Ubelgiji sio ulaya?Wakati watu hupenda kwenda Ulaya huyu mzungu mbelgiji hataki kwenda Ulaya kisa anatunza mama yake
Haya bosi nimekuelewa.Ungesikiliza Hiyo clip Kwanza
Huyo mzungu mbelgiji hayuko ubelgiji
Siyo kila mtu anataka kwenda Ulaya. Narudia tena: Siyo kila mtu anataka kwenda Ulaya. Ukienda Ulaya kuna wazungu wengi tu wanakukimbia tena wanakwenda kuishi maisha duni kabisa sehemu nyingine za dunia.Wakati watu hupenda kwenda Ulaya huyu mzungu mbelgiji hataki kwenda Ulaya kisa anatunza mama yake