Mzunguko wa dunia katika mhimili wake

Mzunguko wa dunia katika mhimili wake

Huhisi mzunguko huu kwa sababu kila kitu kwenye uso wa dunia, pamoja na atmosphere, vinazunguka kwa mwendo huu.

Chukulia mfano wa sisimizi aliye katika gari linaloenda kasi. Sisimizi anakuwa na "kinetic energy" ya gari, na kama gari linaenda 90 km/hr, madirisha yamefungwa, hata hewa iliyo katika gari inakwenda kwa speed hiyo na sisimizi anakuwa hajui kwamba gari lina mwendo

Sasa wewe na dunia unakuwa mdogo mara nyingi sana zaidi ya sisimizi alivyo ndogo kwa gari.



Ndege haijatoka duniani bado, ipo katika atmosphere inayozunguka na mwendo wa dunia. Mfano mzuri wa kuona dunia inavyozunguka ni kwenda kwenye satellite zilizotoka nje ya atmpsphere ya dunia na zinazoweza kuiona dunia kwa mbali. Mfano ni "International Space Station"



Swali lina assume ndege imetoka nje ya dunia. Tumeona hapo juu kwamba hewa ya dunia ni sehemu ya dunia na ndege haitoki nje ya dunia.



Again, ndege yenyewe ipo katika dunia na inasukumwa na speed ya dunia. Ni sawa na wewe ukae nyuma kwenye pickup, halafu pickup iwe inaenda kasi, halafu uchukue kitenesi na kukirusha juu kidogo halafu ujaribu kukidaka. Unaweza kufikiri kwamba kitenesi kitadondoka nje, lakini kama hakuna upepo na hujakirusha juu sana utaweza kukidaka kama mtu ambaye kasimama, kwa sababu wewe, gari na kitenesi wote mna kinetic energy.

Ndege haitoki nje ya dunia, hivyo ni sehemu ya vyote vinavyokuwa moved na dunia vilivyo ndani ya dunia.

Nimejibu kutoka kichwani tu sijaangalia reference book kama nimekosea tujadili.
Unaposema ndge inakuwa moved na dunia una maana gani?...Yaan unamaanisha ndege haina movement yake au?...Swali jingine ni kwamba,Kama ndege ingekuwa na uwezo wa kuganda angani umbali mrefu kutoka ardhini,Mimi kama abiria kwenye ndege hiyo ningeweza kuiona dunia ikizuguka?,If not why?...
 
SirChief kuna hili suala pia naliskia saana.
Ndege ikiwa inatoka west to east inawahi haraka kuliko inapotoka east to west. Je kuna ukweli wowote? ?
 
Umejuaje kwamba sisimizi hawezi kuhisi kwamba gari lina move?...Inawezekana asiweze kuhisi sababu hana utashi wa kugutambua kwamba anachokihisi ni movement...Lakini huwezi sema sisimizi hawezi kuhisi movement wakati huna uhakika zaid ya ku speculate..
Kama sisimizi hajielewi, jaribu hii
Unapokuwa kwenye gari inayoenda kwa speed ile ile na mkononi umeshika kikombe cha chai, chai haitomwagika kama gari haito ongeza mwendo (Accelerate) au kupunguza mwendo (Decelerate) na endapo ikifanya moja kati ya hayo basichai yako itamwagika
chai.jpg
 
Kama sisimizi hajielewi, jaribu hii
Unapokuwa kwenye gari inayoenda kwa speed ile ile na mkononi umeshika kikombe cha chai, chai haitomwagika kama gari haito ongeza mwendo (Accelerate) au kupunguza mwendo (Decelerate) na endapo ikifanya moja kati ya hayo basichai yako itamwagikaView attachment 487818
Hapo unajaribu kujenga hoja gani labda?...Husianisha na Earth's rotation.
 
