanatusumbua sana hawa washenzi...tumekuwa soko lao la raw materials for couple of decade now and we still provide what a .*** is tht
 
Tanzania nyie ndio mnaproduce raw materials nyingi hata kushinda Kenya. Wazungu wamewashika kwenye mabolingo
 
Binafsi siamini hayo uliyaandika kama ndio sababu ya sisi kuwa masikini ingawaje bado naheshimu maoni yako, mimi naamini kabisa tatizo kubwa ni sisi wenyewe tumeshindwa kuelewa maana ya capitalism, kama tukielewa maana ya capitalism na kuanza kuitumia nina amini tutafanikiwa, capitalist anaangalia faida na jinsi gani aweze kupata faida zaidi, sasa kama Muwekezaji akija kwa mfano kwetu Tanzania kuwekeza kwenye madini anakuja na Wanasheria wake ambao wametengeneza road map ya jinsi ya kuweza kupata faida kubwa kwenye huo uwekezaji sasa kama sisi hatuwezi kuangalia maslahi yetu na kujua kama tutafaidika kwa kiasi gani hiyo siyo shida ya muwekezaji kwani hiyo mikataba hailazimishwi ni pande mbili zinakaa na kukubaliana na kusaini, sasa Capitalist kafanya homework na anajua nini atapata na kama huo uwekezaji utalipa sasa kama sisi hatujafanya hiyo homework unategemea yeye atuambie ?

Hiyo nchi uliyoitaja inafaidika kuliko Kongo kwa sababu wamefanya homework yao, Kongo hawajafanya homework, hiyo ndiyo tofauti, na hili siyo swala la rangi au Uafrika, Capitalist anatumia kanuni zile zile Dunia nzima, ila tofauti ni kwamba wengine wanajua wanataka nini, sisi hatujui na hilo siyo kosa la Capitalist.
Mikataba sio ya hiari yetu ni kulazimishwa au kuhongwa, usipokubali unatolewa madarakani au uhai. Mifano mingi tu ipo hapa Afrika.
 
Nafikiri umerahisisha sana kusema hivyo, kumbuka kwamba Capitalist kanuni zake ni zile zile kila mahali, mbona juzi kati Tanzania tumejitahidi kuingia Mikataba mipya na Barrick tena wakati Raisi wetu kashikilia mizigo Bandarini kwetu tulitishiwa hivyo hivyo kama wewe unavyotisha sijui Dick Cheney yuko kwenye board ya Barrick kwa hiyo tutapigwa mabomu mara sijui tutashitakiwa MIGA, mbona tumeweza kukaa nao meza moja kupitia Mikataba upya na kuafikiana? Safari hii hata sisi tumefanya homework yetu na juzi kati tumelipwa kama tulivyoahidiwa 300 milioni USD, mbona hatujapigwa mabomu?
 
Sijui kama nitaweza kucapture yoote ila nitajaribu.

Haya yanayotokea, political unrest, bad economic decisions zinazofanywa na watu wenye akili timamu often hazitokei bahati mbaya... Zinakuja kwa sababu zinapangwa ziwe/zitokee.

Power ya mafanikio iko kwenye mpango/utekelezaji madhubuti... Hii inasaidia kuhakikisha taratibu za kutumia rasilimali zinafanywa kwa mtindo wa kulenga ili kuongeza tija.

Kwa nchi nyingi za kiafrika zilishushiwa what we call democracy na the way ilivyokuwa implemented huku kwetu haikuwa na lengo la kutufanya huru zaidi nikuleta chaos ili tushindwe kujitawala kuwa na mpango wa muda mrefu na kuusimamia.

Sasa namna gani haya hufanywa ni kupitia all forms of indoctrination, be it schools, media, entertainment, music , etc.. ambazo zinapokea funds kutoka kwa Donors through NGOs to disrupt nationalistic agendas.

Ukiwaita warusi au wachina leo majority Wana parallel views about many things in their country... Ukiwaita Watanzania au Waafrika wengi leo wana mixed views often very contrary because that's how they are supposed to be; for others to benefit...

The biggest threat to the world is united africa.. because even if africans won't be as united; having an enforcement platform that can lock out looters is dangerous for the stability of developed world.

Take an example, Congo with all the natural resources, and gigantic population can't beat the economy of austria... Something is terribly wrong there... No matter how efficient you are an economy of 5m people can not beat the economy of 90m people it's just impossible.

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Taabu ya Mwafrika anataka kusaidiwa bure, ama afaidike kuliko mtoa msaada jambo ambalo halipo duniani. Cha muhimu ni sisi kujitengenezea mifumo imara ya kijamii, kisiasa, kielimu mwisho tuujenge uchumi kuliko kukaa na mindset eti beberu hajituacha tuendelee.
Kama hatutaweza kuwa na share kwenye sayansi na teknolojia tusahau kusonga mbele pia tuache lawama zisizo na mashiko, zaidi ya 90% ya teknolojia na tecnical know-how tunamtegemea Beberu hatumsifii ila tukiminywa kwa ujinga wetu tunakuwa mbogo.
 
Nafikiri umerahisisha sana kusema hivyo, kumbuka kwamba Capitalist kanuni zake ni zile zile kila mahali, mbona juzi kati Tanzania tumejitahidi kuingia Mikataba mipya na Barrick tena wakati Raisi wetu kashikilia mizigo Bandarini tulitishiwa hivyo hivyo sijui Dick Cheney yuko kwenye board ya Barrick kwa hiyo tutapigwa mabomu mara sijui tutashitakiwa MIGA, mbona tumeweza kukaa nao meza moja kupitia mikataba upya na kuafikiana? Safari hii hata sisi tumefanya homework yetu na juzi kati tumelipwa kama tulivyoahidiwa 300milioni USD, mbona hatujapigwa mabomu?
Sio nchi zote ziko hivyo kama ulivyoelezea mfano wa Tanzania. Hawa wabeberu/capitalist watatumia mwanya wowote kusambaratisha nchi wakipata huo mwanya ilikuimarisha faida yao. Tanzania imekuwa na umoja na amani kwa mda mrefu hivyo sio rahisi kusambaratisha nchi kama hiyo. Nchi kama DR Congo ambayo haijawai kuwa na amani, ukijaribu hii si coup au vita itakuwa pale kama havipo sasa hivi?
 
Ndiyo maana nikasema siyo swala la kuwa Mwafrika au mweusi ni swala la aina ya watu waliopo, kama hawajali maslahi ya nchi na watu wao hakuna kitu capitalist watafanya, capitalist anaangalia faida tu, hata kama ni wewe ukiwa na Kampuni sasa hivi ya madini au mafuta unataka kwenda kuwekeza labda Kongo, kama Viongozi wa Kongo wanakupa upendeleo maalumu kwenye huo uwekezaji kwa kukudai rushwa kiasi fulani utakataa kwa sababu unataka kuisadia na unaijali sana Kongo?
 
Huku Afrika particularly wanatunyoosha sana manake kwa kiasi kikubwa tumejaa ukabila, ukanda, ubinafsi uliopitiliza nk vitu ambavyo ni rahisi kutumika kuwanunua/kuwahonga/kuwapiganisha.. Mifano iko mingi tu kuanzia yule mpuuzi wa Equatorial Guinea [emoji1095] aliyetumia mabilioni ya dola kufadhili uchaguzi wa Ufaransa wakati wananchi wenzie wanaogelea kwenye dimbwi la umasikini mpaka kwa wapuuzi wa Nigeria wanaopiga dili ili viwanda vya kusafisha mafuta ndani ya ardhi ya Nigeria visifanye kazi kwa ufanisi ama vifungwe kabisa mpaka wapuuzi wa Sudan kusini waliopewa uhuru wakaishia kuharibu uchumi kwa kugombea uwakilishi wa mrengo wa kikabila mpaka sasa mafuta yamesimama kusafirishwa kazi inayoendelea ni kuuana na kuchomeana vijiji
 
Ndiyo maana nikasema siyo swala la kuwa Mwafrika au mweusi ni swala la aina ya watu waliopo, kama hawajali maslahi ya nchi na watu wao hakuna kitu capitalist watafanya, capitalist anaangalia faida tu, hata kama ni wewe ukiwa na Kampuni sasa hivi ya madini au mafuta unataka kwenda kuwekeza labda Kongo, kama Viongozi wa Kongo wanakupa upendeleo maalumu kwenye huo uwekezaji kwa kukudai rushwa kiasi fulani utakataa kwa sababu unataka kuisadia na unaijali sana Kongo?
kumshinda beberu bila umoja na wingi wa watu ni sawa na mkristu kumshinda shetani hao jamaa sio watu wenye utu kabisa yani mm siamini hata Ebola kwanini iwepo Kongo yaani beberu alivyo moyoni mwake ni bora hata usipokee hata msaada wake. Hafu mbona south Africa imechakazwa japo kulikua na umoja uwongozi Bora. Jamanii tusijbambikize ubaya sijui sisi wakatili wezi wavivu hao mabeberu ni Kama shetani tu kwa sababu wanakuja kwa hila kuharibu mambo viongozi waafrika wanapitia mengi. Kuwa Kama "jiwe" sio kitu kidogo. Kama mtu alitumia hata neno la mungu kukulaghai kweli ni mtu huyo. Hawa jamaa sio poa
 
Na kwa nini umshinde? Hapo ndipo tunapokosea kwa maoni yangu, Capitalist siyo adui yetu na wala hatuko vitani, vipi kuhusu kushirikiana na Capitalist kuhakikisha na sisi tunafaidika pia? Ninaposema sisi namaanisha Tanzania, achana na mambo ya Afrika kwa sasa, tunaongela nchi yetu, kama tukijifunza tunaweza kushirikiana na Capitalists na kufaidika pia, ...
 
Hawa jamaa misaada yao ni Kama panya anavyokugata huku akipuliza

Ila nilivyopenda ni viongozi wa Africa Sasa wanaanza kumuiga jiwe

Tutatoboa tu
 
Na kwa nini umshinde? Hapo ndipo tunapokosea kwa maoni yangu, Capitalist siyo adui yetu na wala hatuko vitani, vipi kuhusu kushirikiana na Capitalist kuhakikisha na sisi tunafaidika pia? Ninaposema sisi namaanisha Tanzania, achana na mambo ya Afrika kwa sasa, tunaongela nchi yetu, kama tukijifunza tunaweza kushirikiana na Capitalists na kufaidika pia, ...
Capitalism nadhani hoja yake kubwa ni kupata zaidi ya mwingine. Maximize your profit.. it's about winning.... Winning and winning...

Nimeona prof mmoja akipresent paper and he says how vital it is for sub saharan africa to stay impoverished for betterment of the developed world.

Imagine una kiwanda in a place there is only 10workers you can have and suddenly all the workers want to start their own venture... That means the end of your establishment.. 🙂

Africa can't rise.. ref the rise of Asian Tigers... S.Africa, Brazil, India, Russia na China that took away so much cheap labor, cheap raw materials.. na hiyo imewaingiza nchi zote hizo kwenye scramble of the little left (raw materials, cheap labor na markets) the next wave will be so much hit with all sort of nastiness the resilient will persevere

Back
Top Bottom