Tetesi: Mzungu/Muitaliano wa January Makamba kuongea na waandishi wa Habari kesho Saa Nane, Hyatt Hotel

Status
Not open for further replies.
Nanusa harufu ya ukweli hapa
 
Wandishi wa habar, mtanzania, tanzania daima, mwanahalisi, nipashe, hao watakwenda... tangu lin mzungu kuongea na vyombo vya habar kwa ajenda ya mapenzi?
 
Nakumbuka January makamba amewahi kugawa smart phone kwa wanaccm fulani siku za nyuma, naona wamejazana kumtetea humu.
 
Tunaalikwa wapi, nahitaji kuhudhuria kwa udi na uvumba...!
 
Sasa hapa ndio tutaona ukilaza au usmart wa Makamba. Kama kwenye uchaguzi alitumika bure bila kuhide an Ace under his sleeves basi ajue kua amekwisha. Na kama hili dilu alilicheza na kuacha loose ends basi ajue hana lake tena na hili liwe somo kwa wanasiasa wote vijana, siku zote cheza karata zako ukiwa umezishikilia kifuani, don't ever leave anya loose ends katika dili zako na pia unapo tumika hakikisha una hifadhi ushahidi au fact kuhusu huyo mtu ili baadea uweze kumtumia pale unapo kwama as you know information is power.
 
D
Kajihakikishia usalama hadi hiyo kesho?? Wasijekumtimua nchini kwa kutumia influence zao....
Dah!! Una nikumbusha kesi ya Chavda katika awamu ya pili, wakubwa walipoona kawekwa kwenye corner ana karibia kuwataja akapigwa P.I 24hrs awe nje ya nchi, chini ya ulinzi mkali hakuna kuongea na mtu,nchi hii yote yana wezekana.
 
Hapa na mkumbuka Sana mzee lowassa na familia yake!! January na familia yake ya mzee yusuph walishirki kutoa matusi lakini mzee was watu alikuwa kimya tu!!goes around must comes around yaani walijikinga chini ya mpapai wakati wanajua mvua ya mawe inakuja
 
Wanataka kumhujuma Makamba tu, Makamba Magufuli akikufukuza jitokeze hadharani kuhusu Ushindi wa Magufuli, usikae kimya watakuita fisadi maisha yako yote. Ni vizuri kuvumiliana wakati huu mgumu kwako
Ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha funny indeed.
Kumbe na Magufuli naye mchafu?

Na huo uchafu alipakwa na Makamba ndo maana anamjua vizuri.

Aiseee.

Nchi ya Maigizo
 
Hongera sana Madam, Ila nimeanza kugundua Makada mmegawanyika!
Ngoja nikuambie kitu inabidi mbadilike kifkra,yaani hata mtu kafanya ujinga eti kwa sababu mimi ni kada eti nitachekelea tu;Nyie nyumbu hata Mbowe akibadili gia angani na nyie mnamfollow tu hata hamjiulizi mara mbili mbili,im one of the few wasiopelekeshwa na wanasiasa,I speak my mind
 
Unamjua Enzo? Akimsafisha January maana yake kapewa hela yake yote to the last fckn cent. Labda kama humjui
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…