Hapo unajaribu kujenga hoja gani labda?...Husianisha na Earth's rotation.
The spinning and orbital speeds of Earth stay the same so we do not feel any acceleration or deceleration. You can only feel motion if your speed changes
 
Dunia hujizungusha kwa masaa 23.56 ambayo approx ni 24 hours. Hapo kuna usiku na mchana.

Na kama unavyojua nyota huonekana usiku. Hivyo nyota uliyotarget unaiona pale pale kwasababu mzunguko wa dunia haukubadilishii station upo pale pale na ile ile sehemu kila siku usiku.
Na vipi kuhusu mzunguko wa jua kwa siku 365...na uhalisia wa hizo nyota kuwa palepale maana ni zaidi ya miezi 6 sawa na siku 175 kama sijakosea .hapo umezungumzia dunia kujizungusha kwenye mhimili wake tu...
 
Unaposema ndge inakuwa moved na dunia una maana gani?...Yaan unamaanisha ndege haina movement yake au?...Swali jingine ni kwamba,Kama ndege ingekuwa na uwezo wa kuganda angani umbali mrefu kutoka ardhini,Mimi kama abiria kwenye ndege hiyo ningeweza kuiona dunia ikizuguka?,If not why?...
Ndege ina movement yake. Lakini hiyo movement yake ipo katika dunia inayozunguka. Anga lote lililobeba ndege linazunguka pia.

Hata ndege ingeweza kusimama angani, bado ingekuwa inazunguka kwa sababu anga lililoibeba dunia linazunguka. Hivyo usingeweza kuiona dunia inazunguka.

Ili uione dunia ianzunguka, inakubidi utoke nje ya anga la dunia, ukae kwenye space station ilitosimama au unayokwenda speed ndogo zaidi ya mzunguko wa dunia.
 
Na vipi kuhusu mzunguko wa jua kwa siku 365...na uhalisia wa hizo nyota kuwa palepale maana ni zaidi ya miezi 6 sawa na siku 175 kama sijakosea .hapo umezungumzia dunia kujizungusha kwenye mhimili wake tu...
Nyota hazizunguki. Mfano ni jua. Jua halizunguki ila dunia na sayari zingine huzunguka.
 
SirChief kuna hili suala pia naliskia saana.
Ndege ikiwa inatoka east to west inawahi haraka kuliko inapotoka west to east. Je kuna ukweli wowote? ?
Io inaitwa Jet Stream na inafanya kazi kinyume cha ulivouliza ni west-east, kuna mawili apo yanatokea jet stream au global winds hususani upepo huu unaovuma kutoka west kwenda east unasaidia kuisukuma ndege katika muelekeo huo huo, cha pili ni earth spin, ndege pia zinaathiriwa na huu mzunguko kitu ambacho unakuta destination either is spinning toward your plane or spinning away from the plane.
 
Ndege ina movement yake. Lakini hiyo movement yake ipo katika dunia inayozunguka. Anga lote lililobeba ndege linazunguka pia.

Hata ndege ingeweza kusimama angani, bado ingekuwa unazunguka kwa sababu anga lililoibeba linazunguka.

Al-Watan soma swali langu la pili mkuu...
Naomba unijibu.

Asante kwa kushare mawazo.
 
Kwanza nishukuru kwa majibu murua..
Twende mbele..Kwanza mkuu mass ya dunia kupitia centrifugal force ndiyo vinafanya dunia kuzunguka kwa speed ambapo vitu vyote vinavutwa katikati? Right?
Sasa kama ni ndiyo je mass iliyopo kwenye atmosphere (maana huko kuna gases na tinny materials) ni sawa na iliyopo kwenye body la dunia hii hii? Kama sio kwanini speed isitofautiane. Na ni kitu gani kinafanya vitu viwili vikubwa vyenye uzito usioendana kuzunguka pamoja kwa speed ile ile?


