Franco Zetta
JF-Expert Member
- Nov 3, 2014
- 1,661
- 843
Kuliko nilivyo tegemea,tuombe mkutano usije uka hujumiwa.Ha ha ha ha ha hii sasa imekaa vizuri!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuliko nilivyo tegemea,tuombe mkutano usije uka hujumiwa.Ha ha ha ha ha hii sasa imekaa vizuri!
Hapo Leo ninavyowajua watakesha Kwa waganga wa kienyeji maana January na mwanvita ni washirikina hakuna mfano.
Nanusa harufu ya ukweli hapaIt looks like JANUARY IS 100 STEPS AHEAD OF BAVICHA, you guys will be dissappointed comes the 'end' of this saga!
What you are expecting for WILL NEVER BE RELIZED!
This MUITALIANO is DEFINATELY going to SHIELD Makamba.
Common sense: DO YOU REALLY BELIEVE THAT HE'S GOING TO "PLEA GUILT" right in front of the media??
Wandishi wa habar, mtanzania, tanzania daima, mwanahalisi, nipashe, hao watakwenda... tangu lin mzungu kuongea na vyombo vya habar kwa ajenda ya mapenzi?Kesho majira ya saa nane kamili Mzungu/Muitaliano aliyeibua ufisadi wa January Makamba akifanyia udalali rasilimali za nchi ataongea kila kitu, ikiwa ni pamoja na kutoa ushahidi mwingine wa Barua Pepe, Audio, na MSG...
Hatua hii inakuja baada ya Jana January kuongea huku akimshutumu kuwa ni tapeli. Kwa maana hiyo kaamua kesho kuongea na waandishi wa habari na watanzania kwa ujumla....
Waandishi wa habari wote mnaalikwa. Kesho saa nane kamili!.....
Uki soma habari anzia na heading.Ataongelea wap?
Tunaalikwa wapi, nahitaji kuhudhuria kwa udi na uvumba...!Kesho majira ya saa nane kamili Mzungu/Muitaliano aliyeibua ufisadi wa January Makamba akifanyia udalali rasilimali za nchi ataongea kila kitu, ikiwa ni pamoja na kutoa ushahidi mwingine wa Barua Pepe, Audio, na MSG...
Hatua hii inakuja baada ya Jana January kuongea huku akimshutumu kuwa ni tapeli. Kwa maana hiyo kaamua kesho kuongea na waandishi wa habari na watanzania kwa ujumla....
Waandishi wa habari wote mnaalikwa. Kesho saa nane kamili!.....
Dah!! Una nikumbusha kesi ya Chavda katika awamu ya pili, wakubwa walipoona kawekwa kwenye corner ana karibia kuwataja akapigwa P.I 24hrs awe nje ya nchi, chini ya ulinzi mkali hakuna kuongea na mtu,nchi hii yote yana wezekana.Kajihakikishia usalama hadi hiyo kesho?? Wasijekumtimua nchini kwa kutumia influence zao....
Ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha funny indeed.Wanataka kumhujuma Makamba tu, Makamba Magufuli akikufukuza jitokeze hadharani kuhusu Ushindi wa Magufuli, usikae kimya watakuita fisadi maisha yako yote. Ni vizuri kuvumiliana wakati huu mgumu kwako
Ngoja nikuambie kitu inabidi mbadilike kifkra,yaani hata mtu kafanya ujinga eti kwa sababu mimi ni kada eti nitachekelea tu;Nyie nyumbu hata Mbowe akibadili gia angani na nyie mnamfollow tu hata hamjiulizi mara mbili mbili,im one of the few wasiopelekeshwa na wanasiasa,I speak my mindHongera sana Madam, Ila nimeanza kugundua Makada mmegawanyika!
Unamjua Enzo? Akimsafisha January maana yake kapewa hela yake yote to the last fckn cent. Labda kama humjuiIt looks like JANUARY IS 100 STEPS AHEAD OF BAVICHA, you guys will be dissappointed comes the 'end' of this saga!
What you are expecting for WILL NEVER BE RELIZED!
This MUITALIANO is DEFINATELY going to SHIELD Makamba.
Common sense: DO YOU REALLY BELIEVE THAT HE'S GOING TO "PLEA GUILT" right in front of the media??
Kama penalti ya messi na suarezHa ha ha ha ha hii sasa imekaa vizuri!