Kwamba unafikiri kumuombea JPM ni tatizo.Mabadiliko kwa Nchii hii yanagharama kubwaa......tuzidi mwombea JPM katika adhma yake..maana kazi ni kubwa kwa kwakweli....
mbona wanatajwa tajwa wao tu?!
Mtu kama PM sikuwa namsikia hadi alipewa nafasi hiyo ndio nikaanza msikia na kimfahamu... ila kaka na dada hako longo time kusaka nyazifa!
Hivi serikali umeipata hasara kiasi gani??Kesho majira ya saa nane kamili Mzungu/Muitaliano aliyeibua ufisadi wa January Makamba akifanyia udalali rasilimali za nchi ataongea kila kitu, ikiwa ni pamoja na kutoa ushahidi mwingine wa Barua Pepe, Audio, na MSG...
Hatua hii inakuja baada ya Jana January kuongea huku akimshutumu kuwa ni tapeli. Kwa maana hiyo kaamua kesho kuongea na waandishi wa habari na watanzania kwa ujumla....
Waandishi wa habari wote mnaalikwa. Kesho saa nane kamili!.....
Majipu yao yamekaa sehemu za siri.Mbona wanasiasa kutumbuliwa kwao inachukua muda mrefu na hata isifanyike kabisa?
mlindeni sana huyo mzungu , mlindeni kisasa na kienyeji .Hyatt Hotel...... Mboga inamwagwa kesho
Isanga family kushinda warusi.?!Wa Italiano ni Mafia...
Kuna mfumo mkubwa sana nyuma ya hii skendo. Watu wasichukulie kama ni issue ya January na Muitaliano.... Kuna kitu kikubwa kinakuja, watanzania hawataamini
Mzungu wa karata! Mange kasema mzungu karudishiwa mshiko! Arudi kwao. Ila alietuhumiwa kashapota doanasikia muzungu kachomoa! ??! mimi nlijua tu hizi ni hekaya ... sikuwahi kumuamini mleta mada toka jana alipotudanganya
View attachment 327836