Tunatofautiana namna ya kuelewa.Kwani siku zote ulikuwa hutambui hilo?
Mbona sio siri!
ebu tingisa kijwa yako kama bakuli ya uyiMagufuli akiwaelekeza mnamuona sio,sisi waelewa tushamwelewa,huyu ndio anatakiwa kuwa Rais wa Africa na sio Tz,anaelewa ubaya wa hao watu,nyie mnaowalambalamba endeleeni hvyohvyo,mkija kushtuka mmebakiwa na mashimo tu,go for magufuli go for tz,go for afrika,afrika kwanzaaaaaaaa
oi skia yaani Africa Kuna watu wachache, rasilimali Kama zote yaani, hafu hakuna unity, ko beberu anapata urahisi wakufanya Mambo yake kwa kuwa Kuna mzigo wakutosha, yaani Congo iendelee bila kushirikiana na mataifa ya Africa. Hapa beberu atakua ameshiba.Siyo kweli, ukiwa na akili unaweza kufanikiwa pamoja na magumu yote, hivi ni visingizio tu, inaonekena kama Afrika tu ndiyo inaonewa lkn ukweli ni kwamba Capitalists wanafanya hivyo Dunia nzima, kwanza katika sehemu ambazo Capitalists wameiba sana Afrika siyo nambo moja, ...
Nyang'au hawataelewa kabisa hata ikichukua karne moja!Tunatofautiana namna ya kuelewa.
Wengine wanaelewa pale pale mwalimu anapodundisha, mwingine ataelewa jioni, mwingine kesho, mwingine baada ya week.
Tuvumiliane tu.
πππ
oi skia yaani Africa Kuna watu wachache, rasilimali Kama zote yaani, hafu hakuna unity, ko beberu anapata urahisi wakufanya Mambo yake kwa kuwa Kuna mzigo wakutosha, yaani Congo iendelee bila kushirikiana na mataifa ya Africa. Hapa beberu atakua ameshiba.
Mm simlaumu Sana mwafrika ila beberu mungu anawaona.
Sio by default ..it's definitely by design.Siyo kweli hivyo ni visingizio, kuna nchi nyingi Duniani zenye rasilimali nyingi tu kama au hata kuliko Kongo, lkn ziko vizuri, Capitalist haangalii sura wala ngozi ya rangi yako anaangalia faida, na wapi anaweza kubana ili aongeze faida, ni hivyo tu, labda nikuulize kwa nini Qatar au UAE siyo masikini kama Equatorial Guinea au hata Angola tu? Kwa nini Nigeria wana hali mbaya ili hali ni nchi ya 6 Duniani kwa kuuza mafuta Duniani?
Sio by default ..it's definitely by design.
Why are having this conversation!?
Clearly you have been programmed to think like that... So are countries, they can be programmed to act a certain way... It has been done before.. and will continue to be done.
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app