Mzunguko wa hewa huwa sio mzuri ndani ya Bus zenye viyoyozi (AC), bora kufungua vioo tu

Hii umetoa wapi boss? Maana ninavyojua AC ni hatari hata kwa mapafu achilia mbali mambo mengine so huwa zina tahadhari.
Hakuna kiwango cha AC kuwashwa halafu izimwe. Hakuna kitu kilichotengenezwa na binadamu kisicho na madhara

Kikawaida AC inatakiwa ifanyiwe maintainance kubwa angalau mara mbili kwa mwaka ili kupunguza hiyo athari.

Kama unaona AC ni hatari kwa mapafu yako achana na ofisi zenye AC au mabasi yenye AC panda gonga nyundo cha muhimu kufika.

Fully air-conditioned buses waachie watu wanaotaka comfortability wakati wa safari nje kukiwa na joto kali
 
Hakuna kiwango cha AC kuwashwa halafu izimwe. Hakuna kitu kilichotengenezwa na binadamu kisicho na madhara

Kikawaida AC inatakiwa ifanyiwe maintainance kubwa angalau mara mbili kwa mwaka ili kupunguza hiyo athari.

Kama unaona AC ni hatari kwa mapafu yako achana ofisi zenye AC au mabasi yenye AC panda gonga nyundo cha muhimu kufika.

Fully air-conditioned buses waachie watu wanaotaka comfortability wakati wa safari nje kukiwa na joto kali
Sawa mkuu.
 
Ndege zina mfumo maalumu wa kuchakata, kuingiza oxygen na kutoa hewa chafu nje unaoitwa Environmental Control System(ECS).
Mfumo huo upo sema unaona wa ndege upo sahihi ila changamoto yake ni kubwa watu wengi huwa wanakosa hewa na kupewa visaidizi mkuu bus nyingi mfumo wa AC haupo kulingana na idadi ya watu ndio maana unaona unakosa hewa haya matatizo hayapo kwenye body za Iriza.
 
Bora umeongelea ukweli hewa ndani ya bus zenye AC huwa sio hewa safi,huwa nagombana sana na watu ndani ya bus mie hata kama kuna AC ni lazima nifungue dirisha kidogo.
Nikaja kugundua njia nzuri ya kutogombana na watu ni kukaa siti za mwanzo karibu na dereva pale mbele kuna kuwa na uazi fulani na madereva wengi pale anapokaa huwa anafungua dirisha hivyo hilo eneo linakuwa na mzunguko wa hewa kwa kiasi fulani.
 
Mkuu hizi changamoto za mifumo ya hewa hua unaiona kwenye Kimbinyiko na Najmunisa tu au hata ukipanda ndege za masafa marefu?
Sasa mtu hujawahi panda ndege, utaongeleaje kitu hujui🙆‍♂️🙆‍♂️🙆‍♂️
 
Sasa mkuu mimi sio engr sina uelewa wa haya mambo ila najua kuwa AC haina uwezo wa kuongeza oxygen mpya, sasa kama nilikuwa najidanganya na Ai nayo inasema uongo basi sawa.
Ac ya gari inachukua hewa(ambayo ndani yake kuna oxygen) inaipooza. Baada ya kuipooza inaiingiza hewa hio ya baridi(ikowa na oxygen) ndani ya gari. Baadae inatoa hewa nje ya gari na kuipooza tena. Au inaendelea kuchukua hewa nje na kuipooza na kuingiza kwenye gari. Kusema kuwa huwa inazungusha hewa ile ile tu sio kweli.
Kwemye case ya ndege ni tofauti kwasababu ikiwa huko juu sana hakuna oxygen au kuna level ndogo ya oxygen huko angani.
 
Iko hivyo mkuu, ukiacha mabasi kuna majengo ofisi zao AC ni saa 24 mwaka mzima

Hiki ndicho kitu Yoda na genge lake hawajui
Wewe mchina pori hakuna mtu anaweza kukaa kwenye kiti cha ofisi masaa mawili mfululizo hajaenda chooni, kunywa chai, kula, kuvuta sigara n.k hapo bado hujazingatia nyumba haziwi airtight kama bus za Wachina wako zinapofungwa vioo na milango.
Halafu shida yangu mimi sio AC bali ni kulazmisha abiria wote 50 kufunga madirisha yote kwa masaa kadhaa ili wategeme vi AC uchwara.
 
Basi niseme mfumo madhubuti wa ECS
baada ya kuona heding tu kabla sijafungua nikasema KUTAKUWA TU NA MPUUZI ATAKAETOLEA MFANO WA NDEGE, NA ATAKEJELI KWA KUSEMA UKIPANDA NDEGE UTAFUNGUA VIOO?😁, na nimewakuta 🙌😁 so bro utapata tabu sana kuwaelewesha, kitu ningependa wajue ni kuwa HEWA NDANI YA NDEGE HAITOKI NDANI TU BALI PIA INATOKA NJE(kwa maana ya mzunguko), kwa kifupi HEWA NDANI YA NDEGE IMEFANYWA IWE SAFI KWA 100%, na mvutaji anavuta hewa mpya kila pumzi, vp kuhusu hizi za KWENYE YUTONG ziko salama 100%? hapo ndipo wanapo chemsha
 
Katika maendeleo ya usafiri ambayo sijaona umuhimu wake ni bus zenye vyoo ndani na AC, nikipinda hizi bus hasa safari za mchana huwa nahisi hewa nzito sana ndani ya gari. Sijui kama kisayansi ni sahihi au inashauriwa kusafiri watu 50 masaa nane ndani ya Bus ambalo mmesongamana mkiwa mmefunga vioo eti mnategemea AC. Mimi huwa naona bora kufungua tu vioo kupata hewa natural ila tatizo makonda huwa wanalazimisha kufunga vioo vyote.

Inawezekana sababu nyingine ya watu kuchoka sana kwenye hizi safari za bus kama walikuwa wanalima mashamba ni pamoja na mzunguko mbaya wa hewa kwenye hizi bus.
Una hoja...UZINGATIWE..!🤝
 
Iko hivyo mkuu, ukiacha mabasi kuna majengo ofisi zao AC ni saa 24 mwaka mzima

Hiki ndicho kitu Yoda na genge lake hawajui
Ni majengo yasiozingatia Afya mahala pa kazi.
Kuna vitu huwa tunaiga tu bila kuiga na standards zake.
Chukulia mfano Wa space crafts ...kuna hatua na standards nyingi sana zinafanyika kabla ya kumuweka mtu humo ndani na kumuacha atumia mfumo wa "HVAC"
 
Iko hivyo mkuu, ukiacha mabasi kuna majengo ofisi zao AC ni saa 24 mwaka mzima

Hiki ndicho kitu Yoda na genge lake hawajui
Wewe hujaelewa ila sasa naona kama hutotaka kuelewa.

Basi ukifunga vioo hewa inayoingia ili ichakatwe na AC ni chache ukilinganisha na idadi ya watu humo ndani na AC haina uwezo wa kuongeza oxygen, ndo maana tunasema inashauriwa kufungua madirisha nyakati fulani iwapo basi limetembea umbali mrefu bila kusimama. Nyumba ina space kubwa pia ina vents nyingi, AC inapata hewa mpya ya kuichakata wakati wote. Kama huamini, jaribu kutafiti iwapo AC ikifungwa sehemu kuna 0 oxygen kama itafanya kazi.
 
Nimemuiliza Ai.

standard automotive or residential air conditioning (AC) systems do not supply oxygen. They simply cool, heat, and circulate the existing air inside a space. Here's why:

❌ What AC Does Not Do:​

  • It doesn’t generate or add oxygen
  • It doesn’t filter out carbon dioxide or other gases
  • It doesn’t pressurize or regulate oxygen levels

✅ What AC Does:​

  • Cools or heats air using refrigerant and heat exchange
  • Moves air through fans and ducts
  • May filter dust or pollen (if equipped with basic filters)

🛫 Oxygen Supply Systems​

If oxygen needs to be added — like in airplanes, hospitals, or high-altitude environments — that requires a dedicated oxygen system, not AC. For example:

  • Aircraft ECS includes pressurized oxygen tanks or generators
  • Hospitals use medical-grade oxygen delivery systems
  • Some high-altitude vehicles or labs use oxygen enrichment systems
So if you're ever customizing a vehicle or explaining HVAC specs to a customer, it's good to clarify that AC improves comfort, but oxygen control is a separate system entirely
Umetumia AI ila ime "prompt" isivyo, nimetumia AI pia nikiilezea itumie taarifa za kisayansi na haya ndiyo majibu yake kwa kirefu.

Hii ni hoja ya kiufundi na kimsingi ya kisayansi kuhusu mifumo ya kiyoyozi (AC) kwenye mabasi ya abiria:

1. Mfumo wa Uzungushaji Hewa (Air Recirculation vs Fresh Air Intake)​

  • Mifumo mingi ya AC ya mabasi ya kisasa ina modes mbili:
    1. Recirculation mode – inazungusha tena hewa ile ile ya ndani ya basi. Hii husaidia baridi kufanikishwa haraka na inapunguza matumizi ya mafuta kwa sababu mfumo haulazimiki kupooza hewa moto kutoka nje.
    2. Fresh air intake mode – huchukua hewa safi kutoka nje, kui-filter, kisha kuichanganya na hewa ya ndani.
  • Kihandisi, mabasi ya masafa marefu huwa na mchanganyiko wa hewa safi na recirculated air (kwa mfano, 20–30% fresh air + 70–80% recirculation). Hii inalenga kudumisha kiwango cha oksijeni na kupunguza accumulation ya kabondioksaidi (CO₂).

2. Hatari ya Kushuka kwa Oksijeni Ndani ya Basi​

  • Kisayansi: Binadamu anapumua, hewa ya oksijeni (O₂) hupungua na kabondioksaidi (CO₂) huongezeka.
  • Ikiwa basi litakuwa limefungwa kabisa na AC ikawa kwenye full recirculation kwa muda mrefu (bila fresh air intake), kiwango cha O₂ kinaweza kushuka taratibu huku CO₂ ikipanda.
  • Dalili za viwango vya juu vya CO₂ (>1,000 ppm) ni uchovu, maumivu ya kichwa, kichefuchefu, na kupoteza umakini. Kwa viwango vya juu zaidi, inaweza kuleta madhara makubwa kiafya.
  • Hata hivyo, mifumo ya mabasi ya abiria mara nyingi huundwa kuhakikisha kuna kiwango fulani cha hewa mpya kinachoingia, ili kuzuia tatizo hili.

3. Ushauri Kuhusu Matumizi ya AC Katika Mabasi ya Masafa Marefu​

  • Kitaalamu inashauriwa:
    • AC iwe inafanya kazi muda wote wa safari ili kudumisha joto na unyevunyevu salama kwa abiria.
    • Kwenye masafa marefu, mfumo uwe ume-set kwenye mixed mode (fresh air + recirculation). Hii inahakikisha kuna mzunguko endelevu wa hewa safi kuzuia upungufu wa oksijeni na kuondoa gesi chafu.
    • Kuepuka full recirculation kwa masafa marefu (zaidi ya dakika 30–60 mfululizo) bila kuingiza fresh air.
    • Wakati wa mapumziko (mfano basi likisimama kituo), madirisha au milango inaweza kufunguliwa kwa muda mfupi ili kuongeza hewa safi zaidi.

4. Hitimisho​

  • AC ya basi haisababishi hewa kukosekana endapo imewekwa kwa mpangilio sahihi, kwa sababu inaingiza kiasi cha hewa mpya.
  • Hatari ipo tu endapo basi litakuwa kwenye 100% recirculation mode kwa muda mrefu bila fresh air intake.
  • Kwa usalama wa kiafya na faraja ya abiria, inashauriwa AC iendelee kuwashwa safari nzima, lakini ikiwa katika mpangilio wa kuchanganya hewa ya ndani na hewa mpya ya nje.
 
Mfumo huo upo sema unaona wa ndege upo sahihi ila changamoto yake ni kubwa watu wengi huwa wanakosa hewa na kupewa visaidizi mkuu bus nyingi mfumo wa AC haupo kulingana na idadi ya watu ndio maana unaona unakosa hewa haya matatizo hayapo kwenye body za Iriza.
Hahaha eti Irizar ni ushamba tu unakusumbua mabasi yote viwango vya AC vinafanana iwe ni Irizar au Yutong

Kwenye mabasi yenye AC kila seat ina sehemu ya AC kwa juu

Dereva anaweza kuamua kiwango cha ubaridi au wewe abiria pale ulipoketi unaweza kuset kiwango chako
 
Ac ya gari inachukua hewa(ambayo ndani yake kuna oxygen) inaipooza. Baada ya kuipooza inaiingiza hewa hio ya baridi(ikowa na oxygen) ndani ya gari. Baadae inatoa hewa nje ya gari na kuipooza tena. Au inaendelea kuchukua hewa nje na kuipooza na kuingiza kwenye gari. Kusema kuwa huwa inazungusha hewa ile ile tu sio kweli.
Kwemye case ya ndege ni tofauti kwasababu ikiwa huko juu sana hakuna oxygen au kuna level ndogo ya oxygen huko angani.
AC inazungusha hewa iliyopo ndani iliyoingia kupitia vents au tube au mfumo wowote kisha inaichakata. Tukijazana sehemu fulani kisha AC ikafungwa ila oxygen haitoshi, bado tutakuwa na tatizo la oxygen pamoja na uwepo wa AC.
 
