laganalodge
Senior Member
- Jun 14, 2012
- 155
- 57
Mtoa rushwa na mpokea rushwa wote wakosaji ,
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
MIE NAONA NI KWELI. Embu tujiulize, pamoja na uwepo wa sheria za mtandao kuhusu kusema uongo. jamaa wameshusha nondo kaliii...... wanajiamini. hapo kuna ukweli hata kama anayeleta mambo yupo mbaliHii habari kama ni kweli,huyu mzungu awekewe ulinzi maana anaweza asifike hiyo kesho katika mazingira ya kutatanisha na vile vile msishangae kusikia mkutano huo umeahirishwa.
udalali una taratibu zake...we ushawahi kumlipa dalali gawio lake kabla kuisha na kukamilika kwa kazi....?..Mimi sio mjuzi wa sheria ila malipo ya udalali ni legal hivyo huyo mzungu anaweza kusema kwamba $1M haikuwa rushwa bali ni malipo halali ya udalali kwa Makamba. Akisema hivyo Makamba atakuwa kikaangoni maana ki maadili hakutakiwa awe dalali!
Huu ukoo ni wa kuchunguzwaUkoo wa makamba kwa kupiga ma deal ni noma
udalali una taratibu zake...we ushawahi kumlipa dalali gawio lake kabla kuisha na kukamilika kwa kazi....?..
Ikiwa itathibitika alitoa rushwa ili apate tender nadhani sheria yetu ianzie kufanya kazi hapo, na isimuache makamba pia hawa wote wanatakiwa kuwajibishwa tu
Inaingia wapi. Kuzuiwa haina maana hana hela. pengine ni transfa tu zimechelewa au aliahidiwa kulipwa zake akaona hana haja ya kuwa na hela nyingi. Subiri ukweliMzungu anadai katapeliwa 1m dollars aliyotoa ili apewe tender ya kujenga Bagamoyo port, wakati hivi ss kazuiliwa na hotel ya Hyatt asitoke mpaka alipe deni la hotel, haiingi akilini..
Pesa zikirudi ni ushahidi huoHapa ni ile tukose wote,si wamrudishie tu pesa yake bwana
Atasema alimpa pesa na sasa anamdai pesa zake.Kuna watu wachache wanatumia JF kama sehemu ya kuchafuliana majina.
Kwa hiyo Mtaliano anakwenda kukiri kwamba alitoa rushwa?
Tusubiri kesho "Mtaliano afungwa mdomo kaongwa mamilioni ya dola".
Tiss wana kazi nyingi za maana. .Sasa mkuu TISS Wamfiche kwa manufaa ya nani?
Na kama ni hao hao TISS wanamtumia mkuu utajuaje? Haka kanchi bwana kaone hivi hivi
Tiss wamzuie kwa amri ya nani?Huyu mtaliano atazuiliwa TISS kuongea na wandishi wa habari mtaniambia
Hawezi kusema ni rushwa. Udalali inafaa.Mimi sio mjuzi wa sheria ila malipo ya udalali ni legal hivyo huyo mzungu anaweza kusema kwamba $1M haikuwa rushwa bali ni malipo halali ya udalali kwa Makamba. Akisema hivyo Makamba atakuwa kikaangoni maana ki maadili hakutakiwa awe dalali!
Hawa watu inaonekana kuna kitu wanafanya.Hii muvi nakumbuka ilianzaga kitambo saana na jamaa wamigodo mmoja akiwa ni mpenzi wa Mwamvita pana email ilivuja (kutoka kwa Mwamvita kwenda kwa kabulu) ya mikakati ya kutaka fanya manuva ya JM kuwa waziri wa nishati nafikiri 2010/ 15 kama sikosei.....sijui ilivuja kna kurushwa kwa wanabidii group google groups zile, sina hakika kama ilikuwa jamii forum by then au ze utamu kujing'ata ulimi blog..
Mzungu hata umtimue, atasema tu akiwa huko huko kwao na habari kurushwa kwenye media za bongo.Kajihakikishia usalama hadi hiyo kesho?? Wasijekumtimua nchini kwa kutumia influence zao....
ninunue bisi tu za kutosha. cinema tamu hili loh!!!Duuuh!!! Hii muv mbon inaelkea patamuuu!!, na kama ni series ndo kwanza IPO epsod ya kati!
Mabadiliko kwa Nchii hii yanagharama kubwaa......tuzidi mwombea JPM katika adhma yake..maana kazi ni kubwa kwa kwakweli....Hawa watu inaonekana kuna kitu wanafanya.
Haiwezekani kila mara iwe wao tu.