Tetesi: Mzungu/Muitaliano wa January Makamba kuongea na waandishi wa Habari kesho Saa Nane, Hyatt Hotel

Tetesi: Mzungu/Muitaliano wa January Makamba kuongea na waandishi wa Habari kesho Saa Nane, Hyatt Hotel

Status
Not open for further replies.
kuna ma el capo 20 (maluteni) wa mafia tayari wapo nchini kumlinda mtaliano na kulipiza kisasa kwa lolote litakalomtokea mtaliano.
[emoji115] inaonekana wewe unamfahamu VincENZO vizuri.
 
[QUOTE="barafuyamoto, post: 15490415, member: 236860baks like JANUARY IS 100 STEPS AHEAD OF BAVICHA, you guys will be dissappointed comes the 'end' of this saga!
What you are expecting for WILL NEVER BE RELIZED!
This MUITALIANO is DEFINATELY going to SHIELD Makamba.
Common sense: DO YOU REALLY BELIEVE THAT HE'S GOING TO "PLEA GUILT" right in front of the media??[/QUOTE]
Umechanganyikiwa wewe Mange Kimambi tangu lini kawa bavicha?
 
hiyo mtaliana unajua wewe. Kuliana ni kitu kingine tofauti.

Sijakufahamu mkuu "Kuliana" nalo ni neno la kiswahili..

usikasirike mkuu ni mambo ya kawaida najua kiswahili sio "mother tongue" yako,labda ni lugha yako ya pili,,ukikosolewa kubali makosa kwa njia hiyo ndio utasoma makosa yako,Kumbuka kuwa kiswahili ni kama lugha nyingine yoyote ina sheheria zake kwenye kuandika na kuzungumza....
 
Mkuu VincENZO amesoma hapa hapa Dar es salaam. Lakini umaarufu alionao hapo Napoli ni kama umuulizie dayamond platnamz tandale.
Sasa kama amesoma hapa bongo na ni maarufu huko Napoli......ndo TISS watashindwa kumficha......
 
Ukijua kusema uwongo ukumbuke na kuweka kumbukumbu ewe dogo January music hiyo cheza menyewe, kwani ujanja mwingi mbele kiza
 
Sasa kama amesoma hapa bongo na ni maarufu huko Napoli......ndo TISS watashindwa kumficha......
Sasa mkuu TISS Wamfiche kwa manufaa ya nani?

Na kama ni hao hao TISS wanamtumia mkuu utajuaje? Haka kanchi bwana kaone hivi hivi
 
Ninavyoona mimi majipu yataisha baada ya jpm kumaliza awamu zake za uongozi maana nchi hii ilitandazwa kwa mtandao wa kifisadi ....mkubwa zaidi ya ule voda na tigo
 
Sasa mkuu TISSUE Wamfiche kwa manufaa ya nani?

Na kama ni hao hao TISS wanamtumia mkuu utajuaje? Haka kanchi bwana kaone hivi hivi
Anyway....bado masaa 18 mthungu amwage mboga.....
 
Sehemu sahihi nadhani ilikuwa mahakamani sasa kwa waandishi wa habari tena it looks more political sasa isije ikawa anatumika uyu mwekezaji ambaye anataka press conference.
 
Kwa kweli NAHOJI akili za watu hapa kama hii ndo wanafikiri inaenda tokea! Tatizo watu wanatumia MIHEMKO kufikiri.
Yaani akajikaange right in front of the media?? The ITALIAN NATIONAL???Haiingii akilini. Kama ataongea kweli, expect a lot of REFUTATION.
mwenyewe nina feeling kama hiyo, watu wazoefu wa kupiga dili huwa si rahisi kihivyo ku snitch
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom