Mzungu kakataa Mimba

Mzungu kakataa Mimba

unajita strong and feareless hlf unaogop mimba muache ushamba wakujibebesha mimba kwa nguvu kisa mzungu umri ulionaoo ni dhahiri haikutokea bahati mbaya ulilazimisha iwe hivyo
 
Hi guys,

Nahitaji advice , ndugu yangu met a guy from a dating site , ni mzungu ( sitaki kutaja country) and he is aged enough , things were going well na mwanaume alikua anaonesha upendo Ana care na Ana take care of her expenses ( spoiling her) .

Sasa the guy akataka ndugu yangu amvisit, so aka book flight for her and ndugu yangu went and they met and they were both happy . She stayed kwa mwezi Mzima ( playing housewife) .

Alaf uyo mzungu Ana one child ni a teenager na ana claim kuwa alisha divorce na mke wake .

So ndugu yangu akarudi Tanzania and unfortunately akaja kufind out kuwa she is pregnant, Sasa shida kamawambia uyo mzungu kuhusu iyo mimba, Ila the guy anaikataa iyo mimba , anasema sio mtoto wake, can you imagine? Na ameacha kutuma money for expenses.

Ndugu yangu yupo depressed sana mpaka anafikiria atoe iyo mimba ila nimemshauri asifanye ivyo but haelewi . Alaf kingine ndugu yangu hana kazi ambayo itamsaidia kumtunza uyo unborn child.
je huyo mzungu ni raia wa nchi gani?
mshauri asitoe mimba,aende kwenye ubalozinwa nchi anayotoka huyo mzungu na kama ana ushahidi wa barua,email,picha walizopiga huko kwao mzungu,tiketi vyote hivyo avitinze,msaidieni mpaka atakapozaa,myoto akitoka mzungu ubalozi utamsaidia
 
JF hakuna mtu amewahi kusema jamani kimenikuta kitu flani moja mbili tatu.....
Lazima aseme jamaa yangu....ndugu yangu.... rafiki yangu.... and so so..

Mwambie atulie kwanza before aamue chochote
Aibu na direct attack watu wanaogopa.
 
JF hakuna mtu amewahi kusema jamani kimenikuta kitu flani moja mbili tatu.....
Lazima aseme jamaa yangu....ndugu yangu.... rafiki yangu.... and so so..

Mwambie atulie kwanza before aamue chochote
Mlongoooo mlongooo...!!! Kwali wamwene...!! 😀 😀 😀 😀
 
Maranyingi Online dating sites wanawake wanaweka maungo yao yaonekane ili kuwavutia wanaume.

Mahusiano yeyote kabla ya kuanzishwa inapaswa kuhakikisha kwanza unamu-Aporoach mtu mwenye Heshima na Uadilifu.

Sio kudate na mtu sababu ana Mapaja mazuri, Makalio makubwa, Chuchu dede au Sura nzuri kama wafanyavyo huko.

NB: Siyo kila aliyeko huko ni RED FLAG, Ila ni sehemu ambazo unapaswa kutumia akili sana.
Sasa taako paja chuchu dede ndio sababu za kuoa mwanamke maana useme uoe mwanamke kwa sababu ya akili zake utaoa sura za baba🤣🤣🤣🤣

Kwanza aki ya mwanamke wee inakusaidia nini maana akili ni ili upate hela sasa hela zao wakipata hawatipi so mwanamke ni tako sura na titi
 
Hivi unabebaje ujauzito wa mtu ambaye hajakuoa au hayuko tayari kulea? Kuweni na akili basi za kufikiria
 
Sasa taako paja chuchu dede ndio sababu za kuoa mwanamke maana useme uoe mwanamke kwa sababu ya akili zake utaoa sura za baba🤣🤣🤣🤣

Kwanza aki ya mwanamke wee inakusaidia nini maana akili ni ili upate hela sasa hela zao wakipata hawatipi so mwanamke ni tako sura na titi
Sawa mkuu, Ushauri mzuri sana. 😂👊🏾👍🏾
 
Huyo ndugu yako naye ni jasiri! Unakutana na mtu kwenye dating site, hujawahi kukutana naye uso kwa uso, halafu anakukatia tiketi ya ndege unaenda nchi ya mbali kwa sababu ya mapenzi na mtu uliyewasiliana naye nyuma ya keyboard tu. Unakula chakula anachokuandalia, kila kitu anakufanyia yeye, wewe upo tu! Mwisho wa siku unarudi nyumbani huna figo au bandama bila kujijua. Kuweni makini, vitu vya bure vina gharama kubwa.
 
Hi guys,

Nahitaji advice , ndugu yangu met a guy from a dating site , ni mzungu ( sitaki kutaja country) and he is aged enough , things were going well na mwanaume alikua anaonesha upendo Ana care na Ana take care of her expenses ( spoiling her) .

