mtoto wa mjini
JF-Expert Member
- Jan 18, 2010
- 1,754
- 898
TAKUKURU watakuwepo?. Acha movie tuendelee.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
CC.lizaboni anachungulia tu na kupita........vijana wa lumumba 46 buku 7 wanapita tu huku jana,walikuwa wanapita nakusema,lafudhi siyo ya mtalianoLumumba mpowapi mje kujibu hoja hii nzito.
Niko hapa Hyatt saizi... Na tunakamilisha maandalizi ya kesho. Au unataka source gani
Uwajui waitaliano..... Subiri na utaamini macho yako...... Hujui michezo ya kimafia wewe.... Na huenda kuna mfumo fulani au mtu fulani nyuma yake....Kwa kweli NAHOJI akili za watu hapa kama hii ndo wanafikiri inaenda tokea! Tatizo watu wanatumia MIHEMKO kufikiri.
Yaani akajilaange right in front of the media?? Haiingii akilini. Kama ataongea kweli, expect a lot of REFUTATION.
Kuna mfumo mkubwa sana nyuma ya hii skendo. Watu wasichukulie kama ni issue ya January na Muitaliano.... Kuna kitu kikubwa kinakuja, watanzania hawataaminiHhahahaa
Huyo muitaliano hajui kutoa rushwa ni kosa pia
Yeye pia atasota nyuma ya nondo.
Au anataka kifo cha wengi na wazir tajwa ..
Kupanic kubaya
Duh!! Bongo patamu sana
Mwaliko haujakamilika mkuu hujaelewa kuwa ataongelea eneo/hotel/ukumbi gani au TV station ipiKesho majira ya saa nane kamili Mzungu/Muitaliano aliyeibua ufisadi wa January Makamba akifanyia udalali rasilimali za nchi ataongea kila kitu, ikiwa ni pamoja na kutoa ushahidi mwingine wa Barua Pepe, Audio, na MSG...
Hatua hii inakuja baada ya Jana January kuongea huku akimshutumu kuwa ni tapeli. Kwa maana hiyo kaamua kesho kuongea na waandishi wa habari na watanzania kwa ujumla....
Waandishi wa habari wote mnaalikwa. Kesho saa nane kamili!.....
Common sense ndugu!Endelea kujipa moyo....
Mkuu ulileta issue ya UVCCM bila source na imekanushwa ....unahusika vipi na hili sakata maana naona ni kama unaongoza jahazi la kuipa airtime hili swala ....issue ya UVCCM ulimhoji nani mkuu?Kuna mfumo mkubwa sana nyuma ya hii skendo. Watu wasichukulie kama ni issue ya January na Muitaliano.... Kuna kitu kikubwa kinakuja, watanzania hawataamini
Umechanganyikiwa???It looks like JANUARY IS 100 STEPS AHEAD OF BAVICHA, you guys will be dissappointed comes the 'end' of this saga!
What you are expecting for WILL NEVER BE RELIZED!
This MUITALIANO is DEFINATELY going to SHIELD Makamba.
Common sense: DO YOU REALLY BELIEVE THAT HE'S GOING TO "PLEA GUILT" right in front of the media??
UVCCM wenyewe saizi washamegeka. Wanatoa tamko, then watakanusha.... Wamejaa unafiki, njaa, utapeli, na kujipendekezaHIVI LILE TAMKO LA UVCCM ULILITOA WAPI????
UVCCM kwa sasa limemeguka... Kundi moja linatoa tamko, lingine linakanusha..... Tamko lao la jana alilitoa Shaka H Shaka....Mkuu ulileta issue ya UVCCM bila source na imekanushwa ....unahusika vipi na hili sakata maana naona ni kama unaongoza jahazi la kuipa airtime hili swala ....issue ya UVCCM ulimhoji nani mkuu?