Kufunga mfumo unaoweza kuongeza oxygen nauli sio itakuwa ghali sana? Waruhusu tu mtu akizidiwa afungue dirisha.Kwa kweli ndugu mtoa mada umewaza kwa upana sana....
Hata mimi ni mhanga wa hili jambo....yaani nikisafiri na basi lenye full ac najikuta nikifika nimechoka ni kifua kinauma kwa mbali...lakini nikiwa mkweche wa kawaida najikuta nafika mchangamfu na mwenye siha njema bila ya uchovu wowote.........
Ingawa sio mtaalamu wa hata mambo lakini nadhani watengenezaji wa haya mabasi wanazingatia zaidi kupoozwa kwa hewa kwenye mifumo ya AIR CONDITIONING na sio kuongeza mzunguko wa hela kulingana na idadi ya abiria wanaokusudiwa kupanda kwenye basi.......
Kuwaweka watu 50 kwenye basi na kuwafungia vyoo wakitegemea vile vi AC kwa ajili ya mzunguko wa hewa nadhani sio Sawa kiafya hasa ukizingatia tunapanda watu mbali mbali pasi na kujuana hali ya AFYA zetu especially kwenye nyakati za milipuko ya maladhi mbali mbali.......
Nadhani wahusika wanahitaji kulitilia mkazo na kufanya maboresho zaidi kwenye mifumo hiyo....isiishie tu kwenye kupoza hewa bali kuongeza kasi ya mzunguko wa hewa ndani!!!!!
Vipi ndege zenye kubeba watu 300?Katika maendeleo ya usafiri ambayo sijaona umuhimu wake ni bus zenye vyoo ndani na AC, nikipinda hizi bus hasa safari za mchana huwa nahisi hewa nzito sana ndani ya gari. Sijui kama kisayansi ni sahihi au inashauriwa kusafiri watu 50 masaa nane ndani ya Bus ambalo mmesongamana mkiwa mmefunga vioo eti mnategemea AC. Mimi huwa naona bora kufungua tu vioo kupata hewa natural ila tatizo makonda huwa wanalazimisha kufunga vioo vyote.
Inawezekana sababu nyingine ya watu kuchoka sana kwenye hizi safari za bus kama walikuwa wanalima mashamba ni pamoja na mzunguko mbaya wa hewa kwenye hizi bus.
Kwani AC za kwemye magari zinafanyaje kazi?Ndege zina mfumo maalumu wa kuchakata, kuingiza oxygen na kutoa hewa chafu nje unaoitwa Environmental Control System(ECS).
Bila shaka seli zako muhimu za mwili zimeanza kufa hapo ungekuwa na uwezo wa kwenda mahali penye bundi hakika wangelitambua Hilo jichunguze Kuna ugonjwa unakumaliza taratibuKatika maendeleo ya usafiri ambayo sijaona umuhimu wake ni bus zenye vyoo ndani na AC, nikipinda hizi bus hasa safari za mchana huwa nahisi hewa nzito sana ndani ya gari. Sijui kama kisayansi ni sahihi au inashauriwa kusafiri watu 50 masaa nane ndani ya Bus ambalo mmesongamana mkiwa mmefunga vioo eti mnategemea AC. Mimi huwa naona bora kufungua tu vioo kupata hewa natural ila tatizo makonda huwa wanalazimisha kufunga vioo vyote.
Inawezekana sababu nyingine ya watu kuchoka sana kwenye hizi safari za bus kama walikuwa wanalima mashamba ni pamoja na mzunguko mbaya wa hewa kwenye hizi bus.
Ukiwaambia makondakta watakujibu watu wenye akili kubwa hawapandi mabasi.Nahisi watu wenye akili ndogo (wale lazy brains) huwa hawapati shida mabasi yanapokosa oxygen ya kutosha kwa kisingizio Cha AC kuwa on, maana bongo wao ziko idle tu, hazihitaji oxygen nyingi kufanya kazi zake.
Nadhani watalifanya kwa kuzingatia hali za wanyonge kama walivyofanya kwenye kutuletea mabasi ya kisasa kulingana na mfuko wetu......wale jamaa hawashindwi kituKufunga mfumo unaoweza kuongeza oxygen nauli sio itakuwa ghali sana? Waruhusu tu mtu akizidiwa afungue dirisha.
