Huyo jamaa atakuwa akufanyia tathmini na amekuona na ataendelea hivyo.
Tatizo lenu ninyi mabinti mna haraka, inaeleweka lakini muwe na uvumilivu kwani hii ni initial stage ambayo ndio muhimu kuliko stage zote.
WaNorway ni watu poa wasomi na welevu hivyo usimwendee hovyo nilikaa kidogo pale Oslo pana wasomali wengi sana nchi nadhifu sana.
Pia wanakula samaki wa salmon wanampenda sana huyo samaki, hivyo samakisamaki iwe top of agenda kisha weye mwenyewe wampikia ikifika D day.
Kila la kheri ufanikiwe ujikomboe, mvumilivu hula mbivu.