Mzungu kakataa Mimba

Avumilie tu ajifungue mtoto!
Akizaliwa Mzungu! Ataikubali lakini akizaliwa anayefanana na Mbongo hapo kazi kweli kweli.
Lakini na yeye alikwenda kizembe hakujua siku zake za hatari?
Huyo alikuwa na malendo ya kumtegesha mimba!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…