Troposphere ni kweli inazunguka speed ile ile na Exosphere iliyopo karibu na jua. Na wanasema Exosphere is the layer where all molecules and atoms escape into the space. Escape escape wakati dunia all things are pulled into the center. Bado nina doubt na atmosphere kuzunguka pamoja na hili limviringo letu mkuu.
Hivyo hivyo kwa layers zingine naomba ufafanuzi mkuu

Stratosphere
Mesosphere
Thermosphere
Exosphere

????????????
In theory speed haiwezi kuwa sawa kwa sababu ya centrifugal force na pia mambo kama ya density ya gases na earth core kuwa tofauti, hapo ndipo swali lako lilipozaliwa. Ila pia kwa sababu gases zina density ndogo, ni rahisi kubebwa na gravity. Gases zote ambazo zilikuwa nje ya gravitational field ya dunia zimesha escape nje ya atmosphere (actually zinaendelea ku escape at a very low rate at the very top of the atmosphere). Zilizobaki zipo under the influence of gravity.

Sasa basi, kwa sababu sehemu kubwa ya uzito wa dunia inatokana na the earth itself, na proportionally the atmospehere is not as dense/ heavy, speed ya earth inapungua negligibly ukiwa kwenye atmosphere. In fact ukienda chinibkabisa kwenye earth core kuna molten iron inayozunguka even faster. Mzunguko huu pamoja na magnetism na magnetic poles kuwa tofauti na axis ya dunia ndivyo vitu vunavyisababisha dunia kujuzungusha kwenye mhumikibwaje in the first place, ti answer anither question I saw here.

Kusema atmosphere inakwenda speed moja na earth (land) ni simolification kama vike kusema dunia inalizunguka jua.

Dunia hailizunguki jua. Dunia na jua vinazunguka point fulani ambayo inapatikana kwa kutumia Newtons laws na Einsteins Relativity na Keplers laws. Kwa sababu jua ni kubwa sana ukililinganisha na dunia, point hii inakuwa ndani ya jua, ingawa si katikati ya jua.

Lakinibkwa sababubtunataka kurahisisha mambo, tunasema dunia inalizunguka jua kwa sababu the difference is negligible.

Hata hiyo difference ya speed ya atmosphere iliyobebwa na dunia (land and oveand all the way to the core) na dunia proper yenyewe ni ndogo sana.
 
Io inaitwa Jet Stream na inafanya kazi kinyume cha ulivouliza ni west-east, kuna mawili apo yanatokea jet stream au global wind ambao sikuzote unavuma kutoka west kwenda east, cha pili ni earth spin ACTUALLY THE EAST USE TO SPIN AWAY AND MAKE IT EVEN LONGER TO REACH IT
Sijui nina akili ndogo...bado nashindwa kuelewa kwanini speed ya ndege iathiriwe na atmospheric wind au global wind na earth spin lakini ishindikanike kuona hiyo Athari inayoifanya kuathiri speed yake ikitegemea hiyo Athari ni kubwa.
 
Aisee Mkuu maswali yako ni poa sana kwa kweli Mimi nilikuwa hobbyist mkubwa kabisa wa Astronomy na cosmologist nitakujibu kwa uelewa wangu and i stand to be corrected, Mimi nijuavyo Dunia Iko katika speed fulani ila vilivyopo ndani havihisi hiyo speed kwa sababu tu Havioni vitu vya nje ya Kufananisha navyo Na pia dunia iko katika constant velocity (Uniform velocity) Speed huonekana au kutambulika na Observers ikiwa tu kuna stationary object au kitu kingine ambacho hakiko ktk exactly same speed Mfano wewe upo katika gari ambayo ina tembea Kwa speed ya 120Km/H na mwenzio yupo katika gari ambayo ipo sawa speed na wewe regardless of stationary thing kama miti tu assume haipo basi ww toka dirishani umtaze mwenzio katika gari ingine ambayo uko Nayo same exactly speed basi mkitazamana japo upo katika mwendo mkali bado mtajiona stationary tu yani mtaona kama mmesima the same applied dunia tunaiona iko stationary na hatu feel hii speed of rotation kwa vile tu Tuna move nayo na hakuna vitu vya kujifanisha navyo amvayo viko stationary , Kaa kwenye gari funga vioo usiangalie nje gari itembee katika Speed constant ni wazi tu utahisi umesimama, mabadiliko ya speed na Kuona vitu vilivosimama hukufanya kugundua uko katika motion, secondary hakuna Aeroplane zinazotoka out of space zipo Rocket tu ambazo huenda angaa za mbali na zenyewe hutegemea Orbit zitakapo kuwa kuna kitu kinaitwa Parking orbit ukifika apo utaona dunia haitembeiii, Nikupe homework kama Dunia Inazunguka kwanini madishi ya Tv tunayaelekezea sehemu moja ili kunasa sattelite fulani kwanini hatuyazungushi kila muda?
nimepata ka nmwanga
 
