January Makamba ndiye alimuomba hongo huyo mzungu kupitia kwa dada yake Mwamvita Makamba.Sasa naye si atajichomesha kea kosa la kuhonga?
Huku hamna uchawi. Mtaelewa tuu.Nasubiri huyo mjukuu wa Kaisari akanushe naona hawajui wasambaa huyo, wanaloga hadi kivuli.
Mkuu ukitaka ku reach audience huwezi kuignore social media, hivi vitu inawezekana vinawekwa wazi kwanza, watu wavifahamu, hamna namna hii ingetokea bungeni, bunge lenyewe vitu kama hivi tunazimiwa hatuoniHahahaaa umestukia eeh?
Halafu kwa nini suala zima linakuwa played out kwenye social media?
Things that make you go hmm....
Ila nisiseme mengi. Ngoja nivute subira....
Mbona Watu Wa Bumbuli Mmepandwa Jazba Hivyo!!!?? Kwani Hiyo Nayo Hoja Ya "Kumtakasa " Bosi Wenu!!!??Wewe ndiye afisa habari wa huyo muitaliano?
Umeiokotea wapi hii habari?
Maanake uzushi umekuwa mwingi sana mitandaoni muhimu kujiridhisha na chanzo cha habari.
BTW:Awe makini tu sababu hiyo press inaweza kuzika ndoto za urais wa mtu.
Amesha kubali alipokea pesa. Na dadake kakiri sauti ni yake, alirekodiwa. Na wamesema wanaleta ushaidi zaidi. Hawaitaji kwenda mahakamani wanataka jamii ijuwe.Nafikiri wanachofanya Sasa ni kumuongezea umaarufu January Makamba. Alaf kumkomaza ya kwamba kizuri lazima kipate misukosuko. Maadui wa January ni wakati wao huu!!. Then Muitaliano atapotea na Maadui watapotea, kila kitu kitabaki Zilipendwa(Kumbukeni Dr Slaa). Kinachofanyika ni kwamba Kuna watu ndani ya CCM wanaamini January kapata kikubwa kuliko kinavyostaili, wanataka kumwaga Mboga kwa Raisi. January nakushauri nyamaza, Maana angekua na Visibitisho angeshakua Mahakamani!, Watu wote wanaoitisha Press Conference ni Wenye ujumbe wenye uongo ndani yake!, ambao hawawezi kuusibitisha Mahakamani.
Mzungu atakuwa state WitnessIkiwa itathibitika alitoa rushwa ili apate tender nadhani sheria yetu ianzie kufanya kazi hapo, na isimuache makamba pia hawa wote wanatakiwa kuwajibishwa tu
Hata huyo Tundu Lisu hakudhibitisha, watanzania tusiwe wajinga hawa wanasiasa wanatuchezea akili ila ndio hivyo haitakuw kila siku, ipo siku zinabumburuka kama hivi ndipo tunapotaka uwajibikajiUshahidi wa ufisadi wa lowassa TUNDU LISSU ALISEMA ANAO, yaani wakuu wa chadema walisema wanao na baadhi ilianikwa na Dr. Slaa kuhusu masuala ya Richmond.
Movie ya kihindi sterling atajificha kwenye mauaDuuuh!!! Hii muv mbon inaelkea patamuuu!!, na kama ni series ndo kwanza IPO epsod ya kati!
Pesa itoke wapi wakati huu ni uzushi jameni ebooooHapa ni ile tukose wote,si wamrudishie tu pesa yake bwana
Ushaipigania chama wewe?..... Hapo ulipo yawezekana una hali mbaya sana kiuchumi ETI tunapigania chama....mwenye Akili ndogo kama wewe ndio unaweza kuwaza hivyo lakini mwenye udadisi na mchunguzi hawezi kukubaliana na Hili... Tunapigana sababu ya Chama sio mtu... Ipe kazi Akili yako kwanza kabla Hujanijibu
Kesho majira ya saa nane kamili Mzungu/Muitaliano aliyeibua ufisadi wa January Makamba akifanyia udalali rasilimali za nchi ataongea kila kitu, ikiwa ni pamoja na kutoa ushahidi mwingine wa Barua Pepe, Audio, na MSG...
Hatua hii inakuja baada ya Jana January kuongea huku akimshutumu kuwa ni tapeli. Kwa maana hiyo kaamua kesho kuongea na waandishi wa habari na watanzania kwa ujumla....
Waandishi wa habari wote mnaalikwa. Kesho saa nane kamili!.....
Umesahau ya Kleruu Mkuu ,aliyemuua alifanya nini ??
Usizani watanzania ni wapumbavu na vicha kuzua mjadala kwa lengo la kuwasahaulisha na uporaji wa demokrasia na ushindi Zanzibar....unapoteza muda time for freedom is coming na haitawaacha vizuri watu wote kwa nafasi yake....njia nzuri ni kukemea tabia hizi za kung'ang'ania kutawala. viongozi na vyama vya weusi(Africa) na roho nyeusi ka kinyesi.ccm ni hatari kwa ustawi wa taifa siku za usoni.Kesho majira ya saa nane kamili Mzungu/Muitaliano aliyeibua ufisadi wa January Makamba akifanyia udalali rasilimali za nchi ataongea kila kitu, ikiwa ni pamoja na kutoa ushahidi mwingine wa Barua Pepe, Audio, na MSG...
Hatua hii inakuja baada ya Jana January kuongea huku akimshutumu kuwa ni tapeli. Kwa maana hiyo kaamua kesho kuongea na waandishi wa habari na watanzania kwa ujumla....
Waandishi wa habari wote mnaalikwa. Kesho saa nane kamili!.....