Hilo ni tatizo lako binafsiKatika maendeleo ya usafiri ambayo sijaona umuhimu wake ni bus zenye vyoo ndani na AC, nikipinda hizi bus hasa safari za mchana huwa nahisi hewa nzito sana ndani ya gari. Sijui kama kisayansi ni sahihi au inashauriwa kusafiri watu 50 masaa nane ndani ya Bus ambalo mmesongamana mkiwa mmefunga vioo eti mnategemea AC. Mimi huwa naona bora kufungua tu vioo kupata hewa natural.
Ndege zina mfumo maalum wa kuwapatia watu oxygen wakiwa ndani ya ndege na pia kutoa hewa chafu nje, usifananishe ndege na machuma ya bus ya Mchina.Mkuu hizi changamoto za mifumo ya hewa hua unaiona kwenye Kimbinyiko na Najmunisa tu au hata ukipanda ndege za masafa marefu?
Umeongea vema sana, sema ushamba wa ma-kondakta na ma-dereva hawawezi kuelewa hili hata siku moja.Katika maendeleo ya usafiri ambayo sijaona umuhimu wake ni bus zenye vyoo ndani na AC, nikipinda hizi bus hasa safari za mchana huwa nahisi hewa nzito sana ndani ya gari. Sijui kama kisayansi ni sahihi au inashauriwa kusafiri watu 50 masaa nane ndani ya Bus ambalo mmesongamana mkiwa mmefunga vioo eti mnategemea AC. Mimi huwa naona bora kufungua tu vioo kupata hewa natural ila tatizo makonda huwa wanalazimisha kufunga vioo vyote.
Halafu kuna ndege zinabeba abiria hadi 400. Huko si atazimia kabisa!Sasa ukipanda ndege itakuaje boss?
Kila mwezi mara moja.Umewahi kupanda ndege?
AC ni part ya ECS. Anyway, una point.Ndege zina mfumo maalumu wa kuchakata, kuingiza oxygen kutoa hewa chafu nje unaoitwa Environmental Control System(ECS).