mzungu na mwafrika! (joke)

mzungu na mwafrika! (joke)

Kingdom_man

JF-Expert Member
Joined
May 19, 2010
Posts
405
Reaction score
462
True Story:
Kulikuwapo mzungu na nyani wake pembeni alikuwapo mwafrika anauza ndizi; Mwafrika akamuomba mzungu amlindie ndizi zake anatoka kidogo. Aliporudi akakuta ndizi zake zimeliwa Alipomuliza mzungu akamjibu amekula ndugu yako akimanisha nyani. Baadae kidogo mzungu akaenda kujisaidia akamuomba mwafrika amlindie nyani wake aliporudi akamkuta amekufa, Alipomuliza mwafrika akamjibu "hayakuhusu haya ni mambo ya kifamilia"
HAPPY NEW YEAR
 
Back
Top Bottom