Tetesi: Mzungu/Muitaliano wa January Makamba kuongea na waandishi wa Habari kesho Saa Nane, Hyatt Hotel

Tetesi: Mzungu/Muitaliano wa January Makamba kuongea na waandishi wa Habari kesho Saa Nane, Hyatt Hotel

Status
Not open for further replies.
Hili sakata usijekukuta Rockefeller family yupo nyuma, hivi huyu mange si usalama wa taifa kweli?anafanya mengi japo watu wanachukulia kimzaha mzaha na kama mropokaji, you got dirty deed ya mtu yoyote inayohusu taifa hit her #, booooom its done, na atakuja na kila detail na utumbo woteee
 
Nafikiri wanachofanya Sasa ni kumuongezea umaarufu January Makamba. Alaf kumkomaza ya kwamba kizuri lazima kipate misukosuko. Maadui wa January ni wakati wao huu!!. Then Muitaliano atapotea na Maadui watapotea, kila kitu kitabaki Zilipendwa(Kumbukeni Dr Slaa). Kinachofanyika ni kwamba Kuna watu ndani ya CCM wanaamini January kapata kikubwa kuliko kinavyostaili, wanataka kumwaga Mboga kwa Raisi. January nakushauri nyamaza, Maana angekua na Visibitisho angeshakua Mahakamani!, Watu wote wanaoitisha Press Conference ni Wenye ujumbe wenye uongo ndani yake!, ambao hawawezi kuusibitisha Mahakamani.
 
Mtoa rushwa na mpokea rushwa wote ni wakosaji na wana kesi ya kujibu. Ajiandae kwa hilo na viboko 12 akiingia Keko na 12 akitoka
 
Hahahaaa umestukia eeh?

Halafu kwa nini suala zima linakuwa played out kwenye social media?

Things that make you go hmm....

Ila nisiseme mengi. Ngoja nivute subira....
Mkuu ukitaka ku reach audience huwezi kuignore social media, hivi vitu inawezekana vinawekwa wazi kwanza, watu wavifahamu, hamna namna hii ingetokea bungeni, bunge lenyewe vitu kama hivi tunazimiwa hatuoni

Ukisema aende mahakamani kabla haijawafikia watu, ingekufa kimya kimya...
 
Wewe ndiye afisa habari wa huyo muitaliano?

Umeiokotea wapi hii habari?

Maanake uzushi umekuwa mwingi sana mitandaoni muhimu kujiridhisha na chanzo cha habari.

BTW:Awe makini tu sababu hiyo press inaweza kuzika ndoto za urais wa mtu.
Mbona Watu Wa Bumbuli Mmepandwa Jazba Hivyo!!!?? Kwani Hiyo Nayo Hoja Ya "Kumtakasa " Bosi Wenu!!!??
 
Nafikiri wanachofanya Sasa ni kumuongezea umaarufu January Makamba. Alaf kumkomaza ya kwamba kizuri lazima kipate misukosuko. Maadui wa January ni wakati wao huu!!. Then Muitaliano atapotea na Maadui watapotea, kila kitu kitabaki Zilipendwa(Kumbukeni Dr Slaa). Kinachofanyika ni kwamba Kuna watu ndani ya CCM wanaamini January kapata kikubwa kuliko kinavyostaili, wanataka kumwaga Mboga kwa Raisi. January nakushauri nyamaza, Maana angekua na Visibitisho angeshakua Mahakamani!, Watu wote wanaoitisha Press Conference ni Wenye ujumbe wenye uongo ndani yake!, ambao hawawezi kuusibitisha Mahakamani.
Amesha kubali alipokea pesa. Na dadake kakiri sauti ni yake, alirekodiwa. Na wamesema wanaleta ushaidi zaidi. Hawaitaji kwenda mahakamani wanataka jamii ijuwe.
 
Ushahidi wa ufisadi wa lowassa TUNDU LISSU ALISEMA ANAO, yaani wakuu wa chadema walisema wanao na baadhi ilianikwa na Dr. Slaa kuhusu masuala ya Richmond.
Hata huyo Tundu Lisu hakudhibitisha, watanzania tusiwe wajinga hawa wanasiasa wanatuchezea akili ila ndio hivyo haitakuw kila siku, ipo siku zinabumburuka kama hivi ndipo tunapotaka uwajibikaji
 
mwenye Akili ndogo kama wewe ndio unaweza kuwaza hivyo lakini mwenye udadisi na mchunguzi hawezi kukubaliana na Hili... Tunapigana sababu ya Chama sio mtu... Ipe kazi Akili yako kwanza kabla Hujanijibu
Ushaipigania chama wewe?..... Hapo ulipo yawezekana una hali mbaya sana kiuchumi ETI tunapigania chama....

Endelea kupigania chama, sisi twala kivulini
 
Kesho majira ya saa nane kamili Mzungu/Muitaliano aliyeibua ufisadi wa January Makamba akifanyia udalali rasilimali za nchi ataongea kila kitu, ikiwa ni pamoja na kutoa ushahidi mwingine wa Barua Pepe, Audio, na MSG...

Hatua hii inakuja baada ya Jana January kuongea huku akimshutumu kuwa ni tapeli. Kwa maana hiyo kaamua kesho kuongea na waandishi wa habari na watanzania kwa ujumla....

Waandishi wa habari wote mnaalikwa. Kesho saa nane kamili!.....

Haya
 
Umesahau ya Kleruu Mkuu ,aliyemuua alifanya nini ??

Yule alikuwa mwinyi wa Kihehe na alifikishwa ili hatua ya "swela". Alishaamua kufa kuliko kukubali makaburi ya baba na babu zake yadihakiwe kiasi kile. Sasa hawa matapeli wanaosaka vijisenti na kuweka vikao Hyatt sijui kama wanaweza kuwa na jeuri ya "Mwamwindi".
 
Kesho majira ya saa nane kamili Mzungu/Muitaliano aliyeibua ufisadi wa January Makamba akifanyia udalali rasilimali za nchi ataongea kila kitu, ikiwa ni pamoja na kutoa ushahidi mwingine wa Barua Pepe, Audio, na MSG...

Hatua hii inakuja baada ya Jana January kuongea huku akimshutumu kuwa ni tapeli. Kwa maana hiyo kaamua kesho kuongea na waandishi wa habari na watanzania kwa ujumla....

Waandishi wa habari wote mnaalikwa. Kesho saa nane kamili!.....
Usizani watanzania ni wapumbavu na vicha kuzua mjadala kwa lengo la kuwasahaulisha na uporaji wa demokrasia na ushindi Zanzibar....unapoteza muda time for freedom is coming na haitawaacha vizuri watu wote kwa nafasi yake....njia nzuri ni kukemea tabia hizi za kung'ang'ania kutawala. viongozi na vyama vya weusi(Africa) na roho nyeusi ka kinyesi.ccm ni hatari kwa ustawi wa taifa siku za usoni.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom