Tetesi: Mzungu/Muitaliano wa January Makamba kuongea na waandishi wa Habari kesho Saa Nane, Hyatt Hotel

Status
Not open for further replies.
Sasa naye si atajichomesha kea kosa la kuhonga?
Ame hiari liwe liwalo kama kweli kagemwa dola zilizo tajwa na bado anaitwa tapeli ina tosha kabisa kuamua kuwa kichaa na kurushiana mawe na mtu asiye jitambua kuwa yuko ndani ya nyumba ya vioo.
 
Sawa, Ni Kweli sisi Ni manyumbu! Ila nyinyi Ndio mnahitaji MABADILIKO, nikuulize tu, kati ya nyinyi Na sisi ni Nani ambao wanahitaji kutafakari kiundani zaidi mustakabali Na mwenendo wa Chama? Na moja swali moja la Mwisho, gear angani alibadili Kikwete Au Mbowe? Yaani Magufuli Ndio ilikua gear yenu 2015?
 

Magu alipoteua Wahuni na makapi ya Mkwere mbona hukusema? Kuna Mwenyekiti wa Bunge kule Dodoma ni Mwanasiasa mchafu kuliko wote. Eti Serikali ya kutumbua majipu mara Mahakama ya Mafisadi what a joke!
 
Wanachezea wataliano na wagiriki aka mafioso hahahaha ataisoma namba february
 

Nyie mliodumaa kiakili ndio zaidi ya nyumbu ndio maana dodoma wanaichagua ccm kumbe mmedumaa kifikra
 
Wanataka kumhujuma Makamba tu, Makamba Magufuli akikufukuza jitokeze hadharani kuhusu Ushindi wa Magufuli, usikae kimya watakuita fisadi maisha yako yote. Ni vizuri kuvumiliana wakati huu mgumu kwako
Itamsaidia nini yeye Binafsi? sheria za uchaguzi Rais akishatangazwa huwa matokeo yake hayatenguliwi kwa namna yoyote ile hata kama baada ya miezi 3 akaja mjinga mjinga mmoja akasema kulikuwa na wizi wa kura na mimi ndio nilikuwa master Mind ataulizwa tu so what?
 
Lakini kama ni kweli dada Mtu kakiri Muitaliano ni tapeli na ni muuza sembe, lakini kama kweli Mh J kakiri kuchukua pesa zilizotumika huko Bumbuli, huku akijua ni tapeli au muuza sembe!

Kama argument hizo hapo juu, wanandugu hao wamekiri(maana ushahidi hauko clear),je kwa mujibu wa Hadhi ya Utumishi,hasa level ya Uwaziri, ni halali kula hela chafu halafu ukakiri hadharani bila ku-Step Down?
 
January alikuwa front line kupiga stop social medias na kuanzisha cyber crime....

Sasa naona yule yule mtoto aiyekuwa ananyamazishwa ndo kwa anapiga yowe( mitandao) kuwa kuna mtu anadokoa sukari kabatini....

Aisee, warudishe basi zile MB za kumwaga....

Where is cyber crime Act now, things a falling apart Makamba jr
 
Kama hizo pesa zilikuwa za Mafia ina make sense. Na kwa matazamo mwingine inawezekana damage control inafanyakazi, inawezekana mzungu kashahaidiwa kurudishiwa pesa zake. Kama ni hivyo ukweli utapatikana kwa Mange. Labda akitoka Vegas tutapata habari zaidi. Sema haka ka-press conference sijui kako kweli.
 


na kama kweli pesa alichukua jinsi ya kurudisha sasa ni mtihani madhubuti kuliko
 
Bibiye kipindi wanapitisha wagombea urais katika Chama chako ulitamani nani apite kuwa mgombea? Japo utasema Magufuli kwa kudanganya au ni kweli je wale waliowasapoti Lowassa, Membe, Makamba, Mwigulu mbona waliungana kuitetea CCM?Kuwa mkweli na hao ni Manyumbu kufuata matakwa ya Chama?Mkiwa vitani usiwageuke wanajeshi wenzako kisa mmetofautiana bali muungane alafu baadae muweke mambo sawa.Wewe ukibahatika kupata ubunge na ukawa na msimamo wako kama akina Deo Filikojombe utakuwa huna maisha marefu.
 
Kuna watu wanaitwa TISS.......

Unaweza kesho ukasikia muitaliano yuko mji Wa Milan....

Walaahi vile.....[emoji28] [emoji28] [emoji28]
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…