Mzungu aliyegoma kurudi Ulaya ili amtunze mama yake mzazi

Mzungu aliyegoma kurudi Ulaya ili amtunze mama yake mzazi

Sijamsikiliza ila Kama Ana watoto Zaid ya wanne huku Yuko sahihi
 
Wakati watu hupenda kwenda Ulaya huyu mzungu mbelgiji hataki kwenda Ulaya kisa anatunza mama yake

Siyo kila mtu anataka kwenda Ulaya. Narudia tena: Siyo kila mtu anataka kwenda Ulaya. Ukienda Ulaya kuna wazungu wengi tu wanakukimbia tena wanakwenda kuishi maisha duni kabisa sehemu nyingine za dunia.
 
Sijamsikiliza ila Kama Ana watoto Zaid ya wanne huku Yuko sahihi
Ana watoto 18

Watano ni wa kiume na 13 ni wakike .Katika hao watoto 13 was kike wote wameolewa kasoro wawili ndio bado
 
Back
Top Bottom