Mzunguko wa dunia katika mhimili wake

Wale vimwana wa JF wanaompenda Dabby mbona siwaoni huku? Ina maana wamekimbia?? Kumbe ni vilaza!! [emoji1][emoji1][emoji1]
 
Dunia haizunguki, bali jua ndilo huzunguka ... Uthibitisho ni pale nabii Fulani aliposimamisha jua ili apigane na maadui..
Hii nimeipenda sana Hakusimamisha Dunia Bali Alisimamisha JUA gud
 

Kaka nimekupa mfano wa nzi akiwa ndani ya ndege au hata gari, wakati gari au ndege iko kwenye speed yake, Nzi aliyemo ndani ya Ndege ama Gari anaweza pia kuruka kutoka sehemu moja kwenda nyingine

Speed ya mantle au Crust ni sawa na speed ya Mesosphere, lakini ninashida kidogo na Exosphere maana hata wataalamu wengine wanabishana katika kuiweka Exosphere kuwa sehemu ya Atmosphere, wengi wanasema Atmosphere inaishia kwenye Thermosphere
 
Wewe umekuja mkuu...
Mass ya dunia ndiyo hupelekea mzunguko wa dunia kupitia centrifugal force. Sasa kwanini anga lililo na mass ndogo lizunguke sawa na kwa speed ileile na mantle crust n.k?

"
Kutokana na kani ha uvutano kati ga dunia na vitu vinginevyenye uzito dunia huvuta kwa kani ya kg9.8 kwa kila nutoni moja,,,, lakini hewa ni fluid ,, mfano chukulia maji yalokwene besen au ndoo ukivuta beseni maji huwa hayaendi sawa na mwendo wa maji yaliyoko kutokana na mshikamana na wepeai wa Maji ko dunia haiezi kenda sawa na upepo hata troposphere."
Wewe umekuja mkuu...
Mass ya dunia ndiyo hupelekea mzunguko wa dunia kupitia centrifugal force. Sasa kwanini anga lililo na mass ndogo lizunguke sawa na kwa speed ileile na mantle crust n.k?
Kutokana na kani ha uvutano kati ga dunia na vitu vinginevyenye uzito dunia huvuta kwa kani ya kg9.8 kwa kila nutoni moja,,,, lakini hewa ni fluid ,, mfano chukulia maji yalokwene besen au ndoo ukivuta beseni maji huwa hayaendi sawa na mwendo wa maji yaliyoko kutokana na mshikamana na wepeai wa Maji ko dunia haiezi kenda sawa na upepo hata
 
Hii mada tamu sana ingawa mnaigusa kidogo na kuiachia hewani
 
Ujasom physics eeeh[emoji283]
 
Asanteni kwa majibu. Je atmosphere inazunguka pamoja na dunia hii hii na kwa speed ileile?
Ndiyo maana nayo ni sehemu ya dunia. Bado kuna uvutano wa dunia ndani ya atmosphere.
 
Asanteni kwa majibu. Je atmosphere inazunguka pamoja na dunia hii hii na kwa speed ileile?
Zamani nilikuwa najiuliza swali kama lako. Nilikuwa na dhana kichwani kwamba endapo nikiwa na uwezo wa kuelea angani na kwasababu dunia inazunguka, je naweza kujikuta niko anga ya sehemu nyingine, lets say Marekani? Nakaja kugundua kwamba anga nayo ni sehemu ya dunia ingawa kadri unavyokwenda anga za mbali uvutano hupungua. Sina uhakika ni kwa ngapi utaondokana na uvutano huu.

Kama ulisoma Physiscs A-level kuna Kepler's law of motion. Hii inaelezea uvutano uliopo kati ya objects mbili zenye uzito tofauti. Ungeweza kujiuliza dunia inawezaje kuelea angani na uzito wote ilio nao? Na sayari zote angani zinaelea, je hii inewezekana vipi? Ni kwasababu sayari zote zina uvutano na jua ambalo liko katikati ya solar system. Kwahiyo pamoja na wewe kuvutwa na dunia kuelekea kwenye center yake bado dunia nayo ina uvutano na jua ndo maana ikaweza kuelea.
 
Asante mkuu. Sikubahatika kusoma soma saana ndiyo maana. Nimeishia IV.

Haya mambo yanachanganya saaana bwana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…