Wewe uliyetoa taarifa ni nani!!? Au Katibu wa MangeKesho majira ya saa nane kamili Mzungu/Muitaliano aliyeibua ufisadi wa January Makamba akifanyia udalali rasilimali za nchi ataongea kila kitu, ikiwa ni pamoja na kutoa ushahidi mwingine wa Barua Pepe, Audio, na MSG...
Hatua hii inakuja baada ya Jana January kuongea huku akimshutumu kuwa ni tapeli. Kwa maana hiyo kaamua kesho kuongea na waandishi wa habari na watanzania kwa ujumla....
Waandishi wa habari wote mnaalikwa. Kesho saa nane kamili!.....
Kesho majira ya saa nane kamili Mzungu/Muitaliano aliyeibua ufisadi wa January Makamba akifanyia udalali rasilimali za nchi ataongea kila kitu, ikiwa ni pamoja na kutoa ushahidi mwingine wa Barua Pepe, Audio, na MSG...
Hatua hii inakuja baada ya Jana January kuongea huku akimshutumu kuwa ni tapeli. Kwa maana hiyo kaamua kesho kuongea na waandishi wa habari na watanzania kwa ujumla....
Waandishi wa habari wote mnaalikwa. Kesho saa nane kamili!.....
Ndo maana fomu za maadili ya viongozi zilimshinda kuzijaza falua huyoIkiwa itathibitika alitoa rushwa ili apate tender nadhani sheria yetu ianzie kufanya kazi hapo, na isimuache makamba pia hawa wote wanatakiwa kuwajibishwa tu
Kama Baba yao.....Hapo Leo ninavyowajua watakesha Kwa waganga wa kienyeji maana January na mwanvita ni washirikina hakuna mfano.
Sasa badala ya kuitwa January ataitwa match maana JIPU limeibuka match ingawa huo utapeli kaufanya kitambo.January kwa kweli yuko katika wakati mgumu sana. Ni vema mtu hata kama uko smart kiasi gani usionyeshe kudharau wengine. Hasa wale waliokuzidi kwa umri na uzoefu.
Makamba ataondoka kama alivyoondoka firauniiiiiii hahahaaaaaAchukucha, achukucha, achukucha, achukuuuuchaaaaa.
"Tulieni tulieni, kuna mengiiii" jamaa Wa CUF.
Sasa hapa ndipo nagundua ugumu wa kufikiria hususa kwa vichwa panzi kama wewe, hivi uchaguzi na suala la muitaliano vinaingilia vipi!? #JiongeaFikra au #JitafakariBosi wao kakalia kaa la moto,wanawaza ajira yao itakuaje?maana Magufuli hana mpango nao hao vijana buku7.wezi wa kura.
Lizaboni Ritz kahtaan MwanaDiwani FaizaFoxy
Hivi kugombea ubunge kupitia ccm lazima uwe na pesa ya rushwa?maana naona scandal zote ni pesa za uchaguzi
Anamiliki Mali nyingi sana lakini kaandika majina ya baba yake na watu wengine .Ndo maana fomu za maadili ya viongozi zilimshinda kuzijaza falua huyo
Rostam, Aliyekuwa DG wa VODACOM, Huyo Muitaliano, Sakaja Mkt wa TNA, DG wa Barrick na wengine wengi ndio wanapiga hapoHivi huyu mwamvita ana mume?
Kwenye sakata la sheria ya mtandao alishasoma mahala 'utabiri wa hali ya hewa' akaamua kujitengenezea ule 'mwamvuli' wa sheria za mitandao mapema.Sheria ya mitandao ilipikwa na hawahawa ili wasiguswe ....tulipiga kelele sana wakatupuuza ....
Ushauri wangu huyo Mzungu aongezewe UlinziKesho majira ya saa nane kamili Mzungu/Muitaliano aliyeibua ufisadi wa January Makamba akifanyia udalali rasilimali za nchi ataongea kila kitu, ikiwa ni pamoja na kutoa ushahidi mwingine wa Barua Pepe, Audio, na MSG...
Hatua hii inakuja baada ya Jana January kuongea huku akimshutumu kuwa ni tapeli. Kwa maana hiyo kaamua kesho kuongea na waandishi wa habari na watanzania kwa ujumla....
Waandishi wa habari wote mnaalikwa. Kesho saa nane kamili!.....
Trust me, YOU WILL BE DISSAPPOINTED!
Tokea jana January na rafiki yake Ruge wapo chimbo wanapanga jinsi ya kupangua Mawe ambayo Safari hii yatakuwa magumu kupanguliwaDuh ....hii ngoma inakwenda kuunguza picha si la January tu ...ikitokea huyo Muitaliano akanyimwa kuongea au akatishwa (itajulikana tu) itaweka mwanzo mbovu kwa JPM ....Hili sakata ni vihuzi vya mwanzo mwanzo kwa JPM ...
Taarifa yako haina ukweli.Kesho majira ya saa nane kamili Mzungu/Muitaliano aliyeibua ufisadi wa January Makamba akifanyia udalali rasilimali za nchi ataongea kila kitu, ikiwa ni pamoja na kutoa ushahidi mwingine wa Barua Pepe, Audio, na MSG...
Hatua hii inakuja baada ya Jana January kuongea huku akimshutumu kuwa ni tapeli. Kwa maana hiyo kaamua kesho kuongea na waandishi wa habari na watanzania kwa ujumla....
Waandishi wa habari wote mnaalikwa. Kesho saa nane kamili!.....
Sio kila unaloliona ni Jipu ebu tuwe wadadisi kidogo maana kwa jambo kama hili sijaona mantis yakuanza kumzoza January!! WaTz tujitahidi kuwa dadisi mazeeSasa badala ya kuitwa January ataitwa match maana JIPU limeibuka match ingawa huo utapeli kaufanya kitambo.
Hah haa mboga inamwagwa wali unaliwa.Hyatt Hotel...... Mboga inamwagwa kesho