Tetesi: Mzungu/Muitaliano wa January Makamba kuongea na waandishi wa Habari kesho Saa Nane, Hyatt Hotel

Tetesi: Mzungu/Muitaliano wa January Makamba kuongea na waandishi wa Habari kesho Saa Nane, Hyatt Hotel

Status
Not open for further replies.
Hii habari kama ni kweli,huyu mzungu awekewe ulinzi maana anaweza asifike hiyo kesho katika mazingira ya kutatanisha na vile vile msishangae kusikia mkutano huo umeahirishwa.
MIE NAONA NI KWELI. Embu tujiulize, pamoja na uwepo wa sheria za mtandao kuhusu kusema uongo. jamaa wameshusha nondo kaliii...... wanajiamini. hapo kuna ukweli hata kama anayeleta mambo yupo mbali
 
Mimi sio mjuzi wa sheria ila malipo ya udalali ni legal hivyo huyo mzungu anaweza kusema kwamba $1M haikuwa rushwa bali ni malipo halali ya udalali kwa Makamba. Akisema hivyo Makamba atakuwa kikaangoni maana ki maadili hakutakiwa awe dalali!
udalali una taratibu zake...we ushawahi kumlipa dalali gawio lake kabla kuisha na kukamilika kwa kazi....?..

ye akubali tu ashapigwa..atulie
 
hapa hizi habari zilipofikia inatosha kabisa kumtupa Makamba pembeni maana zimepita hata zile za Sufue
 
udalali una taratibu zake...we ushawahi kumlipa dalali gawio lake kabla kuisha na kukamilika kwa kazi....?..

Kama unaongelea udalali wa nyumba au chumba cha kupanga basi upo sahihi lakini kama unaongelea broker as a risk free business entity unatakiwa ujuwe kwamba kila hatua ya brokerage (udalali) kunatumika fedha na fedha hiyo inatolewa na client. Broker, kumbuka ni muuzaji wa bidhaa inayoitwa information au connection au network if you wish na delivery ya bidhaa hiyo inahitaji fedha ambazo mteja ndio mtoaji. Kwa maana hiyo kulingana na nature ya kazi kiasi cha fedha kinaweza kutolewa hata kabla ya kazi kuanza. Na ukifuatilia saga hii utaona kwamba kilichokuwa kinatafutwa na mzungu ni connection na kwamba $1M nyingine ilitakiwa itolewe kwa Makamba baada ya mzungu kukutanishwa na viongozi wa juu akiwamo waziri mkuu.
 
Ikiwa itathibitika alitoa rushwa ili apate tender nadhani sheria yetu ianzie kufanya kazi hapo, na isimuache makamba pia hawa wote wanatakiwa kuwajibishwa tu

Mtoaji Na mpokeaji rushwa wote........!
 
Mzungu anadai katapeliwa 1m dollars aliyotoa ili apewe tender ya kujenga Bagamoyo port, wakati hivi ss kazuiliwa na hotel ya Hyatt asitoke mpaka alipe deni la hotel, haiingi akilini..
Inaingia wapi. Kuzuiwa haina maana hana hela. pengine ni transfa tu zimechelewa au aliahidiwa kulipwa zake akaona hana haja ya kuwa na hela nyingi. Subiri ukweli
 
Kuna watu wachache wanatumia JF kama sehemu ya kuchafuliana majina.

Kwa hiyo Mtaliano anakwenda kukiri kwamba alitoa rushwa?

Tusubiri kesho "Mtaliano afungwa mdomo kaongwa mamilioni ya dola".
Atasema alimpa pesa na sasa anamdai pesa zake.
 
Kwambali naona kuna kajipu ,maana kuna slogan "Hata kama utatuhumiwa serikali makini haitaki kuona watu wakikunyooshea kidole,maana hakuna uongo ulio uongo mtupu"
 
Mimi sio mjuzi wa sheria ila malipo ya udalali ni legal hivyo huyo mzungu anaweza kusema kwamba $1M haikuwa rushwa bali ni malipo halali ya udalali kwa Makamba. Akisema hivyo Makamba atakuwa kikaangoni maana ki maadili hakutakiwa awe dalali!
Hawezi kusema ni rushwa. Udalali inafaa.
 
Hii muvi nakumbuka ilianzaga kitambo saana na jamaa wamigodi mmoja akiwa ni mpenzi wa Mwamvita pana email ilivuja (kutoka kwa Mwamvita kwenda kwa kabulu huyo) ya mikakati ya kutaka fanya manuva ya JM kuwa waziri wa nishati nafikiri 2010/ 15 kama sikosei.....sijui ilivuja vp ila ilirushwa kwa wanabidii group google groups zile, sina hakika kama ilikuwa jamii forum by then au ze utamu kujing'ata ulimi blog..
 
Hii muvi nakumbuka ilianzaga kitambo saana na jamaa wamigodo mmoja akiwa ni mpenzi wa Mwamvita pana email ilivuja (kutoka kwa Mwamvita kwenda kwa kabulu) ya mikakati ya kutaka fanya manuva ya JM kuwa waziri wa nishati nafikiri 2010/ 15 kama sikosei.....sijui ilivuja kna kurushwa kwa wanabidii group google groups zile, sina hakika kama ilikuwa jamii forum by then au ze utamu kujing'ata ulimi blog..
Hawa watu inaonekana kuna kitu wanafanya.

Haiwezekani kila mara iwe wao tu.
 
Hawa watu inaonekana kuna kitu wanafanya.

Haiwezekani kila mara iwe wao tu.
Mabadiliko kwa Nchii hii yanagharama kubwaa......tuzidi mwombea JPM katika adhma yake..maana kazi ni kubwa kwa kwakweli....

mbona wanatajwa tajwa wao tu?!

Mtu kama PM sikuwa namsikia hadi alipewa nafasi hiyo ndio nikaanza msikia na kimfahamu... ila kaka na dada hako longo time kusaka nyazifa!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom