Mzunguko wa dunia katika mhimili wake

Unaposema ndge inakuwa moved na dunia una maana gani?...Yaan unamaanisha ndege haina movement yake au?...Swali jingine ni kwamba,Kama ndege ingekuwa na uwezo wa kuganda angani umbali mrefu kutoka ardhini,Mimi kama abiria kwenye ndege hiyo ningeweza kuiona dunia ikizuguka?,If not why?...
 
SirChief kuna hili suala pia naliskia saana.
Ndege ikiwa inatoka west to east inawahi haraka kuliko inapotoka east to west. Je kuna ukweli wowote? ?
 
Kama sisimizi hajielewi, jaribu hii
Unapokuwa kwenye gari inayoenda kwa speed ile ile na mkononi umeshika kikombe cha chai, chai haitomwagika kama gari haito ongeza mwendo (Accelerate) au kupunguza mwendo (Decelerate) na endapo ikifanya moja kati ya hayo basichai yako itamwagika
 
Hapo unajaribu kujenga hoja gani labda?...Husianisha na Earth's rotation.
 
Hapo unajaribu kujenga hoja gani labda?...Husianisha na Earth's rotation.
The spinning and orbital speeds of Earth stay the same so we do not feel any acceleration or deceleration. You can only feel motion if your speed changes
 
Na vipi kuhusu mzunguko wa jua kwa siku 365...na uhalisia wa hizo nyota kuwa palepale maana ni zaidi ya miezi 6 sawa na siku 175 kama sijakosea .hapo umezungumzia dunia kujizungusha kwenye mhimili wake tu...
 
Ndege ina movement yake. Lakini hiyo movement yake ipo katika dunia inayozunguka. Anga lote lililobeba ndege linazunguka pia.

Hata ndege ingeweza kusimama angani, bado ingekuwa inazunguka kwa sababu anga lililoibeba dunia linazunguka. Hivyo usingeweza kuiona dunia inazunguka.

Ili uione dunia ianzunguka, inakubidi utoke nje ya anga la dunia, ukae kwenye space station ilitosimama au unayokwenda speed ndogo zaidi ya mzunguko wa dunia.
 
Na vipi kuhusu mzunguko wa jua kwa siku 365...na uhalisia wa hizo nyota kuwa palepale maana ni zaidi ya miezi 6 sawa na siku 175 kama sijakosea .hapo umezungumzia dunia kujizungusha kwenye mhimili wake tu...
Nyota hazizunguki. Mfano ni jua. Jua halizunguki ila dunia na sayari zingine huzunguka.
 
SirChief kuna hili suala pia naliskia saana.
Ndege ikiwa inatoka east to west inawahi haraka kuliko inapotoka west to east. Je kuna ukweli wowote? ?
Io inaitwa Jet Stream na inafanya kazi kinyume cha ulivouliza ni west-east, kuna mawili apo yanatokea jet stream au global winds hususani upepo huu unaovuma kutoka west kwenda east unasaidia kuisukuma ndege katika muelekeo huo huo, cha pili ni earth spin, ndege pia zinaathiriwa na huu mzunguko kitu ambacho unakuta destination either is spinning toward your plane or spinning away from the plane.
 
Ndege ina movement yake. Lakini hiyo movement yake ipo katika dunia inayozunguka. Anga lote lililobeba ndege linazunguka pia.

Hata ndege ingeweza kusimama angani, bado ingekuwa unazunguka kwa sababu anga lililoibeba linazunguka.

Al-Watan soma swali langu la pili mkuu...
Naomba unijibu.

Asante kwa kushare mawazo.
 
Nakusanya nondo soon nakuja kuchani mapoints hapa
 
In theory speed haiwezi kuwa sawa kwa sababu ya centrifugal force na pia mambo kama ya density ya gases na earth core kuwa tofauti, hapo ndipo swali lako lilipozaliwa. Ila pia kwa sababu gases zina density ndogo, ni rahisi kubebwa na gravity. Gases zote ambazo zilikuwa nje ya gravitational field ya dunia zimesha escape nje ya atmosphere (actually zinaendelea ku escape at a very low rate at the very top of the atmosphere). Zilizobaki zipo under the influence of gravity.

Sasa basi, kwa sababu sehemu kubwa ya uzito wa dunia inatokana na the earth itself, na proportionally the atmospehere is not as dense/ heavy, speed ya earth inapungua negligibly ukiwa kwenye atmosphere. In fact ukienda chinibkabisa kwenye earth core kuna molten iron inayozunguka even faster. Mzunguko huu pamoja na magnetism na magnetic poles kuwa tofauti na axis ya dunia ndivyo vitu vunavyisababisha dunia kujuzungusha kwenye mhumikibwaje in the first place, ti answer anither question I saw here.

Kusema atmosphere inakwenda speed moja na earth (land) ni simolification kama vike kusema dunia inalizunguka jua.

Dunia hailizunguki jua. Dunia na jua vinazunguka point fulani ambayo inapatikana kwa kutumia Newtons laws na Einsteins Relativity na Keplers laws. Kwa sababu jua ni kubwa sana ukililinganisha na dunia, point hii inakuwa ndani ya jua, ingawa si katikati ya jua.

Lakinibkwa sababubtunataka kurahisisha mambo, tunasema dunia inalizunguka jua kwa sababu the difference is negligible.

Hata hiyo difference ya speed ya atmosphere iliyobebwa na dunia (land and oveand all the way to the core) na dunia proper yenyewe ni ndogo sana.
 
Sijui nina akili ndogo...bado nashindwa kuelewa kwanini speed ya ndege iathiriwe na atmospheric wind au global wind na earth spin lakini ishindikanike kuona hiyo Athari inayoifanya kuathiri speed yake ikitegemea hiyo Athari ni kubwa.
 
nimepata ka nmwanga
 

Sawa sawa.
 
Sijui nina akili ndogo...bado nashindwa kuelewa kwanini speed ya ndege iathiriwe na atmospheric wind au global wind na earth spin lakini ishindikanike kuona hiyo Athari inayoifanya kuathiri speed yake ikitegemea hiyo Athari ni kubwa.
Nime edit jibu langu kama ukisoma tena utaona, upepo tunaouzungumzia ni high altitude wind kwaio unafanya push effect kwenye ndege na athari yake ndo kama io kuwahi kufika mapema west-east na kuchelewa kufika east-west. Io issue ya earth spin ina concept ngumu ngumu kama za Quantum physics ila kijuu juu ni spinning away and spinning towards concepts.
Ka kuna mtu anaweza kuieleza vizuri kwa kiswahili itakua vizuri, me nashindwa kueleza kwa kiswahili.
 
Kumbe mkuu hayo masaa 24 ni baada ya approximation........

Sasa haya masaa 24 huku duniani tumeyatoa wapi?
 
Kumbe mkuu hayo masaa 24 ni baada ya approximation........

Sasa haya masaa 24 huku duniani tumeyatoa wapi?
Sijajua mkuu experts wataeleza juu ya hili. Ila kumbuka kuna mzunguko kwa jua na kwa nyota zingine jua likiwa included

Haya yanachanganya saana kuambiwa speed ya dunia ni zaidi ya ferrari vineno...koh unazunguka zaidi ya ferrari wewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…