AC haijawa designed kwa umbali mrefu, tena nadhani kuna coution kabisa kuwa kwa umbali mrefu zima ufungue vioo kuruhusu hewa mpya iingie.Unajua mpaka basi limewekwa AC unafikiri manufacturers walikurupuka tu na wala international standards kiafya hazikufuatwa?
Tatizo ni kwamba, makonda wengi akili zao zinaishia hapo. Kureason ni changamoto kwao.Ukiwaambia makondakta watakujibu watu wenye akili kubwa hawapandi mabasi.
Inawezekana kabisa.Nadhani watalifanya kwa kuzingatia hali za wanyonge kama walivyofanya kwenye kutuletea mabasi ya kisasa kulingana na mfuko wetu......wale jamaa hawashindwi kitu
Huwa kwenye mabus wanafanya fumigation kuepuka kuwa na kunguni ndani ya bus na wadudu wanaotambaa, sasa ukijichanganya upande siku iliyotoka kupulizwa hizo sumu alafu ule hewa ya AC tu ni hatari.Hahaha, Ukute sasa wameweka yale madawa ya kuzuia harufu na yenyewe yana harufu yake afu atokee mluga luga asiyejua kuwa mule ni haja ndogo tu akashushe jambo lake.
Sahihi, kuunyima ubongo hewa safi ya kutosha kwa muda mrefu ni sababu mojawapo kubwa ya uchovu wa mwili. Kama kweli AC ni muhimu hivyo hawana budi pia kuongeza mfumo wa uingizaji hewa safi ndani na utoaji hewa chafu nje.Kwa kweli ndugu mtoa mada umewaza kwa upana sana....
Hata mimi ni mhanga wa hili jambo....yaani nikisafiri na basi lenye full ac najikuta nikifika nimechoka sana na kifua kinauma kwa mbali...lakini nikipanda "mkweche" wa kawaida pasi AC najikuta nafika mchangamfu na mwenye siha njema bila ya uchovu wowote.........
Ingawa sio mtaalamu wa haya mambo ya AC lakini nadhani watengenezaji wa haya mabasi wanazingatia zaidi kupoozwa kwa hewa kwenye mifumo yao ya AIR CONDITIONING zaidi na sio kuongeza mzunguko wa hela kulingana na idadi ya abiria wanaokusudiwa kupanda kwenye basi.......
Kuwaweka watu 50 kwenye basi na kuwafungia vyoo wakitegemea vile vi AC kwa ajili ya mzunguko wa hewa nadhani sio Sawa kiafya hasa ukizingatia tunapanda watu mbali mbali pasi na kujuana hali ya AFYA zetu especially kwenye nyakati za milipuko ya maladhi mbali mbali.......
Nadhani wahusika wanahitaji kulitilia mkazo na kufanya maboresho zaidi kwenye mifumo hiyo....isiishie tu kwenye kupoza hewa bali kuongeza kasi ya mzunguko wa hewa ndani!!!!!
Sijawahi mkuu. Jibu swali uliloulizwa.Umewahi kupanda ndege?
Kwa hiyo kwenye mabus hewa chafu hua haitolewi nje?,Ndege zina mfumo maalumu wa kuchakata, kuingiza oxygen na kutoa hewa chafu nje unaoitwa Environmental Control System(ECS).
Inawezekana kwenye hili la AIR CONDITIONING wakawa waliteleza kimakadirio kama walivyokusudia......pengine wali design kwa ajili ya umbali wa safari za km 500 kushuka chini ku sustain hiyo hali lakini badala yake zinapigwa non stop all the way 800km.......Unajua mpaka basi limewekwa AC unafikiri manufacturers walikurupuka tu na wala international standards kiafya hazikufuatwa?
Shubamiit. Mara kadhaa nimepanda hizi Yutong unakuta ni mpya tu ila nateseka kweli, najiuliza mbona huwa sina tatizo nikiwa nasafiri imekuaje? Sasa umenipa jibu.Huwa kwenye mabus wanafanya fumigation kuepuka kuwa na kunguni ndani ya bus na wadudu wanaotambaa, sasa ukijichanganya upande siku iliyotoka kupulizwa hizo sumu alafu ule hewa ya AC tu ni hatari.