Tetesi: Mzungu/Muitaliano wa January Makamba kuongea na waandishi wa Habari kesho Saa Nane, Hyatt Hotel

Status
Not open for further replies.
Hhahahaa
Huyo muitaliano hajui kutoa rushwa ni kosa pia
Yeye pia atasota nyuma ya nondo.
Au anataka kifo cha wengi na wazir tajwa ..
Kupanic kubaya
Duh!! Bongo patamu sana
 
Kwa kweli NAHOJI akili za watu hapa kama hii ndo wanafikiri inaenda tokea! Tatizo watu wanatumia MIHEMKO kufikiri.
Yaani akajilaange right in front of the media?? Haiingii akilini. Kama ataongea kweli, expect a lot of REFUTATION.
Uwajui waitaliano..... Subiri na utaamini macho yako...... Hujui michezo ya kimafia wewe.... Na huenda kuna mfumo fulani au mtu fulani nyuma yake....
 
Sasa kama waandishi mnajitambua mnapaswa kuvizia hapo Hyatt kuanzia sasa hadi muda wa mkutano ili mpate habari zaidi ya habari ....
 
makamba umemrusha yule mganga alokusaidia kupata ubunge kule kwaedikwazo sasa anaharibu
 
Hhahahaa
Huyo muitaliano hajui kutoa rushwa ni kosa pia
Yeye pia atasota nyuma ya nondo.
Au anataka kifo cha wengi na wazir tajwa ..
Kupanic kubaya
Duh!! Bongo patamu sana
Kuna mfumo mkubwa sana nyuma ya hii skendo. Watu wasichukulie kama ni issue ya January na Muitaliano.... Kuna kitu kikubwa kinakuja, watanzania hawataamini
 
Mwaliko haujakamilika mkuu hujaelewa kuwa ataongelea eneo/hotel/ukumbi gani au TV station ipi
 
Endelea kujipa moyo....
Common sense ndugu!
Sio suala la kujipa moyo, sina INTEREST na watu hawa. Nima interest ma NCHI tu. The ITALIAN NATIONAL akajikaange mbele ya kadamnasi??? Okei, tusubiri!
 
Shaka Yangu Ni Jinsi Jeshi La Polisi Watakavyotumika Kumzuia Kukutana Au Kufanya Kikao Hicho!!! Ngoja Tusubirie Tuone Itakavyokuwa!!! Ila Ni Kikao Muhimu Mno, Ili Kujibu Hoja Za Upande Wa Watuhumiwa!!!
 
Kuna mfumo mkubwa sana nyuma ya hii skendo. Watu wasichukulie kama ni issue ya January na Muitaliano.... Kuna kitu kikubwa kinakuja, watanzania hawataamini
Mkuu ulileta issue ya UVCCM bila source na imekanushwa ....unahusika vipi na hili sakata maana naona ni kama unaongoza jahazi la kuipa airtime hili swala ....issue ya UVCCM ulimhoji nani mkuu?
 
mkuu habari zako zinaukakasi kwa kuwa hata ile ya Uvccm uliyoileta kwenye jukwaa hili jana ilikanushwa vikali na Viongozi wa Kuu wa Taasisi hiyo.


Pia kwa mtu anayekusoma katika namna ya udadisi na mwenye kuipa kazi Akili yake basi atagundua kitu katika Mabandiko yako tena kitu ambacho hakina faida kwako, labda kwa Huyo unayempigania.

Jana nilikusapoti katika Andishi lako kuhusu Uvccm Kuandaa Maandamano lakini nilipokuja kuliona kanusho lao, nilikitoa maana na Kukudharau kwa kuwa Unaendeshwa na Chuki, wivu, fitna, majungu pamoja na Siasa za maji ya Mtaroni....

Hatuwezi kumlinda January kwa Kuwa Hata yeye mwenyewe amekubali kuipokea pesa hiyo. Lakini Licha ya Hivyo kamwe hatuwezi kumuacha mpuuzi Mmoja aendelea kukiharibu chama kwa Hekaya Za Kuzusha...

TIME WILL TELL
 
Umechanganyikiwa???
 
Vip kama huyo jamaa ni muitaliano fake ambaye atakuja kuongea mambo ambayo yameandaliwa na huyu huyu February...., hii michezo ngoja tusubir
 
Mkuu ulileta issue ya UVCCM bila source na imekanushwa ....unahusika vipi na hili sakata maana naona ni kama unaongoza jahazi la kuipa airtime hili swala ....issue ya UVCCM ulimhoji nani mkuu?
UVCCM kwa sasa limemeguka... Kundi moja linatoa tamko, lingine linakanusha..... Tamko lao la jana alilitoa Shaka H Shaka....
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…