Mzungu huyu atakuwa ameamua tuachane au yuko busy?

Mapenzi ya mbali yanaleta sana stress... utajitahidi kuwa positive weee lakini ipo siku lazima utaanza tu kuwaza mawazo potofu.. atakutafuta mwaya, just relax..
Well said, sema love ikiwa on the air mama angu huskii kitu. 5years long distance..stress kibaoo..tatizo she is soo really and ktamuuu
 

Nachechemea bado lakini ss hv atleast naendelea vizuri ukizingatia naweza hata kutembea polepole.
 

Yeah your very right na hii tabia ya kua na hofu hua nnayo sio kwa sababu ya huyu mzungu tu ila sababu nishajijua najitahidi sana ku overcome situation na kucalm down sababu nikiiendekeza itakuja kunicost baadae..asante kwa ushauri mzuri bro[emoji120]
 

Amesharudi hewani alipata tatizo kidogo..asante kwa ushauri na muda wako mkuu[emoji120]
 

Wow una exposure nzuri sana and its very interesting to hear this from you! Mimi ni mtu wa kuishi kwa ndoto kuanzia elimu yangu mpk mtindo wangu wa maisha na nashukuru Mungu vingi hua vinaenda!
Kuishi bila malengo na ndoto ni kujikosea sababu ww kila kitu utaona sawa tu asante sana kwa maelezo mazuri incase of anything I will pm you.
 

Hahaha I will do this for sure bro[emoji38][emoji120]
 
Embu jaribu kumpigia kawaida
Huwenda kapata tatizo,sisi ni binadamu
Pia hamkuwahi kutajiana Facebook accounts? Huwenda ikakusaidia kuperuzi kwenye wall yake maka Kuna chochote

Nimempata dear alipata tatizo kidogo, asante kwa ushauri wako dear[emoji120]
 
Majira ya barafu sasa, ukanda huo hadi URUSI so watu hawatembei sana, mostly mnakuwa ndani, inafikia kipindi hadi miezi miwili. Utaona akitulia atakuchek, wazungu wana mapenzi ya kweli, sisi weusi haturidhiki na mtu mmoja. Whiteman akikuhisi una pisi nyingine ndio mkono wa kwaheri.
 

Hahahaha ila well amerudi he is ilnotba ghost actually, alipata tatizo and we are fine now.
 
Mapenzi ya mbali yanaleta sana stress... utajitahidi kuwa positive weee lakini ipo siku lazima utaanza tu kuwaza mawazo potofu.. atakutafuta mwaya, just relax..

Yaani acha tu ila nashukuru amenitafuta jioni alipata tatizo kidogo according to him.
 

Your right amenichek bro, simu take ilianguka wino ukajaa so akawa anasikia notification ila screen haifunction leo ndio kanunua simu mpya.
 
Madkini ya Mungu..asante kwa kuchangia pia.

Kama nakuona akili ilivyotulia sasa.. hongera kwa kupenda na kupendwa.. anza kutayarisha mipango ya kuhakikisha hizo siku anakula bata haswa usisahau kwenye utalii kubuku na safari akajionee wanyama pia.. Zanzibar kama haupo huko.. kila la kheri.. muonyeshe unaweza kutumia pesa yako kumpa raha pia.. mkitoka unamwambia utalipia bill unafanya style ya kama kupokezana kwa kujipimia urefu wa kamba yako.. mara tano chomeka wewe moja au mbili muhimu ukizidisha poa tu.. hata kulipia taxi etc
 

Thanks for the good advice dear aliplani tukae two weeks in Dar then 1 week arusha na two weeks in zanzibar i hope everything will go well as planned..thanks for the concern dear
 
🤣🤣🤣 mshono
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…