Mzungu kakataa Mimba

unajita strong and feareless hlf unaogop mimba muache ushamba wakujibebesha mimba kwa nguvu kisa mzungu umri ulionaoo ni dhahiri haikutokea bahati mbaya ulilazimisha iwe hivyo
 
je huyo mzungu ni raia wa nchi gani?
mshauri asitoe mimba,aende kwenye ubalozinwa nchi anayotoka huyo mzungu na kama ana ushahidi wa barua,email,picha walizopiga huko kwao mzungu,tiketi vyote hivyo avitinze,msaidieni mpaka atakapozaa,myoto akitoka mzungu ubalozi utamsaidia
 
JF hakuna mtu amewahi kusema jamani kimenikuta kitu flani moja mbili tatu.....
Lazima aseme jamaa yangu....ndugu yangu.... rafiki yangu.... and so so..

Mwambie atulie kwanza before aamue chochote
Aibu na direct attack watu wanaogopa.
 
JF hakuna mtu amewahi kusema jamani kimenikuta kitu flani moja mbili tatu.....
Lazima aseme jamaa yangu....ndugu yangu.... rafiki yangu.... and so so..

Mwambie atulie kwanza before aamue chochote
Mlongoooo mlongooo...!!! Kwali wamwene...!! πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€
 
Kuna mtoto wa kichina nilimkuta kijiji kimoja hivi kinaitwa mtakuja anapiga kilugha hatari 😜😜😜
Mm nilimkuta mtoto wa kiarabu age 5 anapiga kimakonde sijaona..
 
Sasa taako paja chuchu dede ndio sababu za kuoa mwanamke maana useme uoe mwanamke kwa sababu ya akili zake utaoa sura za baba🀣🀣🀣🀣

Kwanza aki ya mwanamke wee inakusaidia nini maana akili ni ili upate hela sasa hela zao wakipata hawatipi so mwanamke ni tako sura na titi
 
Hivi unabebaje ujauzito wa mtu ambaye hajakuoa au hayuko tayari kulea? Kuweni na akili basi za kufikiria
 
Sawa mkuu, Ushauri mzuri sana. πŸ˜‚πŸ‘ŠπŸΎπŸ‘πŸΎ
 
Huyo ndugu yako naye ni jasiri! Unakutana na mtu kwenye dating site, hujawahi kukutana naye uso kwa uso, halafu anakukatia tiketi ya ndege unaenda nchi ya mbali kwa sababu ya mapenzi na mtu uliyewasiliana naye nyuma ya keyboard tu. Unakula chakula anachokuandalia, kila kitu anakufanyia yeye, wewe upo tu! Mwisho wa siku unarudi nyumbani huna figo au bandama bila kujijua. Kuweni makini, vitu vya bure vina gharama kubwa.
 
Punguzeni kudanga!! Siyo kila mzungu ni padri na siyo kila mwarabu ni Shekhe!! Uroho wa pesa umekuponza, hata ulaya ombaomba wapo wengi sana!! acheni kutudharau sisi bodaboda wamatumbi wenzio ambao hata tukinunua kuku hutusema eti tumetumwa!!.
 
Mwanamke mrembo anapokosa akili, sehemu za siri ndizo huumia sana.

Kwa hiyo huyo nduguyo (wewe) alikosa kufahamu siku zake za hatari kabla ya kupokea white load inside her flowerpot?
 
 
Simba ni ya mwanamke mzungu hana shida na mtoto muwege na akili wale wanaishi kiutamaduni mtt anaetambulika hataki huko mbeli mumfungulie kesi ya child support hlo janga amalizane nalo mwenye by the way huyo mdg wako ni malaya so malaya unabebaje simba au kanuni hazijui za kujiuza unatokaje kumfata mwanaume ukakaa mwez nzima sasa mzungu ni educated anajua huyo demu kama amefata yy hata mzungu mwengine through dating site anaweza kumfata kwani mdg wako ni sexual wokers
 
🀣🀣🀣 Mtasha Ali book flight kwa ajili ya papuchi Sasa huyo mwenzenu alifungasha kila kitu akaenda kumpelekea papuchi akamkabidhi na kizazi πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Sa kosa la mzungu lipo wapi,Mtasha kagoma hataki kizazi cheusi πŸƒπŸƒ mbio nyingi
Usikute hata hapo mimba hiyo siyo ya mzungu ni ya masanja kutoka shinyanga πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Hii ni imani ya waafrika wengi ila wazungu nao kama ilivyo waafrika wapo wengi tu wanaowatelekeza watoto wao wakaingia mitini. Mmojawapo ni steve jobs aliyekuwa mwanzilishi na CEO wa apple.
Sasa wew unafikiri Steve job alikua sawa, kama mtu anakuambia maisha yake yote hajawahi kuwa na furaha huoni kama hilo ni tatizo kubwa.
Huyu huyu Steve job ndie aliyekataa ushauri wa madaktari kuhusu matibabu ya mapema ya kansa aliyokua nayo.

kwa kusema atajitibu mwenyewe kwa kula matunda. Kwanin asimtelekeze mtoto wake, sababu huenda hata makuzi ya Steve job kipindi cha utotoni haya kuwa mazuri ndio maana maisha yake yote alikosa kuwa na genuine peace of heart.
 

Kama hivyo ale aonje avunjenrekodi yake basi analo na atakoma.
 
Nchi za wazungu wanawake na watoto wanahaki sana kuzidi wanaume, atafute mwanasheria wa hiyo nchi, kisha aende kule akafungue shauri.

Watafanya dna ikionekana mtoto ni wake, atapewa haki zake stahiki na mahakama ikiwemo matumzo ya mimba na mtoto.
 
Ndio malipo ya kudanga hayo
 
Mlikua na mipango gani kabla ya kujigijigi, mlishawahi kuzungumza juu ya mimba, ikitokea mtahandle vipi??

Maana haya mambo huhadilisha kabisa sura ya mapenzi hasa kama mna malengo tofauti.!!

Na kwanini uwe unamtegemea mtu kukulea na huwazi hata future yako aisee.

Kina dada acheni kudanga kwa kigezo cha mpenzi wangu,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…