BONGE BONGE
JF-Expert Member
- Oct 19, 2011
- 3,721
- 2,108
....aliita serikali yetu iliyopita ni ya kubebana, ngoja tumbebe!!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu ukitaka ku reach audience huwezi kuignore social media, hivi vitu inawezekana vinawekwa wazi kwanza, watu wavifahamu, hamna namna hii ingetokea bungeni, bunge lenyewe vitu kama hivi tunazimiwa hatuoni
Ukisema aende mahakamani kabla haijawafikia watu, ingekufa kimya kimya...
Kesho majira ya saa nane kamili Mzungu/Muitaliano aliyeibua ufisadi wa January Makamba akifanyia udalali rasilimali za nchi ataongea kila kitu, ikiwa ni pamoja na kutoa ushahidi mwingine wa Barua Pepe, Audio, na MSG...
Hatua hii inakuja baada ya Jana January kuongea huku akimshutumu kuwa ni tapeli. Kwa maana hiyo kaamua kesho kuongea na waandishi wa habari na watanzania kwa ujumla....
Waandishi wa habari wote mnaalikwa. Kesho saa nane kamili!.....
Ushaipigania chama wewe?..... Hapo ulipo yawezekana una hali mbaya sana kiuchumi ETI tunapigania chama....
Endelea kupigania chama, sisi twala kivulini
wewe kula kivulini lakini muda mfupi ujao utakula juani.. Kutumika katika aina yako ni kujidharau mwenyewe. Unajisikiaje kuandika uongo ambao haukufaidishi na Chochote?Ushaipigania chama wewe?..... Hapo ulipo yawezekana una hali mbaya sana kiuchumi ETI tunapigania chama....
Endelea kupigania chama, sisi twala kivulini
Huyu mzungu mwenyewe tumemzuia kuondoka hapa hotel sababu ya madeni tunayomdai ashachanganyikiwa tayari huyu ni wa kupuuzwa tu.
mkuu tusilibeze sana jambo hili, wazee husema dume mkubwa hupigwa na dume mdogo kimzaha...hii inamaanisha kuwa ck zote dume mkubwa amezoea kumtisha mdogo naye hukimbia lkn mwisho ataamua kujiandaa kumkabili dume mkubwa, hivyo mkubwa atakapo thubutu kumrushia pembe dume mdogo kama alivyozoea, ndipo mdogo atakomaa naye hadi amwangushe mkubwa...naona tuweke akiba ya maneno tuone mwisho wa jambo hiliPesa itoke wapi wakati huu ni uzushi jameni eboooo
Yeye kamuonga mwanamke kakatiwa viuno katoa pesa sasa January anaingiaje? Ukisikia mabinti wa kitanga ndio hao.LABDA KAISHIWA BAADA YA KUTAPELIWA PESA NYINGI AKITARAJI MADEALS
Nchi hii inautitiri wa kodi, na rais wetu mpendwa alilizungumzia sana kipindi cha kampeni. na ndio mifumo hii mibovu inayochangia wazawa kuwa masikini na kushindwa kufanya innovation au kufungua viwanda vidogovidogo vyenye kuzalisha bidhaa nafuu na kutoa ajira.. kuendelea na mifumo hii ni kuruhusu umasikini usio na kikomo kwa walala hoi wengi ambao ndio wanashabikia ccm na kuliwa kodi na kuchekelea.Kesho majira ya saa nane kamili Mzungu/Muitaliano aliyeibua ufisadi wa January Makamba akifanyia udalali rasilimali za nchi ataongea kila kitu, ikiwa ni pamoja na kutoa ushahidi mwingine wa Barua Pepe, Audio, na MSG...
Hatua hii inakuja baada ya Jana January kuongea huku akimshutumu kuwa ni tapeli. Kwa maana hiyo kaamua kesho kuongea na waandishi wa habari na watanzania kwa ujumla....
Waandishi wa habari wote mnaalikwa. Kesho saa nane kamili!.....
Kuna uwezekano mkubwa akawa state witnessNa pccb wanaalikwa au?
Akimaliza maongezi yake, ajiandae safari ya Segerea, maana alikuwa anatoa rushwa na analalamika tu kwa kuwa kakosa deal!Kesho majira ya saa nane kamili Mzungu/Muitaliano aliyeibua ufisadi wa January Makamba akifanyia udalali rasilimali za nchi ataongea kila kitu, ikiwa ni pamoja na kutoa ushahidi mwingine wa Barua Pepe, Audio, na MSG...
Hatua hii inakuja baada ya Jana January kuongea huku akimshutumu kuwa ni tapeli. Kwa maana hiyo kaamua kesho kuongea na waandishi wa habari na watanzania kwa ujumla....
Waandishi wa habari wote mnaalikwa. Kesho saa nane kamili!.....
Nyani Ngabu mkuu salama? Naona new names tu humu.
Vijana sakeni hela acheni kutoka mapovu. Kama kala rushwa au hajala kuna vyombo vyakufanyia kazi hilo suala. Sisi wengine tunawalipa hivyo vyombo kupitia kodi zetu.
Zamani Kilimanjaro Hotel....anakuja kumwaga mboga yenyewe.Ataongelea wap?
Soma vizuri andikoWaandishi wa habari wanaalikwa wapi?acha mihemko
Yaani akajikaange right in front of the media?? The ITALIAN NATIONAL???Haiingii akilini. Kama ataongea kweli, expect a lot of REFUTATION.
Hahaha sawa mkuu ,unajua najaribu kum link huyu muitaliano na kina Michael Corleone wa Godfather ,unataka kuniambia hajui kabisa ni kosa kutoa rushwa ?? Na kama anajua ni kosa ni kipi kinampa kiburi cha kuja public?? Labda kuna mengi anayoyajua ndio maana akaamua hivyo ,anaweza akawa kabisa labda ni secret service wa Italy na pengine alikua anatumika na ubalozi wa Italy na tayari wana contingency planYule alikuwa mwinyi wa Kihehe na alifikishwa ili hatua ya "swela". Alishaamua kufa kuliko kukubali makaburi ya baba na babu zake yadihakiwe kiasi kile. Sasa hawa matapeli wanaosaka vijisenti na kuweka vikao Hyatt sijui kama wanaweza kuwa na jeuri ya "Mwamwindi".