Sasa the guy akataka ndugu yangu amvisit, so aka book flight for her and ndugu yangu went and they met and they were both happy . She stayed kwa mwezi Mzima ( playing housewife) .

Alaf uyo mzungu Ana one child ni a teenager na ana claim kuwa alisha divorce na mke wake .

So ndugu yangu akarudi Tanzania and unfortunately akaja kufind out kuwa she is pregnant, Sasa shida kamawambia uyo mzungu kuhusu iyo mimba, Ila the guy anaikataa iyo mimba , anasema sio mtoto wake, can you imagine? Na ameacha kutuma money for expenses.

Ndugu yangu yupo depressed sana mpaka anafikiria atoe iyo mimba ila nimemshauri asifanye ivyo but haelewi . Alaf kingine ndugu yangu hana kazi ambayo itamsaidia kumtunza uyo unborn child.
Punguzeni kudanga!! Siyo kila mzungu ni padri na siyo kila mwarabu ni Shekhe!! Uroho wa pesa umekuponza, hata ulaya ombaomba wapo wengi sana!! acheni kutudharau sisi bodaboda wamatumbi wenzio ambao hata tukinunua kuku hutusema eti tumetumwa!!.
 
Hi guys,

Nahitaji advice , ndugu yangu met a guy from a dating site , ni mzungu ( sitaki kutaja country) and he is aged enough , things were going well na mwanaume alikua anaonesha upendo Ana care na Ana take care of her expenses ( spoiling her) .

Sasa the guy akataka ndugu yangu amvisit, so aka book flight for her and ndugu yangu went and they met and they were both happy . She stayed kwa mwezi Mzima ( playing housewife) .

Alaf uyo mzungu Ana one child ni a teenager na ana claim kuwa alisha divorce na mke wake .

So ndugu yangu akarudi Tanzania and unfortunately akaja kufind out kuwa she is pregnant, Sasa shida kamawambia uyo mzungu kuhusu iyo mimba, Ila the guy anaikataa iyo mimba , anasema sio mtoto wake, can you imagine? Na ameacha kutuma money for expenses.

Ndugu yangu yupo depressed sana mpaka anafikiria atoe iyo mimba ila nimemshauri asifanye ivyo but haelewi . Alaf kingine ndugu yangu hana kazi ambayo itamsaidia kumtunza uyo unborn child.
Mwanamke mrembo anapokosa akili, sehemu za siri ndizo huumia sana.

Kwa hiyo huyo nduguyo (wewe) alikosa kufahamu siku zake za hatari kabla ya kupokea white load inside her flowerpot?
 
Huyo ndugu yako naye ni jasiri! Unakutana na mtu kwenye dating site, hujawahi kukutana naye uso kwa uso, halafu anakukatia tiketi ya ndege unaenda nchi ya mbali kwa sababu ya mapenzi na mtu uliyewasiliana naye nyuma ya keyboard tu. Unakula chakula anachokuandalia, kila kitu anakufanyia yeye, wewe upo tu! Mwisho wa siku unarudi nyumbani huna figo au bandama bila kujijua. Kuweni makini, vitu vya bure vina gharama kubwa. Hata hivyo mpe pole, ajitahidi kupambana kumlea mwanae, Kama kweli mtoto ni wa huyo mzungu baadaye atakubali tu na kuanza kuhudumia.
 
Hi guys,

Nahitaji advice , ndugu yangu met a guy from a dating site , ni mzungu ( sitaki kutaja country) and he is aged enough , things were going well na mwanaume alikua anaonesha upendo Ana care na Ana take care of her expenses ( spoiling her) .

Sasa the guy akataka ndugu yangu amvisit, so aka book flight for her and ndugu yangu went and they met and they were both happy . She stayed kwa mwezi Mzima ( playing housewife) .

Alaf uyo mzungu Ana one child ni a teenager na ana claim kuwa alisha divorce na mke wake .

So ndugu yangu akarudi Tanzania and unfortunately akaja kufind out kuwa she is pregnant, Sasa shida kamawambia uyo mzungu kuhusu iyo mimba, Ila the guy anaikataa iyo mimba , anasema sio mtoto wake, can you imagine? Na ameacha kutuma money for expenses.

Ndugu yangu yupo depressed sana mpaka anafikiria atoe iyo mimba ila nimemshauri asifanye ivyo but haelewi . Alaf kingine ndugu yangu hana kazi ambayo itamsaidia kumtunza uyo unborn child.
Simba ni ya mwanamke mzungu hana shida na mtoto muwege na akili wale wanaishi kiutamaduni mtt anaetambulika hataki huko mbeli mumfungulie kesi ya child support hlo janga amalizane nalo mwenye by the way huyo mdg wako ni malaya so malaya unabebaje simba au kanuni hazijui za kujiuza unatokaje kumfata mwanaume ukakaa mwez nzima sasa mzungu ni educated anajua huyo demu kama amefata yy hata mzungu mwengine through dating site anaweza kumfata kwani mdg wako ni sexual wokers
 
Wewe vipeeeee unataka awe kama akima nyie, munazaa mnatoa vihela vya digit 5 tu..??? 🤣🤣🤣 Wewe hutoi lazima

Maisha ya malezi kwa watoto ukizaa hapa nchini hakuna kitu.. Huko nchi za watu sio mchezo lazima uisome namba if mshaharaau income yoyote labda uwe mgonjwa hauingizi pesa.. Ila utatoa lazima % kwa mtoto uliyemzaa ukiisha hadi amri ya mahakamani itakula nawe tu hadi utoe..

Wanaume nyie ndio biumbe vya ajabuuuu.. Huyo akomeshwe tu
🤣🤣🤣 Mtasha Ali book flight kwa ajili ya papuchi Sasa huyo mwenzenu alifungasha kila kitu akaenda kumpelekea papuchi akamkabidhi na kizazi 😂😂😂
Sa kosa la mzungu lipo wapi,Mtasha kagoma hataki kizazi cheusi 🏃🏃 mbio nyingi
Usikute hata hapo mimba hiyo siyo ya mzungu ni ya masanja kutoka shinyanga 😂😂😂
 
Hii ni imani ya waafrika wengi ila wazungu nao kama ilivyo waafrika wapo wengi tu wanaowatelekeza watoto wao wakaingia mitini. Mmojawapo ni steve jobs aliyekuwa mwanzilishi na CEO wa apple.
Sasa wew unafikiri Steve job alikua sawa, kama mtu anakuambia maisha yake yote hajawahi kuwa na furaha huoni kama hilo ni tatizo kubwa.
Huyu huyu Steve job ndie aliyekataa ushauri wa madaktari kuhusu matibabu ya mapema ya kansa aliyokua nayo.

kwa kusema atajitibu mwenyewe kwa kula matunda. Kwanin asimtelekeze mtoto wake, sababu huenda hata makuzi ya Steve job kipindi cha utotoni haya kuwa mazuri ndio maana maisha yake yote alikosa kuwa na genuine peace of heart.
 
🤣🤣🤣 Mtasha Ali book flight kwa ajili ya papuchi Sasa huyo mwenzenu alifungasha kila kitu akaenda kumpelekea papuchi akamkabidhi na kizazi 😂😂😂
Sa kosa la mzungu lipo wapi,Mtasha kagoma hataki kizazi cheusi 🏃🏃 mbio nyingi
Usikute hata hapo mimba hiyo siyo ya mzungu ni ya masanja kutoka shinyanga 😂😂😂

Kama hivyo ale aonje avunjenrekodi yake basi analo na atakoma.
 
Nchi za wazungu wanawake na watoto wanahaki sana kuzidi wanaume, atafute mwanasheria wa hiyo nchi, kisha aende kule akafungue shauri.

Watafanya dna ikionekana mtoto ni wake, atapewa haki zake stahiki na mahakama ikiwemo matumzo ya mimba na mtoto.
 
Hi guys,

Nahitaji advice , ndugu yangu met a guy from a dating site , ni mzungu ( sitaki kutaja country) and he is aged enough , things were going well na mwanaume alikua anaonesha upendo Ana care na Ana take care of her expenses ( spoiling her) .

Sasa the guy akataka ndugu yangu amvisit, so aka book flight for her and ndugu yangu went and they met and they were both happy . She stayed kwa mwezi Mzima ( playing housewife) .

Alaf uyo mzungu Ana one child ni a teenager na ana claim kuwa alisha divorce na mke wake .

So ndugu yangu akarudi Tanzania and unfortunately akaja kufind out kuwa she is pregnant, Sasa shida kamawambia uyo mzungu kuhusu iyo mimba, Ila the guy anaikataa iyo mimba , anasema sio mtoto wake, can you imagine? Na ameacha kutuma money for expenses.

Ndugu yangu yupo depressed sana mpaka anafikiria atoe iyo mimba ila nimemshauri asifanye ivyo but haelewi . Alaf kingine ndugu yangu hana kazi ambayo itamsaidia kumtunza uyo unborn child.
Ndio malipo ya kudanga hayo
 
Mlikua na mipango gani kabla ya kujigijigi, mlishawahi kuzungumza juu ya mimba, ikitokea mtahandle vipi??

Maana haya mambo huhadilisha kabisa sura ya mapenzi hasa kama mna malengo tofauti.!!

Na kwanini uwe unamtegemea mtu kukulea na huwazi hata future yako aisee.

Kina dada acheni kudanga kwa kigezo cha mpenzi wangu,
 
Back
Top Bottom