In theory speed haiwezi kuwa sawa kwa sababu ya centrifugal force na pia mambo kama ya density ya gases na earth core kuwa tofauti, hapo ndipo swali lako lilipozaliwa. Ila pia kwa sababu gases zina density ndogo, ni rahisi kubebwa na gravity. Gases zote ambazo zilikuwa nje ya gravitational field ya dunia zimesha escape nje ya atmosphere (actually zinaendelea kubescaoe at a very low rate at the very top of the atmosphere). Zilizobaki zipo under the unfluence of gravity.

Sasa basi, kwa sababu sehemu kubwa ya uzito wa dunia inatokana na the earth itself, na proportionally the atmispehere is nit as dense/ heavy, speed ya earth inapungua negligibly ukiwa kwenye atmosphere. In fact ukienda chinibkabisa kwenye earth core kuna molten iron inayozunguka even faster. Mzunguko huu pamoja na magnetism na magnetic poles kuwa tofauti na axis ya dunia ndivyo vitu vunavyisababisha dunia kujuzungusha kwenye mhumikibwaje in the first place, ti answer anither questiin I saw here.

Sawa sawa.
 
Sijui nina akili ndogo...bado nashindwa kuelewa kwanini speed ya ndege iathiriwe na atmospheric wind au global wind na earth spin lakini ishindikanike kuona hiyo Athari inayoifanya kuathiri speed yake ikitegemea hiyo Athari ni kubwa.
Nime edit jibu langu kama ukisoma tena utaona, upepo tunaouzungumzia ni high altitude wind kwaio unafanya push effect kwenye ndege na athari yake ndo kama io kuwahi kufika mapema west-east na kuchelewa kufika east-west. Io issue ya earth spin ina concept ngumu ngumu kama za Quantum physics ila kijuu juu ni spinning away and spinning towards concepts.
Ka kuna mtu anaweza kuieleza vizuri kwa kiswahili itakua vizuri, me nashindwa kueleza kwa kiswahili.
 
Dunia hujizungusha kwa masaa 23.56 ambayo approx ni 24 hours. Hapo kuna usiku na mchana.

Na kama unavyojua nyota huonekana usiku. Hivyo nyota uliyotarget unaiona pale pale kwasababu mzunguko wa dunia haukubadilishii station upo pale pale na ile ile sehemu kila siku usiku.
Kumbe mkuu hayo masaa 24 ni baada ya approximation........

Sasa haya masaa 24 huku duniani tumeyatoa wapi?
 
Kumbe mkuu hayo masaa 24 ni baada ya approximation........

Sasa haya masaa 24 huku duniani tumeyatoa wapi?
Sijajua mkuu experts wataeleza juu ya hili. Ila kumbuka kuna mzunguko kwa jua na kwa nyota zingine jua likiwa included

Haya yanachanganya saana kuambiwa speed ya dunia ni zaidi ya ferrari vineno...koh unazunguka zaidi ya ferrari wewe
 
Back
Top Bottom