Mzungu huyu atakuwa ameamua tuachane au yuko busy?

[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] nitume hela?? Mimi niko na familia asee afu nianze tena kujiwekea mazingira magumu
 
Your right amenichek bro, simu take ilianguka wino ukajaa so akawa anasikia notification ila screen haifunction leo ndio kanunua simu mpya.

Naona sasa kiberenge kimerudi kwenye reli...☺️☺️ Kimbisa nakuchokoza tu
 
Mkuu mpange tupige ngawira ..kwani mzungu ndugu yako..??!🤣
 
Nilichokisoma kwa huyu dada ni mtu flani hivi real halaf dizain km ana ka adabu flani hivi na ka upendo kutoka moyoni, upande wa adabu na malezi we cheki hata jinsi anavyojibu watu kwa ustaarabu sana.

Huyu jamaa atapata bahati akimpata huyu dada

Ume observe kitu sawa na mimi...mwandiko wake unaonesha hivyo...told her same thing yesterday in one of my comments....na nahisi haka ka Kimbisa kana ID kongwe ☺️☺️
 
Huyu dada ana emotional control nzuri sana.

Nimesoma comments za wana nikasoka na majibu yake ni mtu asiye na mawenge.


Sasa kuna mawili

Either

1. Wewe ni mwembamba labda na mweusi kwa hiyo umeona hizi ndo type za wadhungu maana wabongo wanapenda manyamanyama

Au

2.Una njaa

Ila mimi hayo yananihusu nilichopenda ni jinsi unavyojibu watu kwa utulivu

That level of utulivu is sexy.[emoji3059][emoji3059][emoji3059]
 
Your right amenichek bro, simu take ilianguka wino ukajaa so akawa anasikia notification ila screen haifunction leo ndio kanunua simu mpya.
Mambo ndo haya sasa
I'm happy for you sis
[emoji3060][emoji3060]
 
Anaonesha ana akili zake nzuri tu ,mtazamo wake hata Mimi nimeupenda kwakweli
Ana tatizo Moja tu linalomsibu!!
Naam tatizo lenyewe ni kutotaka kufungamana na sisi wazungu weusi [emoji1787]


Sent from my TECNO BA2 using JamiiForums mobile app
 
eti tuliza mshono...mkuu I can't you kabisaaaaaaaaaaaaaaa
 
Si alikuambia kuwa anatoka kidogo?

Just wait, if it's over will be over.

Tiki mbili na meseji haifunguliwi it's normal.

Jipe subira
 
angalia usijetolewa kafara. TRUE STORY Hiyo

Kuna dada pale Mwz alikuwa mwanachuo, kwenye miaka kati ya 2005 hadi 2011 alikutana na jamaa wa kinigeria mtandaoni, wakaelewana vzr tuu, wakapatana kimapenzi, baada ya siku tatu jamaa likamrushia mdada milioni moja na kumuhaidi watakutana maana jamaa naye huwa anatembelea mataifa mbalimbali.

wiki ikawa ndo inamalizikia, jamaa likamtumia tena mdada milioni 2, huku wakiendelea kuwasiliana vzr tuu mpaka mdada wa watu kashangaa na kuona amebahatika, ikabidi awaeleza rafki zake chuoni.

siku jamaa likamtaarifu tyari limefika Mwnz akamwomba mdada wakutane. Basi yule dada kafurahi akijua amepata kumbe nyuma ya pazia kuna mengi. Wakakutana hoteli kali kabisa vyakula na vinywaji kwa wingi vikaagizwa.

Baada ya hapo jamaa likamtaka mdada ampe mechi, mdada kawa anazingua, akamiminiwa pesa tena na kulazimishwa kwanguvu mpaka kakubali. Kuingia chumbani wamefunga mlango, jamaa likavua shati kifua chote kimeoza, kinanuka, funza wanatembea kifuani pa hilo jamaa. Na mdada kupiga yowe akawa hawezi tena.

Mdada akaingiliwa na katafunwa vilivyo. Baada ya hapo akarudi chuoni hana amani. Kakaa siku moja kaanza kuumwa, ikabidi awaeleze wenzake yalotokea, hali ilimbadilikia kabisa ikabidi wazazi wake waitwe, wakati wanamchukua kumuwahisha hospitali wakiwa njiani mdada akaanza kuoza kifua kama lile jamaa huku funza wamemzingira kifuani na harufu. Hata hawakufika hospitali mdada alikata roho, ikabaki historia mpaka leo.

kuweni makini msiwe wepesi wa kumwamini kila mtu. Kama una bahati unayo tuu msiwe na papara.
 
Atakutafuta leo. Si unaona ilikuwa ni weekend? Mpenzi wako alienda kwa mpenzi wake na simu anayotumia kuchat na wewe aliiacha nyumbani kwake akaondoka na nyingine ambayo sasa wewe hauna.
Usijali atarudi leo, muendelee mlipoishia.

Nimechekaaaaaa una nn lakini Hannah[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Ok so inawezekana wenge la ajali lilichangia ...

Kila kitu kikawakwenye panic mode
 
Nilichokisoma kwa huyu dada ni mtu flani hivi real halaf dizain km ana ka adabu flani hivi na ka upendo kutoka moyoni, upande wa adabu na malezi we cheki hata jinsi anavyojibu watu kwa ustaarabu sana.

Huyu jamaa atapata bahati akimpata huyu dada

Aisee almost mwaka na nusu, haikua rahisi hata kidogo ila Mungu ni mwema sanaa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…