Tetesi: Mzungu/Muitaliano wa January Makamba kuongea na waandishi wa Habari kesho Saa Nane, Hyatt Hotel

Status
Not open for further replies.
Hii habari kama ni kweli,huyu mzungu awekewe ulinzi maana anaweza asifike hiyo kesho katika mazingira ya kutatanisha na vile vile msishangae kusikia mkutano huo umeahirishwa.
 
Ha ha ha
Atamaliza tuhuma zote sasa /
safi sana an ITALIANO.
Na kama ilikuwa ni uizi wa stahili ya kana PAPA.
Ashtakiwe kwa ulangai wa kuaminika na kujizolea mabilion.
*serekali ni lazima iwe na watu safi na waadilifu.
 
Mtoa rushwa kwenye dili ya kitapeli anajitokeza hadharani kukiri jinai? Itakuwa kwa video conference? Na wenye hoteli hawana shaka? Nchi ya komedi.
 
Ukumbi gani?
 
Wewe ndiye afisa habari wa huyo muitaliano?

Umeiokotea wapi hii habari?

Maanake uzushi umekuwa mwingi sana mitandaoni muhimu kujiridhisha na chanzo cha habari.

BTW:Awe makini tu na usalama wake sababu hiyo press inaweza kuzika ndoto za urais wa mtu.
 
Ikiwa itathibitika alitoa rushwa ili apate tender nadhani sheria yetu ianzie kufanya kazi hapo, na isimuache makamba pia hawa wote wanatakiwa kuwajibishwa tu


Hata mimi najiuliza suala hilo, mtoa rushwa na mpokea rushwa wote si wakosaji?
Au labda kwa loss aliyoipata(if at all hii issue ni kweli) yuko tayari kwa lolote!
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…