Mzungu huyu atakuwa ameamua tuachane au yuko busy?

Kuna haka katabia ukiwa na jambo lako binafsi la kusubiria na ukalisema kwa jirani ama kwa mtu yoyote huwa halitimii. Unakuwa kama umeharibu formular.

Kama ni mtu wa kundi hili unapaswa uwe na koromeo ili mambo yako yaende.

Sent from my Moto C using JamiiForums mobile app
 
Thanks dear amenichek tayari.
Huyo jamaa atakuwa akufanyia tathmini na amekuona na ataendelea hivyo.

Tatizo lenu ninyi mabinti mna haraka, inaeleweka lakini muwe na uvumilivu kwani hii ni initial stage ambayo ndio muhimu kuliko stage zote.

WaNorway ni watu poa wasomi na welevu hivyo usimwendee hovyo nilikaa kidogo pale Oslo pana wasomali wengi sana nchi nadhifu sana.

Pia wanakula samaki wa salmon wanampenda sana huyo samaki, hivyo samakisamaki iwe top of agenda kisha weye mwenyewe wampikia ikifika D day.

Kila la kheri ufanikiwe ujikomboe, mvumilivu hula mbivu.
 
Kuna haka katabia ukiwa na jambo lako binafsi la kusubiria na ukalisema kwa jirani ama kwa mtu yoyote huwa halitimii. Unakuwa kama umeharibu formular.

Kama ni mtu wa kundi hili unapaswa uwe na koromeo ili mambo yako yaende.

Sent from my Moto C using JamiiForums mobile app

Your right, hakuna mtu wa karibu yangu niliemwambia actually, ndio maana ht nilivyohisi ninahitaji relief ya ushauri nilikuja humu..asante kwa kunikumbusha[emoji120]
 
Huyo jamaa atakuwa akufanyia tathmini na amekuona na ataendelea hivyo.

Tatizo lenu ninyi mabinti mna haraka, inaeleweka lakini muwe na uvumilivu kwani hii ni initial stage ambayo ndio muhimu kuliko stage zote.

WaNorway ni watu poa wasomi na welevu hivyo usimwendee hovyo nilikaa kidogo pale Oslo pana wasomali wengi sana nchi nadhifu sana.

Pia wanakula samaki wa salmon wanampenda sana huyo samaki, hivyo samakisamaki iwe top of agenda kisha weye mwenyewe wampikia ikifika D day.

Kila la kheri ufanikiwe ujikomboe, mvumilivu hula mbivu.

Haina shida bro nimekuelewa...hapo kwenye fish hapo!

Asante kwa ushauri!
 
Huyo jamaa atakuwa akufanyia tathmini na amekuona na ataendelea hivyo.

Tatizo lenu ninyi mabinti mna haraka, inaeleweka lakini muwe na uvumilivu kwani hii ni initial stage ambayo ndio muhimu kuliko stage zote.

WaNorway ni watu poa wasomi na welevu hivyo usimwendee hovyo nilikaa kidogo pale Oslo pana wasomali wengi sana nchi nadhifu sana.

Pia wanakula samaki wa salmon wanampenda sana huyo samaki, hivyo samakisamaki iwe top of agenda kisha weye mwenyewe wampikia ikifika D day.

Kila la kheri ufanikiwe ujikomboe, mvumilivu hula mbivu.
Tena ni namba wani duniani kwa kuishi maisha bora kutokana taarifa za dunia ya kwanza
 
Kumbee! Nilikus sijui hata ila nilichokua nafaham scandinavian countries ni nchi zilizo na watu waliostaarahika...asante kwa kunijuza.
 
Ushampata huyo. Nawe tulia. Kama ngoma yako ni yako. Akinasuka kwenye mtego poa tu. Njemba za kizungu huko Norway zenye kupenda dada zetu wa kibongo ziko bwelele. Nina shemeji wa ki Norway. Ila kibabu! 😇😊👌🏿😎🤑🤤
 
Asante kwa ushauri wako, ila njaa si shida kwangu na km nilivyosema mwanzo nimekataa wengi na walikua wanapromise hela ila kwa kuomba sexting chattings na vitu km hivyo...hela kwenye mahusiano inanogesha kila sehemu lakini sio ndio ya kunifanya niwe worried sababu at my age nna ajira nzuri tu ya kunifanya nikidhi matumizi yangu.
We acha mbwembwe bana, njoo tunywe k vant hapa tabata.
 
Nice to meet you mr. Lundgren[emoji1]

Hakuna matata kabisa karibu Africa.
Mi naitwa Vladimir niko hapa Moscow City😅 napenda sana toto nyeusi sema mapepe yao ndio kero...karib sanaa!!!
 
Back
Top Bottom