Mzunguko wa fedha kwa sasa ni kidogo sana

Mzunguko wa fedha kwa sasa ni kidogo sana

Ni kawaida sana kill mwaka kwa January Hadi March mzunguko wa pesa kua chini.

Ni kwasababu ya wengi kuwekeza kwenye kilimo,ujenzi, Kodi na ada za watoto.

Pia zingatia msimu huu wa mvua mvua ndo msimu wa magonjwa kibao (UTI,malaria,kichocho,kipindupindu n.k) watu wanagharamia matibabu, foleni mahospitalini.

Huu ndo msimu wa kununua vitu Bei rahisi Kama una pesa, na kuuza vitu Bei chini Kama una majanga.
 
Ndugu zangu kuna tatizo gani mzunguko wa fedha umekuwa ni kidogo sana. Biashara haziendi kabisa na kama vile biashara zimesimama kabisa. Kama nchi tunaelekea wapi?.
Mkuu maisha haya kama wasemavyo sema wewe huna pesa na angalia jinsi ya kupambana na hali wote tumepitia hali hiyo, maana angalia kariakoo yale magorofa yanayonyanyuka utashangaa hawa jamaa pesa wanatoa wapi
 
Back
Top Bottom