Transcend
JF-Expert Member
- Jan 2, 2015
- 20,548
- 63,038
Hii thread ina-entertain Sanaa...hahahaaKamata chiniii......kamatia chinii......kamata chini.......
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hii thread ina-entertain Sanaa...hahahaaKamata chiniii......kamatia chinii......kamata chini.......
Ame hiari liwe liwalo kama kweli kagemwa dola zilizo tajwa na bado anaitwa tapeli ina tosha kabisa kuamua kuwa kichaa na kurushiana mawe na mtu asiye jitambua kuwa yuko ndani ya nyumba ya vioo.Sasa naye si atajichomesha kea kosa la kuhonga?
Ndo yanamkuta ya lowassa ...!Hivi huyu ndio alitaka kuwa rais Na Ana ndoto za kuwa rais Mungu saidia Tanzania
Halafu inatembea kama moto wa mabua nyikani!hauchi hauchi,utakucha!!Hii thread ina-entertain Sanaa...hahahaa
Mbona kesho ni mbali wakuu.....!Halafu inatembea kama moto wa mabua nyikani!hauchi hauchi,utakucha!!
Sawa, Ni Kweli sisi Ni manyumbu! Ila nyinyi Ndio mnahitaji MABADILIKO, nikuulize tu, kati ya nyinyi Na sisi ni Nani ambao wanahitaji kutafakari kiundani zaidi mustakabali Na mwenendo wa Chama? Na moja swali moja la Mwisho, gear angani alibadili Kikwete Au Mbowe? Yaani Magufuli Ndio ilikua gear yenu 2015?Ngoja nikuambie kitu inabidi mbadilike kifkra,yaani hata mtu kafanya ujinga eti kwa sababu mimi ni kada eti nitachekelea tu;Nyie nyumbu hata Mbowe akibadili gia angani na nyie mnamfollow tu hata hamjiulizi mara mbili mbili,im one of the few wasiopelekeshwa na wanasiasa,I speak my mind
Ngoja nikuambie kitu inabidi mbadilike kifkra,yaani hata mtu kafanya ujinga eti kwa sababu mimi ni kada eti nitachekelea tu;Nyie nyumbu hata Mbowe akibadili gia angani na nyie mnamfollow tu hata hamjiulizi mara mbili mbili,im one of the few wasiopelekeshwa na wanasiasa,I speak my mind
Ngoja nikuambie kitu inabidi mbadilike kifkra,yaani hata mtu kafanya ujinga eti kwa sababu mimi ni kada eti nitachekelea tu;Nyie nyumbu hata Mbowe akibadili gia angani na nyie mnamfollow tu hata hamjiulizi mara mbili mbili,im one of the few wasiopelekeshwa na wanasiasa,I speak my mind
Sawa, Ni Kweli sisi Ni manyumbu! Ila nyinyi Ndio mnahitaji MABADILIKO, nikuulize tu, kati ya nyinyi Na sisi ni Nani ambao wanahitaji kutafakari kiundani zaidi mustakabali Na mwenendo wa Chama? Na moja swali moja la Mwisho, gear angani alibadili Kikwete Au Mbowe? Yaani Magufuli Ndio ilikua gear yenu 2015?
Itamsaidia nini yeye Binafsi? sheria za uchaguzi Rais akishatangazwa huwa matokeo yake hayatenguliwi kwa namna yoyote ile hata kama baada ya miezi 3 akaja mjinga mjinga mmoja akasema kulikuwa na wizi wa kura na mimi ndio nilikuwa master Mind ataulizwa tu so what?Wanataka kumhujuma Makamba tu, Makamba Magufuli akikufukuza jitokeze hadharani kuhusu Ushindi wa Magufuli, usikae kimya watakuita fisadi maisha yako yote. Ni vizuri kuvumiliana wakati huu mgumu kwako
Lakini kama ni kweli dada Mtu kakiri Muitaliano ni tapeli na ni muuza sembe, lakini kama kweli Mh J kakiri kuchukua pesa zilizotumika huko Bumbuli, huku akijua ni tapeli au muuza sembe!Kwa kweli NAHOJI akili za watu hapa kama hii ndo wanafikiri inaenda tokea! Tatizo watu wanatumia MIHEMKO kufikiri.
Yaani akajikaange right in front of the media?? The ITALIAN NATIONAL???Haiingii akilini. Kama ataongea kweli, expect a lot of REFUTATION.
Kama hizo pesa zilikuwa za Mafia ina make sense. Na kwa matazamo mwingine inawezekana damage control inafanyakazi, inawezekana mzungu kashahaidiwa kurudishiwa pesa zake. Kama ni hivyo ukweli utapatikana kwa Mange. Labda akitoka Vegas tutapata habari zaidi. Sema haka ka-press conference sijui kako kweli.It looks like JANUARY IS 100 STEPS AHEAD OF BAVICHA, you guys will be dissappointed comes the 'end' of this saga!
What you are expecting for WILL NEVER BE RELIZED!
This MUITALIANO is DEFINATELY going to SHIELD Makamba.
Common sense: DO YOU REALLY BELIEVE THAT HE'S GOING TO "PLEA GUILT" right in front of the media??
Akili ni 'nywele'.January kwa kweli yuko katika wakati mgumu sana. Ni vema mtu hata kama uko smart kiasi gani usionyeshe kudharau wengine. Hasa wale waliokuzidi kwa umri na uzoefu.
Achukucha, achukucha, achukucha, achukuuuuchaaaaa.
"Tulieni tulieni, kuna mengiiii" jamaa Wa CUF.
Kama hizo pesa zilikuwa za Mafia ina make sense. Na kwa matazamo mwingine inawezekana damage control inafanyakazi, inawezekana mzungu kashahaidiwa kurudishiwa pesa zake. Kama ni hivyo ukweli utapatikana kwa Mange. Labda akitoka Vegas tutapata habari zaidi. Sema haka ka-press conference sijui kako kweli.
Bibiye kipindi wanapitisha wagombea urais katika Chama chako ulitamani nani apite kuwa mgombea? Japo utasema Magufuli kwa kudanganya au ni kweli je wale waliowasapoti Lowassa, Membe, Makamba, Mwigulu mbona waliungana kuitetea CCM?Kuwa mkweli na hao ni Manyumbu kufuata matakwa ya Chama?Mkiwa vitani usiwageuke wanajeshi wenzako kisa mmetofautiana bali muungane alafu baadae muweke mambo sawa.Wewe ukibahatika kupata ubunge na ukawa na msimamo wako kama akina Deo Filikojombe utakuwa huna maisha marefu.Ngoja nikuambie kitu inabidi mbadilike kifkra,yaani hata mtu kafanya ujinga eti kwa sababu mimi ni kada eti nitachekelea tu;Nyie nyumbu hata Mbowe akibadili gia angani na nyie mnamfollow tu hata hamjiulizi mara mbili mbili,im one of the few wasiopelekeshwa na wanasiasa,I speak my mind
Kama uongo ni wa 'mchana' basi mtoa mada haja danganya maana uzi wake ume ingia asubuhi saa 9:35 AM hivyo yeye sio muongo.Wacha uongo wa mchana.