Kiranga
Platinum Member
- Jan 29, 2009
- 78,790
- 128,275
Kwamba unafikiri kumuombea JPM ni tatizo.Mabadiliko kwa Nchii hii yanagharama kubwaa......tuzidi mwombea JPM katika adhma yake..maana kazi ni kubwa kwa kwakweli....
mbona wanatajwa tajwa wao tu?!
Mtu kama PM sikuwa namsikia hadi alipewa nafasi hiyo ndio nikaanza msikia na kimfahamu... ila kaka na dada hako longo time kusaka nyazifa!
Kwamba hujamsikia PM mpaka anechagukiwa nalo ni tatizo vike vike.