Mzunguko wa hewa huwa sio mzuri ndani ya Bus zenye viyoyozi (AC), bora kufungua vioo tu

Oh lord. Tafuta AC inavyofanyq kazi some tena.
Kwemye dashboard ya gari kuna button mbili ya kuzugusba ya ndani au kuingiza ya nje. Ni uamuzi wako.
Nimemuiliza Ai.

standard automotive or residential air conditioning (AC) systems do not supply oxygen. They simply cool, heat, and circulate the existing air inside a space. Here's why:

❌ What AC Does Not Do:​

  • It doesn’t generate or add oxygen
  • It doesn’t filter out carbon dioxide or other gases
  • It doesn’t pressurize or regulate oxygen levels

✅ What AC Does:​

  • Cools or heats air using refrigerant and heat exchange
  • Moves air through fans and ducts
  • May filter dust or pollen (if equipped with basic filters)

🛫 Oxygen Supply Systems​

If oxygen needs to be added — like in airplanes, hospitals, or high-altitude environments — that requires a dedicated oxygen system, not AC. For example:

  • Aircraft ECS includes pressurized oxygen tanks or generators
  • Hospitals use medical-grade oxygen delivery systems
  • Some high-altitude vehicles or labs use oxygen enrichment systems
So if you're ever customizing a vehicle or explaining HVAC specs to a customer, it's good to clarify that AC improves comfort, but oxygen control is a separate system entirely
 
Katika maendeleo ya usafiri ambayo sijaona umuhimu wake ni bus zenye vyoo ndani na AC, nikipinda hizi bus hasa safari za mchana huwa nahisi hewa nzito sana ndani ya gari. Sijui kama kisayansi ni sahihi au inashauriwa kusafiri watu 50 masaa nane ndani ya Bus ambalo mmesongamana mkiwa mmefunga vioo eti mnategemea AC. Mimi huwa naona bora kufungua tu vioo kupata hewa natural ila tatizo makonda huwa wanalazimisha kufunga vioo vyote.

Inawezekana sababu nyingine ya watu kuchoka sana kwenye hizi safari za bus kama walikuwa wanalima mashamba ni pamoja na mzunguko mbaya wa hewa kwenye hizi bus.
Check afya yako
 
AC kusema ukweli hata mimi huwa sioni umuhimu sana kama bus lina madirisha yanayoweza kufunguka na wasafiri wanayafungua kwa ipasavyo. Ila hili la choo ndugu yangu naomba nikuite mtu wa porini. Vyoo viko kwa sababu ya dharura na ni muhimu mno. Labda kama havitunzwi vizuri....
 
Au hata ukute Wachina safari za kilometa zaidi ya 800 kwa bus lazima walale njiani siku moja au mbili, kama mtu ana haraka anapanda treni au ndege.
Yote yanawezekana mkuu......nchi zetu za dunia ya tatu zinajulikana kwa kwenda kinyume na matumizi yaliyokusudiwa
 
Umeongea vema sana, sema ushamba wa ma-kondakta na ma-dereva hawawezi kuelewa hili hata siku moja.
Kabla ya kuunga mkono fikiri kwanza, Tanzania hakuna basi linalosafiri kwa saa nane likiwa limefungwa madirisha na milango! Mabasi yote husimama kila baada ya muda kwa ajili ya kushusha na kupanda na kujisaidia abiria, milango ni lazima ifunguliwe.
 
Nimemuiliza Ai.

standard automotive or residential air conditioning (AC) systems do not supply oxygen. They simply cool, heat, and circulate the existing air inside a space. Here's why:

❌ What AC Does Not Do:​

  • It doesn’t generate or add oxygen
  • It doesn’t filter out carbon dioxide or other gases
  • It doesn’t pressurize or regulate oxygen levels

✅ What AC Does:​

  • Cools or heats air using refrigerant and heat exchange
  • Moves air through fans and ducts
  • May filter dust or pollen (if equipped with basic filters)

🛫 Oxygen Supply Systems​

If oxygen needs to be added — like in airplanes, hospitals, or high-altitude environments — that requires a dedicated oxygen system, not AC. For example:

  • Aircraft ECS includes pressurized oxygen tanks or generators
  • Hospitals use medical-grade oxygen delivery systems
  • Some high-altitude vehicles or labs use oxygen enrichment systems
So if you're ever customizing a vehicle or explaining HVAC specs to a customer, it's good to clarify that AC improves comfort, but oxygen control is a separate system entirely
Why would it supply oxygen wakati ipo kwe ye hewa? Inachukua hewa nje inapooza ndio kazi yake. Mapafu yako yaptaoata oxygen kutoka kwemye hio hewa.

Kwa ndege ikowa 10,000ft hamna oxygen lazima system I supply oxygen. Ndio tofauti hio.

Kwani wewe ukivutq hewa hapo nje unafikiri ni oxygen tupu? Mapafu yako yanachukua oxygen yanaitumiqa.
 
Katika maendeleo ya usafiri ambayo sijaona umuhimu wake ni bus zenye vyoo ndani na AC, nikipinda hizi bus hasa safari za mchana huwa nahisi hewa nzito sana ndani ya gari. Sijui kama kisayansi ni sahihi au inashauriwa kusafiri watu 50 masaa nane ndani ya Bus ambalo mmesongamana mkiwa mmefunga vioo eti mnategemea AC. Mimi huwa naona bora kufungua tu vioo kupata hewa natural ila tatizo makonda huwa wanalazimisha kufunga vioo vyote.

Inawezekana sababu nyingine ya watu kuchoka sana kwenye hizi safari za bus kama walikuwa wanalima mashamba ni pamoja na mzunguko mbaya wa hewa kwenye hizi bus.
Ili usipate T.B nakushauri fungua achana na ushauri wa konda ambaye analinda A.C badala ya afya yako.
 
Huu ni ukweli kabx. Labda watoe sababu za msingi kwann tusifungue madirisha, wakati mchina aliyaweka na ni manual kila mtu anaweza fungua lake.
 
Uko sahihi kabisa, circulation ya hewa mda mwingi inakuwa sio nzuri na pia most of the time hivi vyoo vinaleta hewa chafu hasa kwa wale wasiojua matumizi sahihi ya hivi vyoo unakuta wengine wanajisaidia haja kubwa, kiufupi ni disaster
 
Tena hapo ni chamtoto, usiombe hilo gari liwe na choo ndani, yaani ile harufu ya choo inarudi yote ndani, abiria mnaitafuna vizuri kisha mnaizoea, na mkishuka mnanuka harufu ya choo cha basi. Basi lenye AC na choo ndani kwa Tz ni majanga tupu.

Mimi hizo basi zisipandi tena.
aliyebuni haya mabasi ni mshamba sana
 
Nimemuiliza Ai.

standard automotive or residential air conditioning (AC) systems do not supply oxygen. They simply cool, heat, and circulate the existing air inside a space. Here's why:

❌ What AC Does Not Do:​

  • It doesn’t generate or add oxygen
  • It doesn’t filter out carbon dioxide or other gases
  • It doesn’t pressurize or regulate oxygen levels

✅ What AC Does:​

  • Cools or heats air using refrigerant and heat exchange
  • Moves air through fans and ducts
  • May filter dust or pollen (if equipped with basic filters)

🛫 Oxygen Supply Systems​

If oxygen needs to be added — like in airplanes, hospitals, or high-altitude environments — that requires a dedicated oxygen system, not AC. For example:

  • Aircraft ECS includes pressurized oxygen tanks or generators
  • Hospitals use medical-grade oxygen delivery systems
  • Some high-altitude vehicles or labs use oxygen enrichment systems
So if you're ever customizing a vehicle or explaining HVAC specs to a customer, it's good to clarify that AC improves comfort, but oxygen control is a separate system entirely
Hii ilipaswa uwe ufahamu wa msingi kabisa kwamba AC haiingizi oxygen ndani ya nyumba au gari bali inapooza au inapasha joto tu hewa inayopenya na kutoka kupitia nafasi mbalimbali, tofauti na bus ambalo liko airtight kwa kiasi kikubwa nyumba huwa ina penyo nyingi za kupitisha hewa hata milango ikifungwa na madirisha yakifungwa.
 
  • Thanks
Reactions: Tsh
Why would it supply oxygen wakati ipo kwe ye hewa? Inachukua hewa nje inapooza ndio kazi yake. Mapafu yako yaptaoata oxygen kutoka kwemye hio hewa.

Kwa ndege ikowa 10,000ft hamna oxygen lazima system I supply oxygen. Ndio tofauti hio.

Kwani wewe ukivutq hewa hapo nje unafikiri ni oxygen tupu? Mapafu yako yanachukua oxygen yanaitumiqa.
Sasa mkuu mimi sio engr sina uelewa wa haya mambo ila najua kuwa AC haina uwezo wa kuongeza oxygen mpya, sasa kama nilikuwa najidanganya na Ai nayo inasema uongo basi sawa.
 
Hii ilipaswa uwe ufahamu wa msingi kabisa kwamba AC haiingizi oxygen ndani ya nyumba au gari bali inapooza au inapasha joto tu hewa inayopenya na kutoka kupitia nafasi mbalimbali, tofauti na bus ambalo liko airtight kwa kiasi kikubwa nyumba huwa ina penyo nyingi za kupitisha hewa hata milango ikifungwa na madirisha yakifungwa.
True. Ila RRONDO anaamini tofauti.
 
Ndege zina mfumo maalumu wa kuchakata, kuingiza oxygen na kutoa hewa chafu nje unaoitwa Environmental Control System(ECS).
Sahihi ila ushapanda ndege na indians au bangladesh mkuu?
 
Uko sahihi kabisa, circulation ya hewa mda mwingi inakuwa sio nzuri na pia most of the time hivi vyoo vinaleta hewa chafu hasa kwa wale wasiojua matumizi sahihi ya hivi vyoo unakuta wengine wanajisaidia haja kubwa, kiufupi ni disaster
Hakuna basi zinaruhusu haja kubwa!!
Machine za hewa zimepimwa kulingana na ukubwa uliopo..
Ni salama kabisa.
 
Juzi tu nimesafir safari ya masaa matatu nilichoka ka ubwa. Sasa umenikumbusha kweny lile gari hewa ilikuwa zito sana madirisha yote yalikuwa locked🚮
 
Back
Top Bottom