Katika maendeleo ya usafiri ambayo sijaona umuhimu wake ni bus zenye vyoo ndani na AC, nikipinda hizi bus hasa safari za mchana huwa nahisi hewa nzito sana ndani ya gari. Sijui kama kisayansi ni sahihi au inashauriwa kusafiri watu 50 masaa nane ndani ya Bus ambalo mmesongamana mkiwa mmefunga vioo eti mnategemea AC. Mimi huwa naona bora kufungua tu vioo kupata hewa natural ila tatizo makonda huwa wanalazimisha kufunga vioo vyote.

Inawezekana sababu nyingine ya watu kuchoka sana kwenye hizi safari za bus kama walikuwa wanalima mashamba ni pamoja na mzunguko mbaya wa hewa kwenye hizi bus.
Ni kweli, Yani unakaa ndani ya bas Hadi unakosa utulivu maana hewa ni nzito af wanasisitiza kufunga vioo.
 
Umetumia AI ila ime "prompt" isivyo, nimetumia AI pia nikiilezea itumie taarifa za kisayansi na haya ndiyo majibu yake kwa kirefu.

Hii ni hoja ya kiufundi na kimsingi ya kisayansi kuhusu mifumo ya kiyoyozi (AC) kwenye mabasi ya abiria:

1. Mfumo wa Uzungushaji Hewa (Air Recirculation vs Fresh Air Intake)​

  • Mifumo mingi ya AC ya mabasi ya kisasaina modes mbili:
    1. Recirculation mode – inazungusha tena hewa ile ile ya ndani ya basi. Hii husaidia baridi kufanikishwa haraka na inapunguza matumizi ya mafuta kwa sababu mfumo haulazimiki kupooza hewa moto kutoka nje.
    2. Fresh air intake mode – huchukua hewa safi kutoka nje, kui-filter, kisha kuichanganya na hewa ya ndani.
  • Kihandisi, mabasi ya masafa marefu huwa na mchanganyiko wa hewa safi na recirculated air (kwa mfano, 20–30% fresh air + 70–80% recirculation). Hii inalenga kudumisha kiwango cha oksijeni na kupunguza accumulation ya kabondioksaidi (CO₂).

2. Hatari ya Kushuka kwa Oksijeni Ndani ya Basi​

  • Kisayansi: Binadamu anapumua, hewa ya oksijeni (O₂) hupungua na kabondioksaidi (CO₂) huongezeka.
  • Ikiwa basi litakuwa limefungwa kabisa na AC ikawa kwenye full recirculation kwa muda mrefu (bila fresh air intake), kiwango cha O₂ kinaweza kushuka taratibu huku CO₂ ikipanda.
  • Dalili za viwango vya juu vya CO₂ (>1,000 ppm) ni uchovu, maumivu ya kichwa, kichefuchefu, na kupoteza umakini. Kwa viwango vya juu zaidi, inaweza kuleta madhara makubwa kiafya.
  • Hata hivyo, mifumo ya mabasi ya abiria mara nyingi huundwa kuhakikisha kuna kiwango fulani cha hewa mpya kinachoingia, ili kuzuia tatizo hili.

3. Ushauri Kuhusu Matumizi ya AC Katika Mabasi ya Masafa Marefu​

  • Kitaalamu inashauriwa:
    • AC iwe inafanya kazi muda wote wa safari ili kudumisha joto na unyevunyevu salama kwa abiria.
    • Kwenye masafa marefu, mfumo uwe ume-set kwenye mixed mode (fresh air + recirculation). Hii inahakikisha kuna mzunguko endelevu wa hewa safi kuzuia upungufu wa oksijeni na kuondoa gesi chafu.
    • Kuepuka full recirculation kwa masafa marefu (zaidi ya dakika 30–60 mfululizo) bila kuingiza fresh air.
    • Wakati wa mapumziko (mfano basi likisimama kituo), madirisha au milango inaweza kufunguliwa kwa muda mfupi ili kuongeza hewa safi zaidi.

4. Hitimisho​

  • AC ya basi haisababishi hewa kukosekana endapo imewekwa kwa mpangilio sahihi, kwa sababu inaingiza kiasi cha hewa mpya.
  • Hatari ipo tu endapo basi litakuwa kwenye 100% recirculation mode kwa muda mrefu bila fresh air intake.
  • Kwa usalama wa kiafya na faraja ya abiria, inashauriwa AC iendelee kuwashwa safari nzima, lakini ikiwa katika mpangilio wa kuchanganya hewa ya ndani na hewa mpya ya nje.
Wewe ndio umei promt AI vibaya na hitimisho lake linathinitisha hilo, hakuna mtu anayesema AC ya bus inasababisha hewa kukosekana ndani ya Bus bali kufunga vioo vyote vya bus eti AC itafanya hiyo kazi ya kuingiza Oxygen na kutoa hewa chafu nje.
 
Back
Top Bottom