Tetesi: Mzungu/Muitaliano wa January Makamba kuongea na waandishi wa Habari kesho Saa Nane, Hyatt Hotel

Tetesi: Mzungu/Muitaliano wa January Makamba kuongea na waandishi wa Habari kesho Saa Nane, Hyatt Hotel

Status
Not open for further replies.
Mabadiliko kwa Nchii hii yanagharama kubwaa......tuzidi mwombea JPM katika adhma yake..maana kazi ni kubwa kwa kwakweli....

mbona wanatajwa tajwa wao tu?!

Mtu kama PM sikuwa namsikia hadi alipewa nafasi hiyo ndio nikaanza msikia na kimfahamu... ila kaka na dada hako longo time kusaka nyazifa!
Kwamba unafikiri kumuombea JPM ni tatizo.

Kwamba hujamsikia PM mpaka anechagukiwa nalo ni tatizo vike vike.
 
Mbona wanasiasa kutumbuliwa kwao inachukua muda mrefu na hata isifanyike kabisa?
 
Kesho majira ya saa nane kamili Mzungu/Muitaliano aliyeibua ufisadi wa January Makamba akifanyia udalali rasilimali za nchi ataongea kila kitu, ikiwa ni pamoja na kutoa ushahidi mwingine wa Barua Pepe, Audio, na MSG...

Hatua hii inakuja baada ya Jana January kuongea huku akimshutumu kuwa ni tapeli. Kwa maana hiyo kaamua kesho kuongea na waandishi wa habari na watanzania kwa ujumla....

Waandishi wa habari wote mnaalikwa. Kesho saa nane kamili!.....
Hivi serikali umeipata hasara kiasi gani??
 
Mimi nibora niwe mtabiri nitabiri mapema kabisaa kwamba hakuna mzungu atae ongea kesho
Atanyamazishwa kimtindo hamta amini tena msishangae aka mtetea makamba.
#tanzania nizaidi yatunavyo iyona.
 
Mzungu kishapewa chake,sasa kamwambia hadi mange aspost chochote kuhusu January,huyu mzungu pori nini?
 
wote wanafiki2, mbona hakusema toka mwanzo ina maana walikuwa wanafichiana uchafu.
 
kesho mapema tu mtu anarudishwa bumbuli akalime matunda damu jitokezen airport au ubungo mumuuage
 
Kashaona imekaa vibaya, kampenda Dada, kamwagwa, anadai madeni kwa kaka!! Bado nawaza, je ni Mzungu Muitaliano hawa hawa Waitaliano walioitawala Ethiopia, Somalia na Libya au (Mwita)kutoka Mara???. Maana naona katumia akiri ya karne ya 8 kabla ya Yesu(BC).
 
Unaambiwa na mange mzungu kalipwa pesa. Anagwaya aseme nn. Atasema ilichoambiwa anene. Tusibiri tujue
 
Hii series itakuw tamu sana aisee! Ila aliyetoa na kupokea rushwa wote washughurikiwe ipasavyo
 
nasikia muzungu kachomoa! ??! mimi nlijua tu hizi ni hekaya ... sikuwahi kumuamini mleta mada toka jana alipotudanganya

mz.JPG
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom