Tetesi: Mzungu/Muitaliano wa January Makamba kuongea na waandishi wa Habari kesho Saa Nane, Hyatt Hotel

Tetesi: Mzungu/Muitaliano wa January Makamba kuongea na waandishi wa Habari kesho Saa Nane, Hyatt Hotel

Status
Not open for further replies.
Kesho majira ya saa nane kamili Mzungu/Muitaliano aliyeibua ufisadi wa January Makamba akifanyia udalali rasilimali za nchi ataongea kila kitu, ikiwa ni pamoja na kutoa ushahidi mwingine wa Barua Pepe, Audio, na MSG...

Hatua hii inakuja baada ya Jana January kuongea huku akimshutumu kuwa ni tapeli. Kwa maana hiyo kaamua kesho kuongea na waandishi wa habari na watanzania kwa ujumla....

Waandishi wa habari wote mnaalikwa. Kesho saa nane kamili!.....
Wewe uliyetoa taarifa ni nani!!? Au Katibu wa Mange
 
Hapo Leo ninavyowajua watakesha Kwa waganga wa kienyeji maana January na mwanvita ni washirikina hakuna mfano.
Kesho majira ya saa nane kamili Mzungu/Muitaliano aliyeibua ufisadi wa January Makamba akifanyia udalali rasilimali za nchi ataongea kila kitu, ikiwa ni pamoja na kutoa ushahidi mwingine wa Barua Pepe, Audio, na MSG...

Hatua hii inakuja baada ya Jana January kuongea huku akimshutumu kuwa ni tapeli. Kwa maana hiyo kaamua kesho kuongea na waandishi wa habari na watanzania kwa ujumla....

Waandishi wa habari wote mnaalikwa. Kesho saa nane kamili!.....
 
Ikiwa itathibitika alitoa rushwa ili apate tender nadhani sheria yetu ianzie kufanya kazi hapo, na isimuache makamba pia hawa wote wanatakiwa kuwajibishwa tu
Ndo maana fomu za maadili ya viongozi zilimshinda kuzijaza falua huyo
 
January kwa kweli yuko katika wakati mgumu sana. Ni vema mtu hata kama uko smart kiasi gani usionyeshe kudharau wengine. Hasa wale waliokuzidi kwa umri na uzoefu.
Sasa badala ya kuitwa January ataitwa match maana JIPU limeibuka match ingawa huo utapeli kaufanya kitambo.
 
Huyo mzungu ni decoy setup wa mda mrefu ...hela hizo aliingiziwa mwaka 2010 March na kutoka huku huku kwetu kutoka katika account zile nyeusi .Namshangaa Makamba Kwa kulelewa kiprotocol na kukaa sana under "sponsor office" alichelewa kugundua hiyo setup.Anyway ameejitahidi kucontrol damage Kwa kukubali ila tatizo mainstream media imeshatayarishwa kutake over after Mange ...unfortunately Sponsor wa sasa hatabiriki yuko Kama hydrogen peroxide , last time it took 2 former sponsors na mama Cheney kumuokoa JM ..sijui sasa.Kuhusu hiyo press ya mzungu sidhanii itakuwepo ..Clean sweep imeshafanyika ..hayupo Hyat.Labda afanye Kama Snowden.Ikiwepo basi sponsor kaamua.Anyway JM ujifunze kusikiliza wazee wa zamani na punguza kuflipflop
 
Bosi wao kakalia kaa la moto,wanawaza ajira yao itakuaje?maana Magufuli hana mpango nao hao vijana buku7.wezi wa kura.
Lizaboni Ritz kahtaan MwanaDiwani FaizaFoxy
Hivi kugombea ubunge kupitia ccm lazima uwe na pesa ya rushwa?maana naona scandal zote ni pesa za uchaguzi
Sasa hapa ndipo nagundua ugumu wa kufikiria hususa kwa vichwa panzi kama wewe, hivi uchaguzi na suala la muitaliano vinaingilia vipi!? #JiongeaFikra au #Jitafakari
 
Sheria ya mitandao ilipikwa na hawahawa ili wasiguswe ....tulipiga kelele sana wakatupuuza ....
Kwenye sakata la sheria ya mtandao alishasoma mahala 'utabiri wa hali ya hewa' akaamua kujitengenezea ule 'mwamvuli' wa sheria za mitandao mapema.
Ila imebaki kuwa kati ya sheria mfu, maana sheria ipo lakini penyenye zinavuja kama kawa.
 
Kesho majira ya saa nane kamili Mzungu/Muitaliano aliyeibua ufisadi wa January Makamba akifanyia udalali rasilimali za nchi ataongea kila kitu, ikiwa ni pamoja na kutoa ushahidi mwingine wa Barua Pepe, Audio, na MSG...

Hatua hii inakuja baada ya Jana January kuongea huku akimshutumu kuwa ni tapeli. Kwa maana hiyo kaamua kesho kuongea na waandishi wa habari na watanzania kwa ujumla....

Waandishi wa habari wote mnaalikwa. Kesho saa nane kamili!.....
Ushauri wangu huyo Mzungu aongezewe Ulinzi
 
Trust me, YOU WILL BE DISSAPPOINTED!

Hawa magamba siwaamini kabisa story inaweza ikageuka na ikawatofauti na matarajio ya wengi. Endapo kama Makamba akianikwa wazi haitakuwa salama kwa serikali maana najua mwisho wake na yeye atarivenge kwa kuwalipua wengine.

Kwahiyo mtazamo wangu hata kama ataongea ataongea kwa kuficha mambo mengi.
 
Duh ....hii ngoma inakwenda kuunguza picha si la January tu ...ikitokea huyo Muitaliano akanyimwa kuongea au akatishwa (itajulikana tu) itaweka mwanzo mbovu kwa JPM ....Hili sakata ni vihuzi vya mwanzo mwanzo kwa JPM ...
Tokea jana January na rafiki yake Ruge wapo chimbo wanapanga jinsi ya kupangua Mawe ambayo Safari hii yatakuwa magumu kupanguliwa
 
Kesho majira ya saa nane kamili Mzungu/Muitaliano aliyeibua ufisadi wa January Makamba akifanyia udalali rasilimali za nchi ataongea kila kitu, ikiwa ni pamoja na kutoa ushahidi mwingine wa Barua Pepe, Audio, na MSG...

Hatua hii inakuja baada ya Jana January kuongea huku akimshutumu kuwa ni tapeli. Kwa maana hiyo kaamua kesho kuongea na waandishi wa habari na watanzania kwa ujumla....

Waandishi wa habari wote mnaalikwa. Kesho saa nane kamili!.....
Taarifa yako haina ukweli.
 
Sasa badala ya kuitwa January ataitwa match maana JIPU limeibuka match ingawa huo utapeli kaufanya kitambo.
Sio kila unaloliona ni Jipu ebu tuwe wadadisi kidogo maana kwa jambo kama hili sijaona mantis yakuanza kumzoza January!! WaTz tujitahidi kuwa dadisi mazee
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom